Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Biashara ipi hiyo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo sioni kosa lako sababu kuna mambo ambayo hatuwezi kuamua mfano hapo kwa umri huo ni kwamba wazazi ndiyo walikuwa wanasimamia kila kitu kuhusu wewe, mara nyigi unaanza kujiamulia mambo ukishafikisha angalau miaka 18 na ndiyo naweza sema ungejutia mambo uliyofanya kuanzia umri wa miaka 18 kwenda mbele
 
Du hiyo soo kiongozi wangu. Angeamua kulisanua sijui ingekuwaje. Hatari sana unaambiwa. Ulitaka kumla dada yako mkuu? Ama kweli kichwa cha chini kikivurugwa, kichwa cha juu hakifanyi kazi!!!!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…