Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Najutia sana mahusinao yangu, sijawahi kupata single. Kila anaekuja ni mme wa mtu tena nakuja kujua badae sana naamua kugive up. Najilaumu sana wapi nilipokosea jamani. Hadi sasa nimeamua kutulia tu.
 
Mkuu kumbe tax ni ugonjwa wa taifa asee nimejifunza kitu kwakwl maana hii kozi nilitaka kumshauri mtu akasome sikuijua
Usithubutu mkuu...imagine miongoni mwa marafiki zangu hao, watatu wa kike wameamua kujizalia watoto tu sasa hivi, hao wanaume ndo kabisa mtu hadi unamwonea huruma asee!..wanajuta na hiyo course!!!
 
Kumbe wewe ndo ulikuaga unanicheka nikizama huku nakunywa maji. Najuta kutokujua kuogelea
 
Du pole sana mkuu, yote maisha. Unajua kama siku zingekuwa zinaganda nikarudi kuwa mvulana wa miaka 15 ningesoma hadi nichizi ili niwe daktari au mhasibu. Rafiki zangu waliosoma uhasibu na udaktari mambo yao yako safi sana.
 
najuta kumgegeda mamaang mdogo yaan mdogo wa mama toka ntoke ambae alkua mkubwa kiumri n above 40 m n 23, kpnd hicho m nlikua na 17, ye mwenyewe alinianza kila nkikutana nae najckia vbaya sana. NAJUTA NAJUTA NAJUTA
Hiyo lazima ujute mama mdogo ni sawa na mama ako pole sanasana
 
najuta kumgegeda mamaang mdogo yaan mdogo wa mama toka ntoke ambae alkua mkubwa kiumri n above 40 m n 23, kpnd hicho m nlikua na 17, ye mwenyewe alinianza kila nkikutana nae najckia vbaya sana. NAJUTA NAJUTA NAJUTA
Du, ilikuwaje mkuu? Hii hatari. Miaka 17 mbona ulikuwa mkubwa tu mkuu? Hebu eleza ilikuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…