Mtakodisha kwa wanaohitaji jumba kubwa, nyie mtapanga chumba kimoja bila sebule mlale na madiaba humohumo.Nimejenga jumba kuubwa, sebule km kiwanja cha mpira, hlf vyumba ni vi 3 tu...
nawaza siku tukibaki 2(mimi na baba chanja), watoto wakipata maisha yao sijui tutaishi vipi.
Noma sana hiiKuna ndugu alinunua eneo la familia aliuziwa na mama mwenye eneo ... mama hakushirikisha binti zake... Kitendo cha kuanza kujenga tu ndugu hao,mara kwa mtendaji mara kwa wazee wa eneo husika.....kijana akaenda kwao akawaleta wazee wa kwao yani wazee hata kutembea hawawezi.... Mama akaulizwa eneo la nani...akajibu lake mwenyewe na kaliuza kwa ridhaa yake...wazee wa hapo na mabinti wakaulizwa nyie kipingamizi chenu ni nini? Mabinti wakadai eti ni urithi wao...wale wazee wakawambia hayo malizaneni wenyewe.....Wazee wakaacha onyo....wao wanaondoka na kijana wao anaendelea kujenga, mkimsumbua mtakuwa mnafanya Kazi ya kuuguza na kuzika mpaka muishe wote.....kwanzia hapo kijana alipata ushirikiano mpaka kwa mtendaji...kila hatua walikuwa wanakuja kuangalia anaendeleaje.
Nimependa hiyo. Hao ndio watoto ambao Kuna uzi humu kuna member alileta akilalamika ati Mzee wake msumbufu anataka pesa kila wakati. Nilimjibu hivihivi kuwa sasa hivi baba yako unaona anakusumbua lakin akifa tu ndo unakuwa wa kwanza kugombania mali. Hili suala la urithi kwa watoto linapotoshwa sn. Sasa ona mama yao yuko hai anataka kuuza mali zake zimsaidie pengine watoto hawamjali eti kinatokea kitoto kinatia mikwara kisa urithi. Watoto tujitathimini kwa wazazi wetu.Kuna ndugu alinunua eneo la familia aliuziwa na mama mwenye eneo ... mama hakushirikisha binti zake... Kitendo cha kuanza kujenga tu ndugu hao,mara kwa mtendaji mara kwa wazee wa eneo husika.....kijana akaenda kwao akawaleta wazee wa kwao yani wazee hata kutembea hawawezi.... Mama akaulizwa eneo la nani...akajibu lake mwenyewe na kaliuza kwa ridhaa yake...wazee wa hapo na mabinti wakaulizwa nyie kipingamizi chenu ni nini? Mabinti wakadai eti ni urithi wao...wale wazee wakawambia hayo malizaneni wenyewe.....Wazee wakaacha onyo....wao wanaondoka na kijana wao anaendelea kujenga, mkimsumbua mtakuwa mnafanya Kazi ya kuuguza na kuzika mpaka muishe wote.....kwanzia hapo kijana alipata ushirikiano mpaka kwa mtendaji...kila hatua walikuwa wanakuja kuangalia anaendeleaje.
Watu mna pesa za kuharibu yaa septic tank unapiga plaster....ok tafuta gari inyonye ujenge upyaWakuu Msaada maana septic imepigwa plaster haiachii maji taka. Eneo ni dogo kufanya mbinu ya kuchimba na kuyaachia kwenye mfereji ( kuchimba na kumwaga kojoto, kuyaachia njia style ya kisasa) hapatoshi
Ukinunua kiwanja jirani na mhaya cha kwanza piga fence ya tofali ndio uanze ujenzi,otherwise atakuibia tu kipande cha ardhi
Pia kununua kiwanja karibu na mchaga yaani ni shida wao wanachokijua ni kuongeza mipaka hata kama viwanja vimepimwa, hapa nina majirani wawili wote wachaga wote wakati wanajenga ukuta wameongeza mipaka kwa makusudi, kwanza wameng'oa beacons ili kupoteza ushaidi alafu wakajiongezea mipaka.Kununua kiwanja karibu na mhaya
Dukani bei ganiFuti kumi zipo kumi na kofia tano na valley tatu
SAwa...ntakutafutaNilinunua bat moja kwa 38000
Hilo ni tecnko fault. Makosa ya kiufund.pesa za pension mara nying zinakuaga na moto sana sijui vip ukiingia mrad fulan unaenda kufa .bora kuendeleza mrad ambao ukishakua unaufanya huko nyuma enzi za utumish .angalau hapo unakua unaboresha na umeshajua changamoto za kazi.Daaah!!! Hii ilitokea kwa mzee wangu baada ya kustaafu akanunua jengo kubwa(pagale) hivyo kulimalizia limemkomba hela nyingi na bado hakijakamilika.
Aisee majumba makubwa yenye mavyumba makubwa kwa ajiri ya makazi tu ni msala bora hata liwe la biashara.
Zimebakia ngapi na bei ganiMwenye uhitaji wa Bati Charcoal Grey chapa Alaf na kofia zake nimepaua zimebaki nipo Bunju.
Iko Kwa makabila mengine pia.Ukinunua kiwanja jirani na mhaya cha kwanza piga fence ya tofali ndio uanze ujenzi,otherwise atakuibia tu kipande cha ardhi
Nilishauriwa Kujenga mashimo mawili ya choo,la square na duara ,sasa hivi wengi wananiambia naweza kutumia moja la duara,nawaza hili lingine la square kulifanya kisima cha kuvunia maji ya mvua .
sasa umbali wa shimo la maji taka na shimo la maji safi ni sqm moja ,japo hili la maji safi limesakafiwa ndani,wakuu huu ukaribu hautasumbua?
Kumwamini fundi ujenzi na ukamuachia kazi afanye bila wewe mwenyewe kuwepoHabari wana JF
Ni kosa gani ulilifanya kipindi unajenga na ungependa wengine wajifunze ili lisitokee kwao?
Kama kiwanja vimepimwa utawashinda vipimo vitaonyesha ukubwa wa kiwanja chako na vyaoPia kununua kiwanja karibu na mchaga yaani ni shida wao wanachokijua ni kuongeza mipaka hata kama viwanja vimepimwa, hapa nina majirani wawili wote wachaga wote wakati wanajenga ukuta wameongeza mipaka kwa makusudi, kwanza wameng'oa beacons ili kupoteza ushaidi alafu wakajiongezea mipaka.
Wakati najenga nilikua nashinda site na nabeba hadi tofali mwenyewe ,siku moja fundi wangu akaongeza nguvu ya fundi mmoja na saidia wake nilipofika nikasalimia fresh nikaingia kusambaza tofali bwana bwana yule fundi mgeni acha aanze domo domo we unakuja kwenye kazi kibishoo traki safi nini we mtoto wa mama tuu me namchora tu ,fundi wangu akamwambia we ndie boss huyooo😂😂Though sijawahi kuwa na nyumba wala kujenga ila kosa ambalo siwezi kufanya ni kuachia upenyo wowote, nitajipanga vizuri na hela yao yote cash na nitakuwa nao site kufuatilia kila hatua huku nikiwa na nguo za kazi ikibidi kusaidiana nao kabisa.
ulijifunza nini hapo mkuuWakati najenga nilikua nashinda site na nabeba hadi tofali mwenyewe ,siku moja fundi wangu akaongeza nguvu ya fundi mmoja na saidia wake nilipofika nikasalimia fresh nikaingia kusambaza tofali bwana bwana yule fundi mgeni acha aanze domo domo we unakuja kwenye kazi kibishoo traki safi nini we mtoto wa mama tuu me namchora tu ,fundi wangu akamwambia we ndie boss huyooo😂😂
Wakati najenga nilikua nashinda site na nabeba hadi tofali mwenyewe ,siku moja fundi wangu akaongeza nguvu ya fundi mmoja na saidia wake nilipofika nikasalimia fresh nikaingia kusambaza tofali bwana bwana yule fundi mgeni acha aanze domo domo we unakuja kwenye kazi kibishoo traki safi nini we mtoto wa mama tuu me namchora tu ,fundi wangu akamwambia we ndie boss huyooo[emoji23][emoji23]
Tujitahidi kuutumia uzi huu kujifunza zaidi kuliko kutangaza biashara zetu. Karibuni tuendelee kujifunzaDAH, HUU UZI SASA UMESHAGEUZWA JUKWAA LA BIASHARA. TULIANZA KUJIFUNZA SASA NI MWENDO WA BIASHARA
Hapo mtakunywa sana maji yaliyochanganyika na maviNilishauriwa Kujenga mashimo mawili ya choo,la square na duara ,sasa hivi wengi wananiambia naweza kutumia moja la duara,nawaza hili lingine la square kulifanya kisima cha kuvunia maji ya mvua .
sasa umbali wa shimo la maji taka na shimo la maji safi ni sqm moja ,japo hili la maji safi limesakafiwa ndani,wakuu huu ukaribu hautasumbua?