Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Kuna ndugu alinunua eneo la familia aliuziwa na mama mwenye eneo ... mama hakushirikisha binti zake... Kitendo cha kuanza kujenga tu ndugu hao,mara kwa mtendaji mara kwa wazee wa eneo husika.....kijana akaenda kwao akawaleta wazee wa kwao yani wazee hata kutembea hawawezi.... Mama akaulizwa eneo la nani...akajibu lake mwenyewe na kaliuza kwa ridhaa yake...wazee wa hapo na mabinti wakaulizwa nyie kipingamizi chenu ni nini? Mabinti wakadai eti ni urithi wao...wale wazee wakawambia hayo malizaneni wenyewe.....Wazee wakaacha onyo....wao wanaondoka na kijana wao anaendelea kujenga, mkimsumbua mtakuwa mnafanya Kazi ya kuuguza na kuzika mpaka muishe wote.....kwanzia hapo kijana alipata ushirikiano mpaka kwa mtendaji...kila hatua walikuwa wanakuja kuangalia anaendeleaje.
Noma sana hii

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nimependa hiyo. Hao ndio watoto ambao Kuna uzi humu kuna member alileta akilalamika ati Mzee wake msumbufu anataka pesa kila wakati. Nilimjibu hivihivi kuwa sasa hivi baba yako unaona anakusumbua lakin akifa tu ndo unakuwa wa kwanza kugombania mali. Hili suala la urithi kwa watoto linapotoshwa sn. Sasa ona mama yao yuko hai anataka kuuza mali zake zimsaidie pengine watoto hawamjali eti kinatokea kitoto kinatia mikwara kisa urithi. Watoto tujitathimini kwa wazazi wetu.

Huyo jamaa aliwanyoosha, maana wengi huleta sn shida kwa wanunuzi tena Kwa kuwatishia kishirikina ili tu ushindwe kujenga na kuishi. Somo zuri sn hilo.
 
Ukinunua kiwanja jirani na mhaya cha kwanza piga fence ya tofali ndio uanze ujenzi,otherwise atakuibia tu kipande cha ardhi
Kununua kiwanja karibu na mhaya
Pia kununua kiwanja karibu na mchaga yaani ni shida wao wanachokijua ni kuongeza mipaka hata kama viwanja vimepimwa, hapa nina majirani wawili wote wachaga wote wakati wanajenga ukuta wameongeza mipaka kwa makusudi, kwanza wameng'oa beacons ili kupoteza ushaidi alafu wakajiongezea mipaka.
 
Daaah!!! Hii ilitokea kwa mzee wangu baada ya kustaafu akanunua jengo kubwa(pagale) hivyo kulimalizia limemkomba hela nyingi na bado hakijakamilika.

Aisee majumba makubwa yenye mavyumba makubwa kwa ajiri ya makazi tu ni msala bora hata liwe la biashara.
Hilo ni tecnko fault. Makosa ya kiufund.pesa za pension mara nying zinakuaga na moto sana sijui vip ukiingia mrad fulan unaenda kufa .bora kuendeleza mrad ambao ukishakua unaufanya huko nyuma enzi za utumish .angalau hapo unakua unaboresha na umeshajua changamoto za kazi.
 
Ukinunua kiwanja jirani na mhaya cha kwanza piga fence ya tofali ndio uanze ujenzi,otherwise atakuibia tu kipande cha ardhi
Iko Kwa makabila mengine pia.
Kuna ndugu yangu aliuziwa kiwanja Mwaka juzi (2020), Mwaka 2021 aliyeuza kiwanja akaja kupunguza Kwa kudai kwamba aliyeuziwa kiwanja alizidisha kidogo Kwa sehemu aliyoweka alama ya mpaka. Mwaka mmoja alama za mpaka zimewekwa, baadaye ndipo kauli inatoka kwamba "alizidisha" wakati aliyeuziwa kiwanja aliweka alama za mipaka Kwa kuelekezwa na muuzaji.
Muuzaji ni mtu wa mkoa wa Songwe.
 
Nilishauriwa Kujenga mashimo mawili ya choo,la square na duara ,sasa hivi wengi wananiambia naweza kutumia moja la duara,nawaza hili lingine la square kulifanya kisima cha kuvunia maji ya mvua .

sasa umbali wa shimo la maji taka na shimo la maji safi ni sqm moja ,japo hili la maji safi limesakafiwa ndani,wakuu huu ukaribu hautasumbua?

Hapo mzee ni hatari zaidi! Lazima contamination itatokea
 
Pia kununua kiwanja karibu na mchaga yaani ni shida wao wanachokijua ni kuongeza mipaka hata kama viwanja vimepimwa, hapa nina majirani wawili wote wachaga wote wakati wanajenga ukuta wameongeza mipaka kwa makusudi, kwanza wameng'oa beacons ili kupoteza ushaidi alafu wakajiongezea mipaka.
Kama kiwanja vimepimwa utawashinda vipimo vitaonyesha ukubwa wa kiwanja chako na vyao
 
Though sijawahi kuwa na nyumba wala kujenga ila kosa ambalo siwezi kufanya ni kuachia upenyo wowote, nitajipanga vizuri na hela yao yote cash na nitakuwa nao site kufuatilia kila hatua huku nikiwa na nguo za kazi ikibidi kusaidiana nao kabisa.
Wakati najenga nilikua nashinda site na nabeba hadi tofali mwenyewe ,siku moja fundi wangu akaongeza nguvu ya fundi mmoja na saidia wake nilipofika nikasalimia fresh nikaingia kusambaza tofali bwana bwana yule fundi mgeni acha aanze domo domo we unakuja kwenye kazi kibishoo traki safi nini we mtoto wa mama tuu me namchora tu ,fundi wangu akamwambia we ndie boss huyooo😂😂
 
ulijifunza nini hapo mkuu
 
Wakati najenga nilikua nashinda site na nabeba hadi tofali mwenyewe ,siku moja fundi wangu akaongeza nguvu ya fundi mmoja na saidia wake nilipofika nikasalimia fresh nikaingia kusambaza tofali bwana bwana yule fundi mgeni acha aanze domo domo we unakuja kwenye kazi kibishoo traki safi nini we mtoto wa mama tuu me namchora tu ,fundi wangu akamwambia we ndie boss huyooo[emoji23][emoji23]

Tatizo hufanani kabisa na pesa kiongozi [emoji28]
 
Nilishauriwa Kujenga mashimo mawili ya choo,la square na duara ,sasa hivi wengi wananiambia naweza kutumia moja la duara,nawaza hili lingine la square kulifanya kisima cha kuvunia maji ya mvua .

sasa umbali wa shimo la maji taka na shimo la maji safi ni sqm moja ,japo hili la maji safi limesakafiwa ndani,wakuu huu ukaribu hautasumbua?
Hapo mtakunywa sana maji yaliyochanganyika na mavi
 
Wazee wamejenga nyumba ya ghorofa moja master bedroom yao ipo juu sasa umri umeenda kupanda ngazi na kushuka kila siku kwenda chumbani wanaona shida

wamehamia chumba cha chini mdogo wangu ndo kahamia kwenye master bedroom juu

So ukijenga ghorofa baadae ukizeeka utarudi chini labda uweke lift [emoji28]
 
Back
Top Bottom