green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Mkuu hakijaribika kitu watoto wakihama napangisha mabinti wazuri wapate kunifanyia masajiMnaejenga mijumba mikubwa mjitafakari mambo yamebadilika siku hizi hakuna kutembeleana ovyo wala kuishi kwa ndugu kama zamani na watoto wakikua wanakimbilia sehemu nyingine kutafuta maisha ,kwahiyo utabaki na jumba kubwa kama msikiti peke yako