Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Duuh, pole sana kwa usumbufu huo.

Suala la kuzingatia uwepo wa njia ya kupita nalo ni muhimu wakati wa kununua na kujenga
 
Watu wa namna hiyo huwa wachawi. Na mimi Kuna mmoja nakabiliana nae site moja hivi ila nilishamuueleza na ndugu zake kuwa Mimi ni kiboko ya wajinga km wao. Haiwezekani umuuzie mtu kiwanja na kumuonesha njia atakayokuwa anapita, then ghafla kwa sababu ya wivu na ushirikina wako baadae unaziba njia.

Kuuza site/nyumba kwa sababu za wajinga km hao ni uzembe. Mimi Sina mpango wa kuishi hapo leo wala kesho ila muda ukifika watanielewa tu. Mwakani tu nitaenda kuwaonesha show ya kiutu uzima.

Huwezi kuishi kwa kumuogopa mwanadamu mwenzio, na bahati mbaya tu nipo mbali ningewanyoosha.
 
Mkuu Mimi ninahasira zakaribu namtu mwenyewe nimwana mke.bora kushindana namwanaume mwenzako kuliko mwana mke.unaweza kupiga mtu kofi ukaumiza ukajikuta uko kituoni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…