kipara feki
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 231
- 210
Nilimtafuta msimamizi wa ujenzi Mimi nikasafiri kumbe msimamizi akaendelea na mambo yake wakati huo mawe yanasogezwa site, nikapigiwa simu na majirani kuwa mawe yanayoletwa ni machache, nilipo mpigia simu anayeleta akakubali kuwa ni kweli mawe yanayoletwa ni machache nikauliza ni kwa Nini yanaletwa machache akasema chombo chake Cha usafiri ni kibovu hakiwezi kubeba mawe mengi ikabidi tupatane bei upya.