Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Nilimtafuta msimamizi wa ujenzi Mimi nikasafiri kumbe msimamizi akaendelea na mambo yake wakati huo mawe yanasogezwa site, nikapigiwa simu na majirani kuwa mawe yanayoletwa ni machache, nilipo mpigia simu anayeleta akakubali kuwa ni kweli mawe yanayoletwa ni machache nikauliza ni kwa Nini yanaletwa machache akasema chombo chake Cha usafiri ni kibovu hakiwezi kubeba mawe mengi ikabidi tupatane bei upya.
 
Sana Mkuu, alafu hajui mali ya wizi hata huwezi kuifanyia jambo la manufaa.

Hao mafundi wameniibia lakini hakuna cha ziada wamefanya zaidi ya kwenda kulewea hela zangu pamoja na kuhongea mademu.

Saivi nikitaka kujenga ni vyema niweke kambi hapo hapo hadi Ujenzi uishe kwa hatua niliyopanga
Ni kosa kuiba ila ukisema mali ya wizi hufanyii kitu sikubaliani na wewe. Inategemea na mtu, mali iliyoibwa na wapi ilipoibwa.

Wapo watu wanaporomosha majumba na kuanzisha miradi mikubwa kwa mali za wizi kutia ndani hao mafundi. Ukishampa mtu kazi tegemea wiziwizi ndio maana kunawekwa taratibu za kucontrol ili wasifaidi sana ukaingia hasara.[emoji4][emoji4]
 
Ni kweli Mkuu, hata hivyo Tunaendelea kujifunza.

Ila kuanzia sasa nitajenga nikipata nafasi ya kusimamia mwenyewe
 
Kujifunza hakujawahi koma. Na kuibiwa kupo ndio maana lazima tuweke ukomo wa uvumilivu wa wizi vinginevyo mtu anatupwa ndani.

Kuna paa lillipauliwa bati lilipoezekwa ningekuwa mimi ningetupa mtu rockup. Paa lina mkia kama wa ndege.
 
Ni kweli, lazima kuwe na kiasi cha uvumilivu.

Kama unafanyiwa uhuni wa namna hiyo lazima kumuadabisha huyo Fundi, ukiwachekea anakurudisha nyuma
 
Nunua Generator kubwa la kuanzia laki 6 mpaka mil 1.2, umeme ukikatika wa Tanesco washa Generator lako weka mafuta ya Tsh 10,000 unamaliza Shida zote za Ndani Bila Mawazo
Sola ni nzuri zaidi kuliko genereta Kwa upande wangu.Taa za nje zote nimeseti mfumo wa sola.napambana mdogo mdogo kuset kwenye mfumo wa nyumba nzima
 
Ni kweli Mkuu, hata hivyo Tunaendelea kujifunza.

Ila kuanzia sasa nitajenga nikipata nafasi ya kusimamia mwenyewe
Ninachoshindwa kuelewa ni pale kila mmoja anaposema atasimamia mwenyewe,je atasimamia ubora ambao Nina uhakika si woote wanaouwezo wa kujua hapa fundi kachakachua ,kajenga chini ya kiwango na kujua masuala ya kusoma vipimo au watasimamia vifaa ambako pia sio wengi wanaojua mambo ya udhibiti,usimamizi na ulinzi wa vifaa
Maana kama haujui a b c za ujenzi ni kwamba hata ukisimamia mwenyewe bado huwezi kumrekebisha fundi kwa kitu ambacho atakosea na pia anaweza akakuharibia kwa makusudi kwa kutaka tuu kukukomoa kwa sababu na wewe umekuja kuwasimamia kwa lengo la kuwakomoa

Ni kujifunza a b c za kitu unachopanga kukisimamia ,iwe KAZI za matope,KAZI za useremala(kazi zoote zitakazohusisha mbao) ,kazi za rangi ,kazi za mabomba ,umeme na upambaji ukiweza kujifunza zoote ni bora au ujifunze nusu ya hizo .....bila kusahau kuomba mungu akusaidie ulinzi huo na ulinzi wa vijicho vya wananchi
 
Binafsi nina ufahamu wa mambo ya Ujenzi, nilichokosa ni nafasi ya kusimamia projects zangu kutokana na Muajiri wangu kunilia almost muda wangu wote.
 
1. Kumtafuta fundi ambaye ni ndugu yangu kwa lengo la kuokoa gharama. Aliharibu Foundation ya nyumba, alimanusura nibomoe jengo lote. Niliokoa baada ya kutafuta fundi mwingine.

2. Kujenga nyumba kubwa kinyume na uwezo.
Hii ni htar sana Mara nyingi ndgu kila sehemu hutaka kufnya uharbifu we ukiwa unamuwazi vzuri yy analeta wivu na ukute ni fundi mzur tu ila kwa wengne
 
Nicholewa na ramani na fundi ambaye hakuwahi kuipna site kisa ni mshkaji wangu nilisoma naye,yupo kanda ya ziwa mm nipo dar[emoji2],
 
Yalikukuta yepi mkuu
Shea nasi tafadhari
Site yangu ina muinuko kwahiyo kuna mahali ilibidi iww na underground room lkn kutokNa na kutokuwepo mchora ramani ikajakunicost ktk kifusi,kuna suala la master bedroom ina dirisha moja tu tofauti na vyumba vingine vina madirisha mawili ambapo naamini mchora ramani angekuwwpo site tungeshauriana vzr!!
 
Nicholewa na ramani na fundi ambaye hakuwahi kuipna site kisa ni mshkaji wangu nilisoma naye,yupo kanda ya ziwa mm nipo dar[emoji2],
Ulichokosea ni kutompa mchoraji walau clue ya jinsi eneo lako lilivyo, kuna wakati wala sio lazima sana mchoraji kufika site kama unaweza kumpa walau ni jinsi gani eneo lako lipo, mipaka ya mbele, kushoto, kulia na nyuma, njia ilipo, landscape nk
20230412_080219.jpg
 
Back
Top Bottom