matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Always makosa ya kawaida hayaepukiki na sometimes huja kugundulika ujenzi ukiwa umeshakamilikaHabari wana JF
Ni kosa gani ulilifanya kipindi unajenga na ungependa wengine wajifunze ili lisitokee kwao?
Basement ni ni mkuu?.Kujenga basement najuta sana
Sloped land changamoto saana hususan Kwa ujenzi wa kuunga ungaKuna fundi kanijenge nyumba nikiiangalia siiamini, kuna ukuta mmoja mrefu balaa, Tumeforce kujenge nyumba ya kawaida kwenye slope tukikwepa kuweka basement.
Siiamini sana, ila nimechukulia kama pilot stage ya kujifunzia, Ikizingua naiedit kivingine
Lazima kuweka wiring mbili? Sio wiring moja na Ile main switch ndio Una adjustKutoweka wiring system ya solar! Mnaojenga saivi hili nalo mlitizame..
Aisee mimi sijui, ila fundi aliniambia tulisahau wiring ya solar, sasa alichomaanisha ni nini hapo?Lazima kuweka wiring mbili? Sio wiring moja na Ile main switch ndio Una adjust
Hili Jambo ni muhimu. Inabidi tuulize wataalam nisije kurudia kosa.Aisee mimi sijui, ila fundi aliniambia tulisahau wiring ya solar, sasa alichomaanisha ni nini hapo?
Ila ni nzuri sana mkuu, unajenga basement nzuri, au kama vipi unajenga kinda ghorofa, tena ukipata designer mzuri unatoa kagorofa kakishkaji kazuri sana.Sloped land changamoto saana hususan Kwa ujenzi wa kuunga unga
Wakuu na Mimi naomba Mwenye ramani ya vyumba vitatu
Vyote viwe na vyoo ndani,
Na jiko,
Anitumie PM
Naomba mawazo pia ili nisije kufanya makosa
Ukipata mzigo funga system nzuri ya solar, ambayo utakuwa unaitumia kuliko umeme wa tanesco, japo gharama yake huenda ikawa kubwa ila utaokoa pesa nyingi kwa baadae.Hili Jambo ni muhimu. Inabidi tuulize wataalam nisije kurudia kosa.
Wewe kweli Mnyiramba. [emoji28][emoji23]Mnaejenga mijumba mikubwa mjitafakari mambo yamebadilika siku hizi hakuna kutembeleana ovyo wala kuishi kwa ndugu kama zamani na watoto wakikua wanakimbilia sehemu nyingine kutafuta maisha ,kwahiyo utabaki na jumba kubwa kama msikiti peke yako
hakuna mantiki ya kuweka wiring mbili zaidi ya kuongeza gharamaAisee mimi sijui, ila fundi aliniambia tulisahau wiring ya solar, sasa alichomaanisha ni nini hapo?
Kila mtu amalize haja zake chumbani kwake,Vyoo vitatu kwenye nyumba moja kuna mashindano ya kwenda haja?[emoji276]
Fundi alikuwa kiwango kidogo ??kujenga style ya flat roof yani nyumba kuvuja ni 50/50.
Tume Note mkuunashauri msijenge nyumba kubwa ni mateso