Mworia's Inc
Member
- Apr 6, 2014
- 8
- 6
Mzee hapa mbona ulilikoroga mwenyewe mapema tu...yani Ghorofa la vyumba 6 na watoto ni wakubwa uko serious au umeandika tu kuchangia mada?..Kujenga GOBA ghorofa ambalo lina vyumba 6 , nina watoto wanne na wote wapo. chuo, wakifunga wanaenda kwao, nyumba imebaki ukiwa, tunalala vyumba vya chini na ghorofani analala dada wa kazi na kaka wa kazi.
#Vijana jengeni nyumba za kawaida, vyumba viwili tu#
Alafu unamwambia kijana wa miaka 25 - 30 ambaye hana hata mtoto ajenge vyumba viwili?