Libadi
Senior Member
- Apr 13, 2018
- 142
- 198
Yaan najuta kbisaaa yan mvua ikinyesha balaaKujenga style ya flat roof yani nyumba kuvuja ni 50/50.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan najuta kbisaaa yan mvua ikinyesha balaaKujenga style ya flat roof yani nyumba kuvuja ni 50/50.
Kwa hiyo mwana hivi vinapartment vyangu ni paue kwa mtindo wa zamani?Kujenga contemporary.
Yule fundi msenge sana, alijifanya mtaalamu aliyeshindikana. Mataokeo yake mjengo mzuri halafu unavuja. Alivyo fala eti anasema labda ndugu hapo kijijini wanaroga nyumba. Nimempa laana kubwa.
Aisee kibarua ni kibarua tuu ata kama ni baba yako.🤣🤣🤣Kumuamini fundi na kumuachia kazi wakati nimi niko mbali😭😭
Ndio ujenzi huo mwanawane mafundi wangese sana...hao nikukaa nao bumpe to bumper.Though sijawahi kuwa na nyumba wala kujenga ila kosa ambalo siwezi kufanya ni kuachia upenyo wowote, nitajipanga vizuri na hela yao yote cash na nitakuwa nao site kufuatilia kila hatua huku nikiwa na nguo za kazi ikibidi kusaidiana nao kabisa.
Mwana usidanganywe na mtu, conte ni kimeo vibaya sana. Kwanza huo sio mtindo wa zamaniKwa hiyo mwana hivi vinapartment vyangu ni paue kwa mtindo wa zamani?
Hii kaka ili kugharimu kiasi gani kwa square metre ? Nataka kujenga kighorofa na mimi nataka kujua gharama.Kujenga kighorofa.
Jameni, hii shughuli si yakitoto. Ningejenga nyumba ya chini ya vyumba viwili, ningesha hamia kitambo!
Eh😂😂😂😂😂😂😂Mume wangu kuweka siling board ina angusha vipande-vya-chokaa, wakati wa ku-duu nikiangalia juu yaani kifo cha mende viuchafu vinaangukia machoni
Kujenga GOBA ghorofa ambalo lina vyumba 6 , nina watoto wanne na wote wapo. chuo, wakifunga wanaenda kwao, nyumba imebaki ukiwa, tunalala vyumba vya chini na ghorofani analala dada wa kazi na kaka wa kazi.Habari wana JF
Ni kosa gani ulilifanya kipindi unajenga na ungependa wengine wajifunze ili lisitokee kwao?
Una watoto wako halafu wakifunga wanaenda kwao wapi?Kujenga GOBA ghorofa ambalo lina vyumba 6 , nina watoto wanne na wote wapo. chuo, wakifunga wanaenda kwao, nyumba imebaki ukiwa, tunalala vyumba vya chini na ghorofani analala dada wa kazi na kaka wa kazi.
#Vijana jengeni nyumba za kawaida, vyumba viwili tu#
Labda maghetoni mwao😁Una watoto wako halafu wakifunga wanaenda kwao wapi?
Hii ya kwenda vyuoni na kurudi nyumbani wakati wa likizo, ni trailer tu. Filamu yenyewe itawajia utakapofika wakati wao wa kujitegemea. Kila mtoto atakwenda kuanzisha familia yake. Mtabaki wawili kama wakati mlipooana.Kujenga GOBA ghorofa ambalo lina vyumba 6 , nina watoto wanne na wote wapo. chuo, wakifunga wanaenda kwao, nyumba imebaki ukiwa, tunalala vyumba vya chini na ghorofani analala dada wa kazi na kaka wa kazi.
#Vijana jengeni nyumba za kawaida, vyumba viwili tu#
hili nalo nendeni mkalitazameMume wangu kuweka siling board ina angusha vipande-vya-chokaa, wakati wa ku-duu nikiangalia juu yaani kifo cha mende viuchafu vinaangukia machoni
Nisaidie no ya fundi alikujengeaView attachment 2855850View attachment 2855851View attachment 2855852hii nyumba namjengea bibi ina vyumba viwili,jiko na sebule ..kupaua fundi ameniambia inakula bati 150,4×2 mbao 160..
Fundi yupo sahihi na hesabu zake?
Kujenga nyumba kubwa kuliko uwezo una define vipi hii? Utajuaje kama uko kwenye hii spot?1. Kumtafuta fundi ambaye ni ndugu yangu kwa lengo la kuokoa gharama. Aliharibu Foundation ya nyumba, alimanusura nibomoe jengo lote. Niliokoa baada ya kutafuta fundi mwingine.
2. Kujenga nyumba kubwa kinyume na uwezo.