min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hidden roof bati 150 ni utapeli mkubwa mnoNyumba zote mbili nimejenga mfumo wa hidden roofing sijawahi kujenga hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hidden roof bati 150 ni utapeli mkubwa mnoNyumba zote mbili nimejenga mfumo wa hidden roofing sijawahi kujenga hivyo.
Nimefurahi kukuona tena humu jf Madam!Maisha yakibadilika hii unaweza kuibadilishia matumizi iwe bed and breakfast.
Hii system ya heater nimeona rafiki zangu wameweka kule Rombo, maji ya moto ni 24/7. Kuoga iwe uchafu wako wa asılı tu.Heater weka ya solar
Hizi zingine unaweza kutana na wajinga wakaiwasha siku nzima
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wakati unakimbia kodi mara nyingi huwazi dada wa kazi atalala wapi lakini huyu ni sehemu ya familia.nafikiri ulikua sahihi mwanzo kwakua nia nikukimbia nyumba zakupanga ukiwa kwako unaweza jiendeleza taratibu kulingana na mahitaji.
Mninga mchwa hawawezi kulakujenga mjengo mkubwa wenye complication kibao za rooms ambao haukuwa na ulazima sana hadi majirani mtaani na wapita njia walijua lodge, pia kuamini dawa ya mbao niliyopakiwa pale niliponunua mbao nikapaua hivyo hivyo. Next time mafumdi mjipange, ela mtakula ila kwa jasho na mtafanya kazi huku mnanielekeza hatua kwa hatua na mimi nitakuwa nachangia.!
Hela ingeruhusu ungeenda vertical, chini jiko, dining sebule, choo cha wageni na master bedroom. Juu vyumba vya watoto na family bathroom.Mimi nilinunua eneo dogo kwa milioni 4 ni 20*20 tukakubaliana na mwenyeeneo niongee 4m zingine aniongezee 20*20, nikaenda kukopa bank kurudi nakuta amepauza, ikabidi ile hela nianze ujenzi nyumba ilichukuwa miaka 4 kufikia hatua ya kuhamia nikiwa namaliza vitu vichache vilivyobaini.
Chumba changu cha master nilikijenga sehemu mbaya hakina upepo, vyumba 2 sio masters na ni vidogo ukipata ugeni ni shughuli.
Parking ni ndogo.
Wanaula vizuri sana tu,Mninga mchwa hawawezi kula
Kwahiyo mbao Gani ambayo hawaliWanaula vizuri sana tu,
Mambo yatabadilika tu, kuanzia Vikawe mpaka Bunju jiandaeni. McJobs alirudi kurndeleza bandari kodi ırağıma 2M kama Sinza. Najutia kwenda kujenga nyumba maeneo ya karibu na bagamoyo kwa kudanganywa na awamu ya nne kuwa bandari itajengwa soon,bwana weee!! Tunajuta mpaka leo na washkaji zangu,nyumba ambazo zingekuwa maeneo ya karibu na tegeta tungekula kodi hadi laki tano kwa mwezi,
Sasaivi tunaambulia kodi ya laki na nusu eti nyumba nzima
Labda mti wa mlingoti,maana ni mgumu balaa,ile miti ya nguzo za umeme,Kwahiyo mbao Gani ambayo hawali
Mi nimejengea mapinga karibu na platnum BarMambo yatabadilika tu, kuanzia Vikawe mpaka Bunju jiandaeni. McJobs alirudi kurndeleza bandari kodi ırağıma 2M kama Sinza
Miti ya mlingoti si ndiyo inatla sufi. Miti ya Nguni za umeme ni mitikiLabda mti wa mlingoti,maana ni mgumu balaa,ile miti ya nguzo za umeme,
mchwa nuksi kabisa,sijui wanafaida gani hadi Mungu aliwaumba mchwa na kunguru
Hapana sio mitiki, mitiki haiwezi kuvumilia maji, miti ya nguzo za umeme milingoti,maana hainyonyi maji na imaraMiti ya mlingoti si ndiyo inatla sufi. Miti ya Nguni za umeme ni mitiki
Unaweza kuweka units kama hizi mbili kwenye kiwanja cha 20x20 ukaweka wapangajiView attachment 2467657
Angalia hii
Sure nilikuwa muoga sana, Mungu ameijalia naanza mwakani sehemu nyingineHela ingeruhusu ungeenda vertical, chini jiko, dining sebule, choo cha wageni na master bedroom. Juu vyumba vya watoto na family bathroom.
Nimependa size ya madirisha pia roof imepanda maana yake ndani kuna mzunguko mzuri wa hewa.Vipi hapa imekaaje wakuu?View attachment 2470699
Asubuhi watu wanasubiriana kutumia chooNiljenga nyumba kubwa kuzidi mahitaji wa familia yangu na uwezo wangu. Sebule kukwaa, jiko kubwaaa, dinning kubwaaa, stoo kubwaa na coridor kubwa mbele na na jikoni. mwaka wa 10 sasa nyumba haina finishing ya maana.
Mbaya zaidi nikaweka chumba kimoja tu kuwa self wakati vingine vyote vinne vya kulala vikitegemea bafu moja na choo kimoja. Ni makosa ambayo sitakaa niyafanye tena nikifanikiwa kukamata fyedhaa.