Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Kujenga sehemu ambayo ukiwa na usafiri kutoka, kuingia na parking ni shida.
Nimeuza nyumba nikajenga sehemu nyingine.
Huo nao ni mtihani mkubwa. Maana wakati unajenga huna gari/usafiri baadae ndio unanunua gari halafu gari unaomba kulaza kwa jirani

Kwa watu wa Dar ni kawaida kulaza gari shell au kwenye ofisi za CCM 😀😀
 
🌱Group hili nikwa wakulima WA miti ya mitiki.

🌱Lengo Nikupeana ushauri juu ya upandaji na uvunaji pamoja na changamoto mbali mbali zinazolenga maswala ya miti.

🌱Pia Nikujua masoko ya ndani na nnjee.
 
Kujenga kighorofa.
Jameni, hii shughuli si yakitoto. Ningejenga nyumba ya chini ya vyumba viwili, ningesha hamia kitambo!
Mafundi wameniingiza chaka kwenye hili mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]. Nimepigwa na kitu kizito sanaaa
 
sijui kama nimekosea au lah ila study room kuiweka karibu na chumba cha watoto naona kama jau, ningeweza ningeiweka sehemu neutral kabisa.....hizi working from home madogo wanasikia kila kitu nikiongea....
 
Labda mti wa mlingoti,maana ni mgumu balaa,ile miti ya nguzo za umeme,

mchwa nuksi kabisa,sijui wanafaida gani hadi Mungu aliwaumba mchwa na kunguru
Mlingoti hamna kitu,mchwa wanatafuna Kama biscuit.

Mtu Ni mninga au mkarati uliokomaa
 
sijui kama nimekosea au lah ila study room kuiweka karibu na chumba cha watoto naona kama jau, ningeweza ningeiweka sehemu neutral kabisa.....hizi working from home madogo wanasikia kila kitu nikiongea....
Na makelele yao yanasikika ukiwa hauko mute
 
Back
Top Bottom