Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Hata hivyo sidhani kama wiring ya solar itakuwa so complex kama ya kawaida, hivyo waya unaoingia hauwezi kuwa mwingi sana . Asante kw maelezo mazuri mkuu.
 
In short aweke change over switch au kama anaenda kidigital zaid aweke deep sea control panel na contactors, kwa mfumo huu kitu kinakuwa automatic, Tanesco ikikata solar inaunga automatically and vise versa! Mie hicho ndo lilichofanya kwangu!
 
Je mtu ambaye ameshafanya wiring anaweza akaongeza wiring ya pili?
 
Maelezo yamejitosheleza sana mkuu!
 
kufanya wiring mbili ni nzuri zaidi, Bomba ni moja ila zinapitisha wires za Tanesco na hizo za Solar! Inapendeza zaidi
Si shauri hivyo mkuu kutumia bomba moja la kupitisha nyaya za umeme tanesco na solar pamoja, weka tofauti kuepuka leakage/short cct.
Kama uko vizur tumia inverter kubadili aina ya umeme au Two wiring kwa nyumba za wapangaji

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu hasara za solar kwenye kununua bettery mara kwa mara hii hutokana na kutokupata fundi mtaalamu wa solar au kuto kuzingatia masaa/ idadi ya vifaa ya umeme yaani umeme wa solar ni wa mahesabu kama kununua luku, ukiongeza vifaa au kuwasha hovyohovyo hivyo hivyo luku juu na kinyume chake!!

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ukitaka maeneo mazuri nunua viwanja vilivyo pimwa na makampuni tena viwe na vipimo vikubwa, ukiwa unanunua tu viwanja kwa mtu ana kukatia eneo tu baada ya miaka 10 panakuwa mazense

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…