comment #98 imejibu vizuri, pasi, jiko na vifaa vyenye Watts
Nyingi (300W au zaidi) ni msala kwa Solar (
japo kama uko vizuri kifedha inawezakana )
Solar hasa inahitaji vifaa laini (Watts Ndogo) kama taa,
friji, TV, nk
ukiweka
Inverter utatumia vifaa vyote vile vinavyoendeshwa na
tenesco isipokua vile vikubwa
pasi, jiko, nk
fundi anaweza weka udhibiti kwenye mfumo wa Solar ( mbele ya
Inverter ), mathani
fyuzi ambayo itakata pale mtu atakapochomeka vyombo vizito kama pasi kwenye soketi wakati mfumo wa Solar ukiwa unaopareti
kuhusu size ya mfumo weka vifaa ulivyonavyo, mie au mtu mwingine anawezasaidia pia
ila kwa ushauri tu juu ya tech ya vifaa (ni swala la
ufanisi) nashauri hivi:
1.
Solar Panel, chagua ya panel ya
Mono badala ya
Poly , soma zaidi
hapa, bei zimechangamka
2.
Charge Controller, chagua
MPPT badala ya
PWM, soma zaidi
hapa , bei zimechangamka
3.
Battery , wanasema zile za Minara ziko poa
3.
Inverter, chagua yenye kutoa
Pure Sine Wave, hii itaendesha vizuri ile vifaa vya umeme vyenye
mota ndani kama friji, feni, mashine ya kunyolea, nk