Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Kununua kiwanja sehemu sloped kunaongeza sana gharama ya ujenziKununua kiwanja sloped.
Any way Mungu ni mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kununua kiwanja sehemu sloped kunaongeza sana gharama ya ujenziKununua kiwanja sloped.
Any way Mungu ni mwema
FafanuaKujenga basement najuta sana
Huo ukuta aweke beams otherwise utakuja wadondokea sababu ya uzito wa paaKuna fundi kanijenge nyumba nikiiangalia siiamini, kuna ukuta mmoja mrefu balaa, Tumeforce kujenge nyumba ya kawaida kwenye slope tukikwepa kuweka basement.
Siiamini sana, ila nimechukulia kama pilot stage ya kujifunzia, Ikizingua naiedit kivingine
Mwenzako anajuta kujenga basement wewe unaongelea basement hapsIla ni nzuri sana mkuu, unajenga basement nzuri, au kama vipi unajenga kinda ghorofa, tena ukipata designer mzuri unatoa kagorofa kakishkaji kazuri sana.
Huo msingi....balaaNi kweli kabisa. Ila Ila garama za sement na nondo hapo si kitoto.
Mbona kama mimikujenga style ya flat roof yani nyumba kuvuja ni 50/50.
Kwa monitoring nzuri ya umeme wako wa solar....tumia wiring tofauti.Kwa sasa,kulingana na mambo ya mgao wa umeme, kuwa na mfumo wa solar ni muhimu sana.
Mfumo wa solar utatumia hiyohiyo wiring kwa mtu mwenye uwezo kwa kuweka inverter na change over switch ili kubadili tanesco/solar, vyote hivyo vitahitaji distribution network mapema ikiwa ni sehemu ya battery,inverter na solar yenyewe.
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Mjumba mkubwa hakikisha unaumalizia vizuri upendeze, la sivyo utauchukia. Kingine si tulikubaliana utazaa watoto wawili tu, sasa mjumba mkubwa wa nini🤣Mi napenda mjumba mkubwa asee mambo ya kubanana hapana...acha hao watoto wasepe
Mkuu ukijenga kwenye sloped land ni vizuri ukakadesign kajumba kako vizuri, underground inafanya usijenge limsingi likubwa kupitiliza, lakini unaweza kufanya design nzuri tu, chini sitting, dining, jiko, public toilet, store...then juu ukaweka bedrooms zako za kutosha. Sio lazima kujenga basement ya kufugia mbwa au kuku.Mwenzako anajuta kujenga basement wewe unaongelea basement haps
Basement na underground ni kitu like kile..ni maeneo yanayotumika Interchangably..issue ni gharama za kujenga hiyo basement..coz itahitaji msingi mkubwa pia na beams za kutosha..gharama ya kujenga vyumba viwili vya basement ni Sawa na gharama ya kujenga nyumba ya vyumba vinne hadi vitano kwa juu..Cha msingi epuka viwanja vya slope kama huna elaMkuu ukijenga kwenye sloped land ni vizuri ukakadesign kajumba kako vizuri, underground inafanya usijenge limsingi likubwa kupitiliza, lakini unaweza kufanya design nzuri tu, chini sitting, dining, jiko, public toilet, store...then juu ukaweka bedrooms zako za kutosha. Sio lazima kujenga basement ya kufugia mbwa au kuku.
Hiyo line ya mwisho ina mantiki saana.Basement na underground ni kitu like kile..ni maeneo yanayotumika Interchangably..issue ni gharama za kujenga hiyo basement..coz itahitaji msingi mkubwa pia na beams za kutosha..gharama ya kujenga vyumba viwili vya basement ni Sawa na gharama ya kujenga nyumba ya vyumba vinne hadi vitano kwa juu..Cha msingi epuka viwanja vya slope kama huna ela
Blaza blaza vyumba vingine vya ndugu kutoka kishimundu na ugweno. Au tukija utatulaza guest ??Mjumba mkubwa hakikisha unaumalizia vizuri upendeze, la sivyo utauchukia. Kingine si tulikubaliana utazaa watoto wawili tu, sasa mjumba mkubwa wa nini[emoji1787]
Mzee hapo ulihitaji fundi mzuri wa kupaua plus usiwe mchungu wa materials.kujenga style ya flat roof yani nyumba kuvuja ni 50/50.
Wengi wananunua viwanja vya Kwenye slope kwa kuwa ni cheap..but gharama zutarudi kwenye ujenziHiyo line ya mwisho ina mantiki saana.
Hili nalo mlitizame.Kumuingiza mke asiestahili heshima ya nyumba yangu
Wezi waliiba wire na main switch ,socket breaker anyway ni kama nitaanza wiring upyaSawa...ulipata tatizo gani?
Ni fantasy yangu asee...nyumba ndogo sipendi abadanMjumba mkubwa hakikisha unaumalizia vizuri upendeze, la sivyo utauchukia. Kingine si tulikubaliana utazaa watoto wawili tu, sasa mjumba mkubwa wa nini[emoji1787]
Mlinzi mkuu...wezi wanaliza wengi hapaWezi waliiba wire na main switch ,socket breaker anyway ni kama nitaanza wiring upya