HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Sio maji tu bali usafi madhubutiNi kweli,, vyoo vya ndani bila maji yakutosha ni mtihani [emoji846]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio maji tu bali usafi madhubutiNi kweli,, vyoo vya ndani bila maji yakutosha ni mtihani [emoji846]
Mbona si wahaya wote panzi?Kununua kiwanja karibu na mhaya
Kifusi nilifanikiwa kujaza mkuu...Na bado hapo una kazi ya kujaza kifusi kijae 🤣🤣🤣
Wengine wanapenda Ubosikwenye ujenzi wa nyumba wewe mweye nyumba ndo fundi mkuu usicheze mbali kwa hatua zote muhimu za ujenzi
Ukinunua kiwanja jirani na mhaya cha kwanza piga fence ya tofali ndio uanze ujenzi,otherwise atakuibia tu kipande cha ardhiMbona si wahaya wote panzi?
Sasa kama pamepimwa mgogoro watokea wapi?Pia kununua kiwanja karibu na mchaga pia yaani ni shida wao wanachokijua ni kuongeza mipaka hata vimepimwa yani fundi wa kuanzisha migogoro
Kuna sehemu nilienda yule jamaa ana battery 50 za backup zinatoa 10KVPia njia sio lazima ufungunge mfumo mzima wa solar, unaweza kufunga back za battery na inverter pekee zinajichaji wakati wa unaumeme wa January, ukikatika ngoma unawashwa
Hukuwepo?Uzi mzuri huu. Kwa kuanzia mimi mafundi walipindisha lenta.
Nasubiri kupaua sasa nione kitakchofuata.
Mbona letu mwaka wa 13 halijawahi tokea chochote na linajaa hadi maji yanamwahika?Likijaa hadi juu tegemea bomu .. presha ya maji na ukubwa wa mzingo 10,000 litres lazima liitike kama sio leo siku za mbeleni..
Ushauri wangu....
Usinunue tank...kubwaaa au usilijaze sana, Bora hata ununue mawili ya 5000litres each
Sio poa kifusi kilichoingia hapo. Hongera sanaKifusi nilifanikiwa kujaza mkuu...
Hiyo ni guest houseHii kuna rafiki yangu amejenga nyumba ya kisasa ila imekosa choo ndani..inamuuma saana...kwasababu alikua amejenga kidogo kidogo yani kwa kudunduliza...sasa kama unavyojua maisha yanabadilika...anajilaumu vibaya. Vyumba 5 ndani ila choo cha nje.
Hukuona?Niliweka Master bedroon karibu sana na kitchen store na jiko, tatizo kubwa ninalopata ni ma house girl ninaopata wanaongea sana na simu hivyo room inakosa kabisa utulivu
Watu kama hawa wakizeeka inakuwa taabuVyumba vitano vyote vya nini, aue chumba kimoja afanye kutengeneza vyoo vya ndani. Tena achague chumba kilichopo karibu na chumba chake ili atengeneze choo cha master na choo cha public.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ni guest house
Kwamba wataka sema kati ya member wote hakuna member 50,000 wenye Nyumba?Wale ambao hatujajenga tunasikilizia mchongo maana jf kila mtu kakamilika
Ndo ukweli huo. Kawaida nyumba yatakiwa iwe na vyumba 3, Dining, Kitchen, Sebure...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dahhh we jamaa umevurugwa!!.
Urefu, upana wake upoje25000 mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka dah, mume wangu nae hapendi nyumba kubwa, wakat tunajenga tulibishana sana akajenga two bedrooms tu, saizi familia imeongezeka kichwa kinamuwaka moto [emoji119]Mnaejenga mijumba mikubwa mjitafakari mambo yamebadilika siku hizi hakuna kutembeleana ovyo wala kuishi kwa ndugu kama zamani na watoto wakikua wanakimbilia sehemu nyingine kutafuta maisha ,kwahiyo utabaki na jumba kubwa kama msikiti peke yako
Kuna ndugu alinunua eneo la familia aliuziwa na mama mwenye eneo ... mama hakushirikisha binti zake... Kitendo cha kuanza kujenga tu ndugu hao,mara kwa mtendaji mara kwa wazee wa eneo husika.....kijana akaenda kwao akawaleta wazee wa kwao yani wazee hata kutembea hawawezi.... Mama akaulizwa eneo la nani...akajibu lake mwenyewe na kaliuza kwa ridhaa yake...wazee wa hapo na mabinti wakaulizwa nyie kipingamizi chenu ni nini? Mabinti wakadai eti ni urithi wao...wale wazee wakawambia hayo malizaneni wenyewe.....Wazee wakaacha onyo....wao wanaondoka na kijana wao anaendelea kujenga, mkimsumbua mtakuwa mnafanya Kazi ya kuuguza na kuzika mpaka muishe wote.....kwanzia hapo kijana alipata ushirikiano mpaka kwa mtendaji...kila hatua walikuwa wanakuja kuangalia anaendeleaje.Watu wa namna hiyo huwa wachawi. Na mimi Kuna mmoja nakabiliana nae site moja hivi ila nilishamuueleza na ndugu zake kuwa Mimi ni kiboko ya wajinga km wao. Haiwezekani umuuzie mtu kiwanja na kumuonesha njia atakayokuwa anapita, then ghafla kwa sababu ya wivu na ushirikina wako baadae unaziba njia.
Kuuza site/nyumba kwa sababu za wajinga km hao ni uzembe. Mimi Sina mpango wa kuishi hapo leo wala kesho ila muda ukifika watanielewa tu. Mwakani tu nitaenda kuwaonesha show ya kiutu uzima.
Huwezi kuishi kwa kumuogopa mwanadamu mwenzio, na bahati mbaya tu nipo mbali ningewanyoosha.