Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu natamani kujenga nyumba simple ya kuanzia maisha nijenge vyumba vingapi niliwaza nijenge vyumba viwili na self container na kajiko vipi hapo?
Kwa malengo ya upangishaji baadae,hii ni nzuri,km utaamua kujenga tena nyumba ya ndoto yako hyo ya two rooms utaitumia kibiasharaVyumba viwili..cha master na Cha wa watoto..Bila jiko wala stoo..yaani najuta japo nilikuwa nilikuwa nabana matumizi kipindi najenga..
Nimeamua kujenga kajumba kengine kadogo nje kawe ka wageni au watoto wa kiume
Hili nalo, watu tunajenga tukiangalia leo badala ya miaka 20 ijayo, laundry room ni muhimu hata kama huna washing machine leo, miaka ijayo utainunua!!Kusahau kuweka chumba Cha kufulia...
kuepukana na complications zote hizi nunua plots ambazo ZIMEPIMWA, plot ambazo zimepimwa hakuna hizi habari za kujikuta umezungukwa na waswahili, sijui barabara hakunaNilichofanya sasa hivi nimenunua kiwanja hadi na njia ya kunipeleka main road...
haikua njia nimenunua in terms ya viwanja vya 5 kwa 10, nikaenda mbele tena nkakuta 5 kwa 15 nikaenda hvyo hvyo hadi cha kule mbele kilikua na 10 kwa 12 ... vyote hvyo si vya kujenga kitu ila n njia yangu ya kupita na kutoka na gari, Hajengi KIMA yoyote wala otesha mti nyau yoyote yule.
na hamna anaejua nmevnunua viwe njia wote wanajua n viwanja ntakuja jenga mabanda ya kuku.
Bora mumeo aongeze mke muwe wawili,nyumba utaona ndogo sana
Bado Kaka naunga unga kama kinda wa dalalaMkuu kwahiyo bado haujaanza maisha![emoji276][emoji276]?
Nimeshindwa kuolewa hiiView attachment 2467657
Angalia hii
Nini haujaelewa hapo mkuu?Nimeshindwa kuolewa hii
Yani unakaa juu ya maji?Kama una shimo lubwa kwenye msingi, unaweza kulitumia kama septic tank au kiaima cha maji, lakini hii lazima plan ianze wakati unaaanza kujenga.
Unaweza kuweka shimo la choo kwenye msingi na bado ukawa na hivi vyoo vya kawaida vya kuflash.
Watu qenye viwanja vidogo pia huwa wanaweka mashimo yao kwenye msingi wa nyumba
Kuna nyumba zingine huwa wanaweza visima
Ilivyokakaa mkuu sebele kama mbili hiviNini haujaelewa hapo mkuu?
Kitu kama hii ilinikuta, fundi anafix toilet sink kwa kusakafia na cement! sink la kunawia mikono anafi kwa vipande vya bomba la maji! Daah! ilibidi niite plumber mwingine akarekebisha kwa gharama mara mbili ya ile iliyotumia mwanzo! Nimekoma mie!Kuajiri plumber uchwara. Kuta maji yanavuja rangi imebanduka sana
Hili nalo, watu tunajenga tukiangalia leo badala ya miaka 20 ijayo, laundry room ni muhimu hata kama huna washing machine leo, miaka ijayo utainunua!!
View attachment 2467657
Angalia hii
Baya zaidi watoto wanafikia kuhamia makwao kabla hata nyumba hujaimaliza finishing!Mnaejenga mijumba mikubwa mjitafakari mambo yamebadilika siku hizi hakuna kutembeleana ovyo wala kuishi kwa ndugu kama zamani na watoto wakikua wanakimbilia sehemu nyingine kutafuta maisha ,kwahiyo utabaki na jumba kubwa kama msikiti peke yako
Bado Kaka naunga unga kama kinda wa dalala
Kama unauwezo wa kujenga nyumba ya ghorofa 1 mfano, uwe na master bedrooms mbili. Moja juu na moja chini.Upo sahihi mkuu mazoezi ni muhimu
Sema wazee wameamua kuhamia chini sio kama hawawezi kabisa kupanda hapana ila wameamua hivyo kwakua wanaona usumbufu wa kupanda na kushuka ngazi kila siku plus risk za kudondoka na kuanguka
si unajua tena uzee injury ndogo tu inaweza ikakuletea madhara makubwa tofauti na atakayopata kijana ambaye bado ana nguvu
Mnaejenga mijumba mikubwa mjitafakari mambo yamebadilika siku hizi hakuna kutembeleana ovyo wala kuishi kwa ndugu kama zamani na watoto wakikua wanakimbilia sehemu nyingine kutafuta maisha ,kwahiyo utabaki na jumba kubwa kama msikiti peke yako
Ingekua vizuri ungetuambia nyumba kubwa inaanzia ukubwa wa sqm ngapi ili tuelewe zaidi? au ina vyumba vingapi?