Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
🤣🤣🤣Umenunua kweny makazi ya mambaKununua kiwanja kiangazi kumbe ni mbuga 🥲
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Umenunua kweny makazi ya mambaKununua kiwanja kiangazi kumbe ni mbuga 🥲
Msingi 7m, huu utakuwa wa ghorofa!kuweka bajeti ya 6m kweny msingi kumbe mzigo unakula 7m+[emoji30][emoji30]
Nyumba msingi... mfano nyumba ya 104.5 sqm (9.5mx11m) inaweza kutumia tofali 3500 za 6" kwa maana ya kozi 7 za kulaza mzunguko wa nje na kuta za ndani. Kokoto 25qbm hii ni kuanzia kizege cha chini na kumwaga jamvi mchanga 20qbm bado simenti ya kujengea si chini ya mifuko 35 bado jamvi kama mifuko 220 uweke marine bodi ni kama 15 zitazo chanywa, misumari, nondo, mbao za setting na mirunda ya kushikia marine. Hela ya mafundi, maji nk ....ukiviweka vyote 7m ni kawaida sana.Msingi 7m, huu utakuwa wa ghorofa!
😂😂😂😂Kujenga Nyumba kubwa kwa nje lkn ina vyumba vitatu tuu
Mbona baba ako anatabia ka za Baba angu aisee😂😂,..au wamesoma wote nn?Kuanza kujenga kwa pesa za pension baada ya kustaafu.
Mzee wangu baada ya kustaafu alifanya hicho kitu. Ni hatari kupita maelezo. Kwanini?
1. Mhusika hashauriki, anataka tu kujenga kwa sababu ana pesa mfukoni.
2. Anachokijenga huwa hakieleweki au hakikamiliki. Anaamini pesa yake ya pension inatosha kufanya chochote au kila kitu kitawezekana. Anaokota ramani popote anataka kujenga.
Msingi 7m, huu utakuwa wa ghorofa!
Kwa tunaoanza kujenga kwa mara ya kwanza...anza kwa kujenga kakibanda chako ishi humo then unaanza kujenga kile unachotaka (nyumba ya ndoto yako) polepole unakuwa umetuliza akili.
N A K A Z I A [emoji419][emoji3][emoji3] ukishajenga kakibanda chako hautakaa ujenge nyumba ya ndoto yako tena,anza mdogo mdogo na nyumba ya ndoto yako finishing utakamilisha ukiwa humohumo ndani
Usiwaamini sana mafundi wa kitaa. Kama una hela tumia professional fundi au engineer. Napambana na sisimizi haijawahi tokea. Marumaru hadi natamani nibomoe nianze upya space kati ya tile na tile walibana sana kiasi kwamba grout haikai matokeo yake space ni nyingi na sisimizi wanatokea humu. Fundi rangi pia naye ni shida pia nilimwamini sana fundi wangu lakini nimekuta baadhi ya vitu hajui. Kama issue za Marumaru, rangi, furniture nk.Habari wana JF
Ni kosa gani ulilifanya kipindi unajenga na ungependa wengine wajifunze ili lisitokee kwao?
Ni njia nzuri sana nimeitumia kwenye material ya dukani kwa hapa Moro kuna duka la Kilosa hardware jamaa yuko poa alikaa na pesa yangu almost mwaka mzima nikijipanga muda ulipofika yaani hata hakuwa na shida kabisa kikubwa uwe na vikaratasi vyake alivyokuandikia kama lisiti kipindi unalipia na upande wa matofali nilifanya hivyo hivyo kule Pangawe jeshini. Utaratibu huu ulinifanya nijenge nyumba faster sana from september 2022 na mwezi May mwaka huu (2023) nimehamia kwangu japo sijaikamilisha baadhi ya mambo. Kiukweli namshukuru Mungu nainjoi upepo wa milima ya uluguru nikiwa kwangu view nzuri ya mji kasoro naifaidi vilivyo hasa kipindi cha usiku kwani saiti yangu ipo kwenye mwinuko.Hii ni sawa kwa kipindi hiki zamani kidogo uaminifu na watu wa maduka ulikuwa mdogo sana,unaona bora vitu vyako ujitunzie mwenyewe.
Rule namba moja mjini nikukimbia manyanyaso ya kodi then ya ndoto zinafuta[emoji3][emoji3] ukishajenga kakibanda chako hautakaa ujenge nyumba ya ndoto yako tena,anza mdogo mdogo na nyumba ya ndoto yako finishing utakamilisha ukiwa humohumo ndani
Mimi niliwema bajeti ya 5m msingi kwa maneno ya jamaa yangu, kiuhalisia ilikuja kama 7-8M.kuweka bajeti ya 6m kweny msingi kumbe mzigo unakula 7m+[emoji30][emoji30]
vyumba vingap iyo nyumba?Mimi niliwema bajeti ya 5m msingi kwa maneno ya jamaa yangu, kiuhalisia ilikuja kama 7-8M.
Kweli....tunatofautiana...mie najilaumu kwanini siku.......Kujenga basement najuta sana