deedee
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 257
- 417
Hongera kwa ujenzi, kama ni contemporary, bomba za kutolea maji ziwe kubwa, 2 inches, at least sehemu nne.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa ujenzi, kama ni contemporary, bomba za kutolea maji ziwe kubwa, 2 inches, at least sehemu nne.
vyumba vingap iyo nyumba?
Four bedrooms, vitatu ni mastervyumba vingap iyo nyumba?
Msingi wangu nakumbuka ulikula 10M hadi boma linasimama ilikula 18M+ gharama zote za ufundi na materialNyumba msingi... mfano nyumba ya 104.5 sqm (9.5mx11m) inaweza kutumia tofali 3500 za 6" kwa maana ya kozi 7 za kulaza mzunguko wa nje na kuta za ndani. Kokoto 25qbm hii ni kuanzia kizege cha chini na kumwaga jamvi mchanga 20qbm bado simenti ya kujengea si chini ya mifuko 35 bado jamvi kama mifuko 220 uweke marine bodi ni kama 15 zitazo chanywa, misumari, nondo, mbao za setting na mirunda ya kushikia marine. Hela ya mafundi, maji nk ....ukiviweka vyote 7m ni kawaida sana.
Hii misingi yenu mnajengaje?Msingi wangu nakumbuka ulikula 10M hadi boma linasimama ilikula 18M+ gharama zote za ufundi na material
Factor ni nyingi kwanza quality, aina ya udongo, landscape level, aina ya ramani na uwezo wa mwenye jengo.Hii misingi yenu mnajengaje?
Hongera sana mkuu,umepiga hatua kubwa mno.Ni njia nzuri sana nimeitumia kwenye material ya dukani kwa hapa Moro kuna duka la Kilosa hardware jamaa yuko poa alikaa na pesa yangu almost mwaka mzima nikijipanga muda ulipofika yaani hata hakuwa na shida kabisa kikubwa uwe na vikaratasi vyake alivyokuandikia kama lisiti kipindi unalipia na upande wa matofali nilifanya hivyo hivyo kule Pangawe jeshini. Utaratibu huu ulinifanya nijenge nyumba faster sana from september 2022 na mwezi May mwaka huu (2023) nimehamia kwangu japo sijaikamilisha baadhi ya mambo. Kiukweli namshukuru Mungu nainjoi upepo wa milima ya uluguru nikiwa kwangu view nzuri ya mji kasoro naifaidi vilivyo hasa kipindi cha usiku kwani saiti yangu ipo kwenye mwinuko.
Ni nyumba ndogo ya kawaida yenye vyumba viwili kimoja master, choo kikubwa cha public, jiko, sebule na vibalaza viwili.
Imetumia matofali 2840, inchi 6 kwa ajili ya msingi 900 yalibaki kidogo, inchi 5 kwa boma 1940, mabati ya migongo mipana 80 yalibaki 6, mabati ya migongo midogo kwa ajili kofia 11 na mbao 360 nazo zilibaki kidogo nazitumia kwa ajili ya majukwaa kwenye plaster n.k
Ahsante mkuu wangu, niliona kuanza na nyumba ya ndoto itanichukua muda wa kutosha.Hongera sana mkuu,umepiga hatua kubwa mno.
Mimi pia nimeshindwa kuelewa labda kila kitu wananunua, maji, mchanga, mafuta ya gari ya mchanga etc, ni vema kunimprovise eneo la bajeti na malipo ya vifaa vya ujenzi.Hii misingi yenu mnajengaje?
Kwamba huyo professional ndo anajenga?Usiwaamini sana mafundi wa kitaa. Kama una hela tumia professional fundi au engineer. Napambana na sisimizi haijawahi tokea. Marumaru hadi natamani nibomoe nianze upya space kati ya tile na tile walibana sana kiasi kwamba grout haikai matokeo yake space ni nyingi na sisimizi wanatokea humu. Fundi rangi pia naye ni shida pia nilimwamini sana fundi wangu lakini nimekuta baadhi ya vitu hajui. Kama issue za Marumaru, rangi, furniture nk.
Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
Kumbe Msako wa Ramani ya ghorofa uliuanza kitambo sana😃Mkuu Naomba ramani PM
Kitambo sana. Nilipata sample kadhaa humu mwisho nikampelekea engineer ideas zangu. Amenitengenezea kitu kizuri simple cha ndoto yangu. Imebaki kazi ya QS nimemuambia isizidi 120mKumbe Msako wa Ramani ya ghorofa uliuanza kitambo sana😃
Hongera sana mkuu👏Kitambo sana. Nilipata sample kadhaa humu mwisho nikampelekea engineer ideas zangu. Amenitengenezea kitu kizuri simple cha ndoto yangu. Imebaki kazi ya QS nimemuambia isizidi 120m
Ni kweli mkuu na kama kipato siyo kikubwa unaweza kujikuta unakata tamaa. Uzuri wa nyumba ni kuijenga iishe mapema ili ule uzuri wake usipotee.Ahsante mkuu wangu, niliona kuanza na nyumba ya ndoto itanichukua muda wa kutosha.
Mkuu kuna vitu nataka nikuulize ila naona PM yako umeitia kofuli😭Kitambo sana. Nilipata sample kadhaa humu mwisho nikampelekea engineer ideas zangu. Amenitengenezea kitu kizuri simple cha ndoto yangu.
Jumla ya tofali umetumia ngap nyumba nzima mim Niko moro huku nanenane natarajia kujenga kama yako two roomsNi njia nzuri sana nimeitumia kwenye material ya dukani kwa hapa Moro kuna duka la Kilosa hardware jamaa yuko poa alikaa na pesa yangu almost mwaka mzima nikijipanga muda ulipofika yaani hata hakuwa na shida kabisa kikubwa uwe na vikaratasi vyake alivyokuandikia kama lisiti kipindi unalipia na upande wa matofali nilifanya hivyo hivyo kule Pangawe jeshini. Utaratibu huu ulinifanya nijenge nyumba faster sana from september 2022 na mwezi May mwaka huu (2023) nimehamia kwangu japo sijaikamilisha baadhi ya mambo. Kiukweli namshukuru Mungu nainjoi upepo wa milima ya uluguru nikiwa kwangu view nzuri ya mji kasoro naifaidi vilivyo hasa kipindi cha usiku kwani saiti yangu ipo kwenye mwinuko.
Ni nyumba ndogo ya kawaida yenye vyumba viwili kimoja master, choo kikubwa cha public, jiko, sebule na vibalaza viwili.
Imetumia matofali 2840, inchi 6 kwa ajili ya msingi 900 yalibaki kidogo, inchi 5 kwa boma 1940, mabati ya migongo mipana 80 yalibaki 6, mabati ya migongo midogo kwa ajili kofia 11 na mbao 360 nazo zilibaki kidogo nazitumia kwa ajili ya majukwaa kwenye plaster n.k
mimi yangu ina vyumba vitatu na study room moja, vyoo vitatu, sebule, jiko, store….afu fundi ajaiba hata msumari mmoja lkn 7m imekata