Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Mbona id ni fake!?Aeleze tu hawezi kuomba maji.Mfano kama mtu kosa alilofanya ni kumla mke wa mtu unategemea atsema hapa? D2
Bas tuwape vijana fursa wajielezeMbona id ni fake!?Aeleze tu hawezi kuomba maji.
Uache hiyo tabia mbaya totoo.Mfano kama mtu kosa alilofanya ni kumla mke wa mtu unategemea atsema hapa?
Mi nimeuliza tu maana vijana wa siku hizi hawana hofu ya Mungu kila mahali wanalowekaUache hiyo tabia mbaya totoo.
Serious hii ipo sanaKudharau mtu akieleza kuhusu Afya yake, kuna sehem nlikua nafanya kazi jamaa mmoja akawa analalamika anaumwa mara kwa mara watu wakaona ni mvivu anatafuta sababu tu ya kutokufanya kazi.
Mara ya mwisho alisema anajiskia vibaya alivyoondoka huku nyuma watu wakawa wanamtuhumu anajisingizia maradhi jioni yake tukaskia amefariki.
Hiki kama kisa changu afadhal wako alpga cm nyumbnKipindi nasoma A level kuna Aunty yangu alinikopa hela tena ilikuwa ada ya shule ili afanye kama mtaji wa kuanzisha biashara yake ya kuuza mashuka ya mitumba akasema atairudisha kabla hatujaanza kufanya mitihani ya mwisho wa muhula.
Tukazungushana wee kumbe hakuna cha biashara wala nini. Sijui ile pesa alipeleka wapi hajawahi kunirudishia. Ila alipiga simu nyumbani kuwaambia nimepoteza ada na ninaogopa kusema.
Ikabidi na mimi nikae kimya hadi ili ilipwe kwa sababu it was my word against hers na yeye alikuwa mtu mzima sana.
Hadi leo siwezi kopesha ndugu hela bora nimpe tu nijue nitoa sadaka
Simulia tujifunze.Kuna Kosa nilifanya,sijuh ni Kosa au ni nini ? Ila ni ilikua inaenda kumuharibia mtu maisha yake yote.
Miaka imeipita ila hii inaniumiza sana
Umekua mkweli.Hili chukizo limejaa kwenye vitabu vya siri vya watu wengi.Kutoa mimba.
Astaghifilullah šKutembea na mama mkwe
Ukalamba mchanga au tairi lilikukosakosa?Kushuka kwenye daladala kabla haijasimamaš¤£