Ni kosa gani umewahi kufanya na hauwezi kulirudia tena kwenye Maisha yako?

Ni kosa gani umewahi kufanya na hauwezi kulirudia tena kwenye Maisha yako?

kutahiriwa hii kitu siwez kujisamehe juz kat nimekuta sms wife anamwambia ex wake hawez kulisahau go.vi lake hata iweje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lkn si umlikula?
lengo halikuwa kumkula suala zima ni kwamba ilikuwa tusaidiane kimaisha sio kulana tuu. sasa yeye anaomba mtaji tunakubaliana kuwa faida tunaenda 60/40 yeye anasepa na ahapokei simu tena sii uhuni huo
 
Maskini pole. Kumbe ndio mana umefilisika rafiki yangu.

nani kafilisika wewe, mie hela ipo sema sasa sijapata mwanamke sahii tujenge nae future. basi tuu nikipata mwanamke ana akili na tako lipo aisee naoa fasta tujenge life.
sasa demu ana tako hana akili. akiwa na akili hana tako...mtihani
 
Back
Top Bottom