Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kifanyike mkuuTunapoelekea watarudisha kodi ya kichwa sasa maana sio kwa unyonyaji huu. Yani wananchi tunanyonywa mpaka makamasi halafu rasilimali za nchi wanafaidi mapapa wachache.
Kwa utajiri tulionao Tanzania ilitakiwa tuishi kama Brunei. Hakuna kulipa kodi, huduma za afya bure, elimu bure mpaka chuo kikuu, ukioa unapewa na mtaji na serikali.
Akili za wapi hizi ukikaa bila kuhoji kitu eti ni uzalendo ni udumavu wa akili kwa nchi kama Tanzania yenye rasilimali za kutosha wangeondoa kodi kandamizi na za kijinga kwa Wananchi eti kodi ya line ya simu mara kodi ya kujenga bara bara wakati Dunia inapambana kuweka globe tax 15% hawa wanakuja na mambo ya hovyo kabisa kila kukicha..watu wanataka kulipa kodi ila iwe favourable sio hizi kodi za hovyo hovyo harafu zinaishia kwenye mishahara ya Wabunge huku CAG akija na report ya wizi kila kukicha...wacheni upumbavu kuchangia kodi kwa Taifa lako sio dhambi bali ni fahari, fedha unayo katwa ndio inayo enda kusaidia kuweka miundo mbinu ya elimu mizuri, afya n.k ambayo watoto wetu ndugu zetu watanufaika nayo, yeyote anaye jaribu kukwepa au kuhamasisha kukwepa huyo sio mtanzania atakuwa ana nchi nyingine.
sisi wazalendo tunayo ipenda nchi yetu ya Tanzania tutaendelea kujisikia fahari kukatwa kodi inayo enda kwenye maendeleo yetu, tunachezea sh.ngapi kwenye mambo yasiyo ya msingi kwetu?! sembuse unakatwa mara moja tu kwa maendeleo yako mwenyewe na ndugu zako?! tuache unafiki na uzandiki!!
tulipende Taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama tunakatwa kodi kwenye kila kitu na maendeleo hakuna je hizo za kwenye madini tu peke yake zinafanya nini...? maana kwa tz yetu hakuna wilaya zenye maendeleo duni kama wilaya kunapochimbwa madiniwacheni upumbavu kuchangia kodi kwa Taifa lako sio dhambi bali ni fahari, fedha unayo katwa ndio inayo enda kusaidia kuweka miundo mbinu ya elimu mizuri, afya n.k ambayo watoto wetu ndugu zetu watanufaika nayo, yeyote anaye jaribu kukwepa au kuhamasisha kukwepa huyo sio mtanzania atakuwa ana nchi nyingine.
sisi wazalendo tunayo ipenda nchi yetu ya Tanzania tutaendelea kujisikia fahari kukatwa kodi inayo enda kwenye maendeleo yetu, tunachezea sh.ngapi kwenye mambo yasiyo ya msingi kwetu?! sembuse unakatwa mara moja tu kwa maendeleo yako mwenyewe na ndugu zako?! tuache unafiki na uzandiki!!
tulipende Taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha umamawacheni upumbavu kuchangia kodi kwa Taifa lako sio dhambi bali ni fahari, fedha unayo katwa ndio inayo enda kusaidia kuweka miundo mbinu ya elimu mizuri, afya n.k ambayo watoto wetu ndugu zetu watanufaika nayo, yeyote anaye jaribu kukwepa au kuhamasisha kukwepa huyo sio mtanzania atakuwa ana nchi nyingine.
sisi wazalendo tunayo ipenda nchi yetu ya Tanzania tutaendelea kujisikia fahari kukatwa kodi inayo enda kwenye maendeleo yetu, tunachezea sh.ngapi kwenye mambo yasiyo ya msingi kwetu?! sembuse unakatwa mara moja tu kwa maendeleo yako mwenyewe na ndugu zako?! tuache unafiki na uzandiki!!
tulipende Taifa letu.
Tunajisikia fahari kuchangia maendeleo watoto wetu, ndugu zetu.
kama unaweza kuchangia Harusi na mambo mengine kwa nn uumie kuchangia maendeleo ya elimu ya ndugu zako wa kitanzania?!
kweli ww utakuwa mtanzania halisi?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app