Ni kosa kufanya biashara ya usafirishaji pesa?

wacheni upumbavu kuchangia kodi kwa Taifa lako sio dhambi bali ni fahari, fedha unayo katwa ndio inayo enda kusaidia kuweka miundo mbinu ya elimu mizuri, afya n.k ambayo watoto wetu ndugu zetu watanufaika nayo, yeyote anaye jaribu kukwepa au kuhamasisha kukwepa huyo sio mtanzania atakuwa ana nchi nyingine.
sisi wazalendo tunayo ipenda nchi yetu ya Tanzania tutaendelea kujisikia fahari kukatwa kodi inayo enda kwenye maendeleo yetu, tunachezea sh.ngapi kwenye mambo yasiyo ya msingi kwetu?! sembuse unakatwa mara moja tu kwa maendeleo yako mwenyewe na ndugu zako?! tuache unafiki na uzandiki!!
tulipende Taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulipenda taifa kwa kutuibia?
 
Hiyo gharama ya kufanya muamala wa sh M1 imejaa uongo na uzandiki wa kuigombanisha serikali na wananchi.
Walioitunga na kuisambaza ni wale wanaoumia na mabadiliko yaliyofanywa na Mama ie MATAGA.
Binafsi Nafanya miamala mingi kila Siku na hakuna mabadiliko hayo yanayosambazwa
Vipi mkuu... Tuendelee kulipa kodi
 
wacheni upumbavu kuchangia kodi kwa Taifa lako sio dhambi bali ni fahari, fedha unayo katwa ndio inayo enda kusaidia kuweka miundo mbinu ya elimu mizuri, afya n.k ambayo watoto wetu ndugu zetu watanufaika nayo, yeyote anaye jaribu kukwepa au kuhamasisha kukwepa huyo sio mtanzania atakuwa ana nchi nyingine.
sisi wazalendo tunayo ipenda nchi yetu ya Tanzania tutaendelea kujisikia fahari kukatwa kodi inayo enda kwenye maendeleo yetu, tunachezea sh.ngapi kwenye mambo yasiyo ya msingi kwetu?! sembuse unakatwa mara moja tu kwa maendeleo yako mwenyewe na ndugu zako?! tuache unafiki na uzandiki!!
tulipende Taifa letu.
Tunajisikia fahari kuchangia maendeleo watoto wetu, ndugu zetu.
kama unaweza kuchangia Harusi na mambo mengine kwa nn uumie kuchangia maendeleo ya elimu ya ndugu zako wa kitanzania?!
kweli ww utakuwa mtanzania halisi?!
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Si mnalipwa kukubaliana na hii dhulma..! Sisi sio wajinga
 
Baada Gharama mpya za kutuma na kutoa pesa zikianza kutumika, mtu akaanzisha biashara ya kusafirisha pesa kwa boda, let say kuipeleka 1m toka kinyerezi mpaka Kariakoo ni 10k. Hivi linaweza kuwa kosa kisheria? 😀View attachment 1846755
Chukua uber na chenji inabakia unywee bia kuliko kuwapa hawa madhalimu waporaji
 
Tunapoelekea watarudisha kodi ya kichwa sasa maana sio kwa unyonyaji huu. Yani wananchi tunanyonywa mpaka makamasi halafu rasilimali za nchi wanafaidi mapapa wachache.

Kwa utajiri tulionao Tanzania ilitakiwa tuishi kama Brunei. Hakuna kulipa kodi, huduma za afya bure, elimu bure mpaka chuo kikuu, ukioa unapewa na mtaji na serikali.
Tungewaacha wakoloni tungeishi kama Brunei.
Mtu mweusi hawezi ongoza jamii ikafanikiwa
 
wacheni upumbavu kuchangia kodi kwa Taifa lako sio dhambi bali ni fahari, fedha unayo katwa ndio inayo enda kusaidia kuweka miundo mbinu ya elimu mizuri, afya n.k ambayo watoto wetu ndugu zetu watanufaika nayo, yeyote anaye jaribu kukwepa au kuhamasisha kukwepa huyo sio mtanzania atakuwa ana nchi nyingine.
sisi wazalendo tunayo ipenda nchi yetu ya Tanzania tutaendelea kujisikia fahari kukatwa kodi inayo enda kwenye maendeleo yetu, tunachezea sh.ngapi kwenye mambo yasiyo ya msingi kwetu?! sembuse unakatwa mara moja tu kwa maendeleo yako mwenyewe na ndugu zako?! tuache unafiki na uzandiki!!
tulipende Taifa letu.
Tunajisikia fahari kuchangia maendeleo watoto wetu, ndugu zetu.
kama unaweza kuchangia Harusi na mambo mengine kwa nn uumie kuchangia maendeleo ya elimu ya ndugu zako wa kitanzania?!
kweli ww utakuwa mtanzania halisi?!
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
We utakuwa ni mwigulu
 
Hiyo gharama ya kufanya muamala wa sh M1 imejaa uongo na uzandiki wa kuigombanisha serikali na wananchi.
Walioitunga na kuisambaza ni wale wanaoumia na mabadiliko yaliyofanywa na Mama ie MATAGA.
Binafsi Nafanya miamala mingi kila Siku na hakuna mabadiliko hayo yanayosambazwa
Umesema?

Ongeza sauti mkuu.
 
Bado tu unakazia usemi wako huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wacheni upumbavu kuchangia kodi kwa Taifa lako sio dhambi bali ni fahari, fedha unayo katwa ndio inayo enda kusaidia kuweka miundo mbinu ya elimu mizuri, afya n.k ambayo watoto wetu ndugu zetu watanufaika nayo, yeyote anaye jaribu kukwepa au kuhamasisha kukwepa huyo sio mtanzania atakuwa ana nchi nyingine.
sisi wazalendo tunayo ipenda nchi yetu ya Tanzania tutaendelea kujisikia fahari kukatwa kodi inayo enda kwenye maendeleo yetu, tunachezea sh.ngapi kwenye mambo yasiyo ya msingi kwetu?! sembuse unakatwa mara moja tu kwa maendeleo yako mwenyewe na ndugu zako?! tuache unafiki na uzandiki!!
tulipende Taifa letu.
Tunajisikia fahari kuchangia maendeleo watoto wetu, ndugu zetu.
kama unaweza kuchangia Harusi na mambo mengine kwa nn uumie kuchangia maendeleo ya elimu ya ndugu zako wa kitanzania?!
kweli ww utakuwa mtanzania halisi?!
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye Upumbavu ni Wewe

Nchi yoyote inayotegemea zaidi KODI kwaajili ya maendeleo yake ni nchi MFU

Nchi yoyote iliyoendelea au inayoendelea inategemea zaidi EXPORTATION YA PRODUCTS zake kwa maendeleo kuliko kodi

Tanzania inapaswa kuzalisha zaidi na kuexport mazao, madini, samaki na kukaribisha watalii na kuwatengenezea mazingira rafiki walete pesa nchini pamoja na uwekezaji lakini sio kutegemea zaidi kodi

Kutegemea zaidi kodi ni mambo ya kizamani.
 
Back
Top Bottom