Ni kosa kufanya biashara ya usafirishaji pesa?

Kulipenda taifa kwa kutuibia?
 
Vipi mkuu... Tuendelee kulipa kodi
 
Ama Kweli mama anaupiga mwingi,Pasi Kapewa mwigulu
 
Si mnalipwa kukubaliana na hii dhulma..! Sisi sio wajinga
 
Usiri muhimu,,, ila ni biashara hatar Sana sababu ata Kama utaweka usiri vipi kikulacho ki nguoni mwako
Kwahiyo tuendelee kuunga mkono juhudi!?
 
Baada Gharama mpya za kutuma na kutoa pesa zikianza kutumika, mtu akaanzisha biashara ya kusafirisha pesa kwa boda, let say kuipeleka 1m toka kinyerezi mpaka Kariakoo ni 10k. Hivi linaweza kuwa kosa kisheria? πŸ˜€View attachment 1846755
Chukua uber na chenji inabakia unywee bia kuliko kuwapa hawa madhalimu waporaji
 
Tungewaacha wakoloni tungeishi kama Brunei.
Mtu mweusi hawezi ongoza jamii ikafanikiwa
 
We utakuwa ni mwigulu
 
Umesema?

Ongeza sauti mkuu.
 
Bado tu unakazia usemi wako huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye Upumbavu ni Wewe

Nchi yoyote inayotegemea zaidi KODI kwaajili ya maendeleo yake ni nchi MFU

Nchi yoyote iliyoendelea au inayoendelea inategemea zaidi EXPORTATION YA PRODUCTS zake kwa maendeleo kuliko kodi

Tanzania inapaswa kuzalisha zaidi na kuexport mazao, madini, samaki na kukaribisha watalii na kuwatengenezea mazingira rafiki walete pesa nchini pamoja na uwekezaji lakini sio kutegemea zaidi kodi

Kutegemea zaidi kodi ni mambo ya kizamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…