Ni kosa kumlinganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

Siasa nzuri siyo kulazimisha (udikteta), ni makubaliano kwa asilimia kubwa.
Ni lazima kuwe na makubaliano ya kuheshimiana katika kuongoza watanzania kwa ujumla wake (Bara na visiwani).
Siasa jumuishi zisizotumia sana nguvu za vyombo vya dola (wasiojulikana) ni muhimu kwa nyakati hizi, kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.
 
Weka namba tuone
Afya
Vituo vya Afya 354

Samia Vituo vya Afya zaidi ya 450

Mapato 1.5 T Kwa mwezi

Samia 2.2 T Kwa mwezi


Samia maelfu ya Ajira Kila mwaka,yule mwingine alishindwa kabisa.

Kama tuu Mapato yameongezeka kiasi Hivyo nani automatic Kila sekta utoaji Huduma umeongezeka kuanzia maji Hadi NIDA ilivyokuwa imeshindikana.

Huyo mtu wako zaidi ya kufoka hakuna jipya lolote kwenye uchumi.
 
Miradi mikubwa imesimama licha ya mapato.makubwa ya TRA,,Mikopo mingi lakini tumesimama ,Inammana fedha zinaibiwa sana na hazisaidii watanzania.So magufuri alikuwa Bora sana
 
Andiko Bora kabisa Kwa kipindi Cha Robo ya kwanza ya mwaka
 
Weka na mapato ya Mikopo

Kama mapato yameongezeka ni vipi hata wakandarasi hawalipwi!? Why kutembeza bakuli Kila siku!?

Mnampamba tu lakini ni mzigo usiobebeka
 
Ngoja wakusikie chawa wake wakiongozwa na yule mchuna ngozi
 
Nipe idadi ya Health Facilities kwa Tanzania kama kweli upo well informed, and then I will disputes all your cooked data
 
Makubaliano ya Samia yametufikisha wapi; we have a little further to go kuwa kama Zimbqbwe, endelea kuamini katika maridhiano
 
Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what itri cha kuitikisa CCM na kuunda Serikali ya Mseto pamoja na kuitoa madarakani
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Nipe idadi ya Health Facilities kwa Tanzania kama kweli upo well informed, and then I will disputes all your cooked data
Mbona unahama mada? Niongezee nyundo? 👇👇

Mkikaa kwenyvijiwe vyenu huko mnalishana pumba na kuja kutukana Rais Kwa stori za kudimuliana ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…