Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa nzuri siyo kulazimisha (udikteta), ni makubaliano kwa asilimia kubwa.Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na alikuwa MZALENDO wa kweli as compared to Samia.
Wapinzani kazi kwenu, ni kipindi kizuri cha kuitikisa CCM na kuunda Serikali ya Mseto pamoja na kuitoa madarakani
AfyaWeka namba tuone
Miradi mikubwa imesimama licha ya mapato.makubwa ya TRA,,Mikopo mingi lakini tumesimama ,Inammana fedha zinaibiwa sana na hazisaidii watanzania.So magufuri alikuwa Bora sanaAfya
Vituo vya Afya 354
Samia Vituo vya Afya zaidi ya 450
Mapato 1.5 T Kwa mwezi
Samia 2.2 T Kwa mwezi
Samia maelfu ya Ajira Kila mwaka,yule mwingine alishindwa kabisa.
Kama tuu Mapato yameongezeka kiasi Hivyo nani automatic Kila sekta utoaji Huduma umeongezeka kuanzia maji Hadi NIDA ilivyokuwa imeshindikana.
Huyo mtu wako zaidi ya kufoka hakuna jipya lolote kwenye uchumi.
Andiko Bora kabisa Kwa kipindi Cha Robo ya kwanza ya mwakaSikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na alikuwa MZALENDO wa kweli as compared to Samia.
kuunda Serikali ya Mseto pamoja na kuitoa madarakani
Weka na mapato ya MikopoAfya
Vituo vya Afya 354
Samia Vituo vya Afya zaidi ya 450
Mapato 1.5 T Kwa mwezi
Samia 2.2 T Kwa mwezi
Samia maelfu ya Ajira Kila mwaka,yule mwingine alishindwa kabisa.
Kama tuu Mapato yameongezeka kiasi Hivyo nani automatic Kila sekta utoaji Huduma umeongezeka kuanzia maji Hadi NIDA ilivyokuwa imeshindikana.
Huyo mtu wako zaidi ya kufoka hakuna jipya lolote kwenye uchumi.
Wewe ina maaana hauoni kwamba taifa limekwama hakuna kinachoendelea kabsaa zaidi ya wizi na kukopa tu,wewe unajitafutia riziki kweli au unaishi kwa shemeji yako?Upuuzi.
Zaidi ya kutoka alikuwa na nini yule dikteta?
Namba ndio zinaweka mizania sawa sio porojo zako
Ngoja wakusikie chawa wake wakiongozwa na yule mchuna ngoziSikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na alikuwa MZALENDO wa kweli as compared to Samia.
Samia aliingia kwa mbwembwe na vigelegele pamoja na kundi lake kuonesha utawala wa Hayati Magufuli ulikuwa mmbovu, miaka 2.5 tu Samia has proven failures kwenye strategies za kustabilize uchumi, pumzi imeshakata na ameingia kwenye complicate life za kupiga na kuondoka.
1. Samia alikuta Petrol kwa lita ni 1880 , kwa sasa Lita moja ni 3300 na trends inaonesha itapiga hadi 4000 by December 2024
2. Samia alikuta dollar ni sawa na 2100 to 2200, kwa sasa dola moja ni 2800 for purchasing , na availability yake ni ngumu sana. Kama hujatumia njia za panya basi hupati, risk ya kuuziwa dola fake ni more than 50% kwenye njia za panya.
3. Samia anakopa kuliko utawala wowote kuwahi kutokea, Kama fedha hizo zingekuwa na usimamizi sahihi na matumizi sahihi basi tayari tungekuwa ni South ya pili ; chini ya Samia TRA inavuka target ya makusanyo, chini ya Samia mikopo ni mingi na chini ya Samia Miradi yote imestuck. Barabara ya Mbagala, Airport na magomeni kote zilianza two years ago , just few kilometers, mpaka sasa ni blah bhah huku nchi inaingia kwenye madeni makubwa . SGR ndio another scam under Samia leadership, mmesikia tumekopa Exim ya china for the project, and verily , that is not going to work.
4. Vyeti fake na watumishi hewa pamoja na mishahara hewa ni another scandal under samia leadership, badala ya kupungua, hawajamaa wamerudi than ever before.
5. Under Samia, Resources za nchi zinapewa wageni bila ya kujali masilahi mapana ya Taifa, tuna appreciate uwekezaji lakini uwekezaji unapaswa kuwa ni kwa maslahi mapana ya raia na sio maslahi binafsi; kama uwekezaji upo clear, hatuhitaji promo na ushawishi, ukiona promo ujue huo ni WIZI mwingine, and for sure mikataba yote aliyosaini Samia akija Rais Mzalendo, ataivunja mikataba yote hata kwa kuvunja Sheria, and that is another loss for the country. Tutakwenda mbele na kurudi nyuma, kuna haja ya kushitaki hawa marais kwa kutia taifa hasara.
7. Under Samia, gharama za vyakula vipo juu kuliko miaka yoyote, huduma za Afya zimedorota. NHIF imekosa tija kwenye taifa.
CCM mpo huru kumsimamisha Mama yetu 2025, lakini muelewe kwa miaka 2 tumefika hapa, for the next 5 years tunakwenda kuwa Zimbabwe ya Mugabe ni suala la muda.
Wapinzani kazi kwenu, ni kipindi kizuri cha kuitikisa CCM na kuunda Serikali ya Mseto pamoja na kuitoa madarakani
Nipe idadi ya Health Facilities kwa Tanzania kama kweli upo well informed, and then I will disputes all your cooked dataAfya
Vituo vya Afya 354
Samia Vituo vya Afya zaidi ya 450
Mapato 1.5 T Kwa mwezi
Samia 2.2 T Kwa mwezi
Samia maelfu ya Ajira Kila mwaka,yule mwingine alishindwa kabisa.
Kama tuu Mapato yameongezeka kiasi Hivyo nani automatic Kila sekta utoaji Huduma umeongezeka kuanzia maji Hadi NIDA ilivyokuwa imeshindikana.
Huyo mtu wako zaidi ya kufoka hakuna jipya lolote kwenye uchumi.
Makubaliano ya Samia yametufikisha wapi; we have a little further to go kuwa kama Zimbqbwe, endelea kuamini katika maridhianoSiasa nzuri siyo kulazimisha (udikteta), ni makubaliano kwa asilimia kubwa.
Ni lazima kuwe na makubaliano ya kuheshimiana katika kuongoza watanzania kwa ujumla wake (Bara na visiwani).
Siasa jumuishi zisizotumia sana nguvu za vyombo vya dola (wasiojulikana) ni muhimu kwa nyakati hizi, kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.
ona, shati lakeKwa taifa letu kura hazisaidiiView attachment 3012473
Kura haijawahi kua na nguvu hiyo tz, maombi yako pia hayajawahi kufua dafu ktk nchi yako...mbinu mpya itumike haraka iwezekeanavo ili tupate tz mpya2025 kura yako itasaidia kujenga Tanzania mpya
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what itri cha kuitikisa CCM na kuunda Serikali ya Mseto pamoja na kuitoa madarakani
Mfano sera ipi? JPM alikua msimamizi mzuri ila hakuwa na sera nzuri za uchumi.alikuwa na sera thabiti za kiuchumi
Nipe idadi ya Health Facilities kwa Tanzania kama kweli upo well informed, and then I will disputes all your cooked data