Ni kosa kumlinganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

Nimepata hasara kubwa sana kwa pesa yetu kushuka thamani dhidi ya dollar, kwa kuwa nalipia bidhaa nyingi nje ya nchi kwa dola
 
unamlinganisha mtu muungwana SAMIA na jitu KATILI LILILOUA WATU KAMA JPM
 
kinacho humiza zaida nibkuona Kila siku serikali imekopa pesa kadhaaa lakini bdo huduma za afya ni mbovu.. hakuna mrado mpya uliovumbuliwa stori nizile zile hakuna jipya lilofanyika ...Ujenzi wa miradi Mingi umesimama mfano Barbara kutoka Kahama kwenda ushetu, Makazi mwamnange mpaka Urambo hiyo Barbara kipindi Cha Jpm mchakato wa Ujenzi ulikuwa umeisha anza Ujenzi umeisha kàhama eneo linaloitwa Dodoma viwandani.
2. Ujenzi wa Barabara kutoka Bukoba Mjini mpaka Maruku umesimama.
3. Ujenzi wa Barabara kutoka Mbalamaziwa Malangali mpaka MBEYA kupitia IYOANZA mchakato umekufa kabisaa.
4. Angalia Barabara kutoka Mafinga kwenda USOKAMI Kwa karibu wa Binge yaani Barabara ni mbovu sana...
5. Barabara kutoka Kutoka ILEMELA wilayani kwenda KAYENZE imesimama pale Shule ya SECONDARI BUJINGWA yaani maeneo ya LUKOBE, ILALILA, SHIBULA MWAKARUNDE MPAKA KAYENZE NI VUMBI na gharama za usafiri zipo juu sana sana.
Lakini wakina DR. WA PESA MZEE WA TRAT NA TRAB wapo kwenye kampeini ya mitano tena
 
Lakini wakina DR. WA PESA MZEE WA TRAT NA TRAB wapo kwenye kampeini ya mitano
 
Sijawahi kuona rais anayeabudu kukopa kama kipaumbele cha kwanza kutatua chochote nchini. Wanamsifu kwa makusanyo ya TRA mbona sasa anakopa kama sio kwamba wanamsifu kwa mapato makubwa wanayoyafisidi.
Ametupa kabisa sera ya kujitegemea analundikia nchi madeni kama mjinga asiyejua wajukuu watalipa madeni badala ya kutumia kipato cha taifa kwa maendeleo. Benki zozote zinafanya biashara ukiingia kichwakichwa utawekwa kwenye mtego tu na wajanja. Mikopo anajisifu eti riba ndogo ndio maana anakopa ovyo tu.
 
Magufuli anachomzidi Samia ni uuaji na ukatili tu!!
Sifa ya rais muuaji na mkatili ni kuua watu wengi kwa vikosi vyake vyovyote. Hebu orodhesha watu unawajua wameuliwa na magufuli tuone kama ana sifa ya uuaji. Orodhesha majina na jinsi na wapi wameuliwa na sio blah blah.
 
Gazeti moja nilisoma lilikuwa limeandikwa
"UKOSEFU WA AJIRA UNAVYOPELEKEA UCHAWA"
kama nitakuwa nimenukuu vibaya mtanirekebisha
 
Magufuli anachomzidi Samia ni uuaji na ukatili tu!!
MAGU alikuwa na mikakati inayoeleweka ni kweli alikuwa binadamu mwenye mapungufu Fulani,kumtagi kuwa alikuwa muuaji ni uonevu alichokosea ni kubana wizi na kutokuwa na mzaha mbele ya wezi na shida kubwa ya nchi hizi ni nyie mlioaminiwa kuanzia kujitumikia na matumbo yenu,acha uongo wa kumsingizia marehemu,kutawala nchi siyo mchezo mfalme daudi aliua,mkapa wakati wake generali aliuawa huko Tanga,wakati wa mkwere mwangosi alitolewa utumbo huko ilinga ni ngumu kudhibiti Kila tukio, all in all MAGU alikuwa kiongozi nchi hii haijawahi pata na huenda asitokee tena, ni Musa aliyezama bahari ya Shamu.
 
MAGU alikuwa na mikakati inayoeleweka ni kweli alikuwa binadamu mwenye mapungufu Fulani
Ishia hapo kwenye "mapungufu" . Na hicho ndicho kilimfanya kuwa Rais wa HOVYO kuwahi kutokea Tanzania toka tupate uhuru.

Na kwa "mapungufu" hayo yalimfanya Mungu amtoe duniani na kumtupa jehanam. Mfuate huko nawe ukaungue na moto
 
stunex, mtu mwema huonwa na wengi na sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
 
stunex, mtu mwema huonwa na wengi na sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
Even if you are a minority of one, the truth is the truth." by Mahatma Gandhi

Hao unaosema wengi uliwahesabu wapi? Halafu ni Mungu gani unamuongelea hapo? Sidhani kama ni Mungu Ibrahim, Mungu wa Izaka na Mungu wa Yakobo tunayemuamini Wakristu
 
Mtu wa
Hebu nishawishi Kwa kutumia data ya kwamba mapungufu uliyoyatoa ni kweli na yamesababishwa na Samia Kwa kutoa takwimu ikibidi na chanzo chako cha taarifa. Maana Kwa hizi zama za uhuru wa kuandika Kuna uwongo na kuchafuana sana
 
Hatuna raisi ndugu yangu na nchi iko kwenye wakati mgumu kabisa.
 
Mtu wa

Hebu nishawishi Kwa kutumia data ya kwamba mapungufu uliyoyatoa ni kweli na yamesababishwa na Samia Kwa kutoa takwimu ikibidi na chanzo chako cha taarifa. Maana Kwa hizi zama za uhuru wa kuandika Kuna uwongo na kuchafuana sana
Go and learn. Find your own truth
 
Even if you are a minority of one, the truth is the truth." by Mahatma Gandhi

Hao unaosema wengi uliwahesabu wapi? Halafu ni Mungu gani unamuongelea hapo? Sidhani kama ni Mungu Ibrahim, Mungu wa Izaka na Mungu wa Yakobo tunayemuamini Wakristu
nakuacha, Mimi Niko huku kijijini ninaona Kwa uhalisia.
 
Linganisha kwanza bodaboda na Costa ya abiria. Ukiweza kwa kutumia mantiki basi weka uzi wako watu wachangie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…