Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Nikuulize Mkuu kwani uchawii ni bloodline kwamba mtoto naye atakua mchawi?😂😂Ukoo wa Ng'wanangoko acheni uchawi ndio maana hamuolewi.
Kwanini Mkuu? Tunaweza kua tumeoa wachawi bila kujua😁😁Wachawi tena?Hapana.
Nikielewa tu kuna mmoja kati yetu ataondoka.Mchawi si kiumbe cha kuishi nacho/anayetoka ukoo wa wachawi usimuamini.Kwa kadiri ya simulizi zao wana matendo ya kikatili sana.Kwanini Mkuu? Tunaweza kua tumeoa wachawi bila kujua😁😁
Hahaha sawa mkuuNikielewa tu kuna mmoja kati yetu ataondoka.Mchawi si kiumbe cha kuishi nacho/anayetoka ukoo wa wachawi usimuamini.Kwa kadiri ya simulizi zao wana matendo ya kikatili sana.
Uchawi wa wazazi umekosesha ndoaBora Malaya sasa,daa
Awasikilize wazazi wake wanajua zaidi kuliko yeye... Nyumba ya mchawi daima lazima apatikane mrithi kama si mtoto basi mjukuu na nyumba ya mchawi lazima kutoa kafara ya damu na nyama toka kwa mmojawapo wa wana familiaHiko hivi kuna rafiki yangu mmoja amekuja kuomba ushauri.
Kampenda mwanamke wako kwenye mahusiano ya mda sasa, alipo fanya maamuzi ya kuoa wazazi wakamwambia "huyo binti kwao ni wachawi" kwamba kuna scenario mama ake huyo binti alikamatwa akiwanga, wazazi hawataki hata kusikia kuhusu huyo binti.
Mimi kwa sababu siamini uchawi wala sijawahi kumuona mchawi nimemwambia aoe tu maana mama ake anaweza kua mchawi lakini yeye sio mchawi. je nimefanya vibaya kumshauri hivyo?.
Then sisi wazazi ukimzaa mtoto sio vizuri kuanza kuingia kwenye maamuzi yake, maana wazazi wengine wanataka kuweka sheria zao hadi kwenye nyumba za watoto wake.
Mzazi mtoto anapofikisha umri mkubwa unachotakiwa ni kushauri tu.
Uchawi aisee ni maagano, lazima mrithishaneNikuulize Mkuu kwani uchawii ni bloodline kwamba mtoto naye atakua mchawi?😂😂
Ni sahihmkuu akimbie kbsa mwanmke mchawi Ni ishu lzm atakuja kunihusisha mbeleniHiko hivi kuna rafiki yangu mmoja amekuja kuomba ushauri.