Ni kosa kuoa katika familia ya kichawi?

Bible inasema usimwache mchawi aishi, Kama huamini MUNGU basi endelea kuto amini mchawi kuwa hawapo. Ushauri ukiamini Mungu yupo basi na mchawi yupo.
 
Nikuulize Mkuu kwani uchawii ni bloodline kwamba mtoto naye atakua mchawi?πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama wana uhakika ni wachawi huko kwao asioe plz. Ndoa ni muunganiko wa familia na usiwe mwepes kupuuza ushauri wa wazazi. Fanya tafiti tafakar kabla hujachukua maamuz. Hata ungekuwa wewe ndio mzazi usingekubali mwanao aingie kwenye tatizo.
 
Nikuulize Mkuu kwani uchawii ni bloodline kwamba mtoto naye atakua mchawi?πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio na hapana.Ndio kwa sababu kila binadamu mwenye genes anazo genes za kuwa mchawi.Hapana kwa sababu hata kama unazo sio lazima uwe mchawi.

Nb.Isijekuwa ww na rafiki yako mshatengenezwa
 
Mchawi
Malaya
☝️☝️
hao watu hapana aisee!
 
Hahaha watoto wa dot com,kimbia ndugu utakuja kuelewa ukiwa umezeeka na upo wewe na huyo mkeo tu,familia itakuwa ishatafunwa yoote
 
MCHAWI ni hayawani wa mwisho kuliko nyoka anatgamani ya kuolewa ni vile hawakulikani Kwa watu wote.
Ataleta majanga tu nyumbani.
 
Jibu lako lipo kwenye uzi huu.

Wewe hautakuwa wa kwanza kuingia kwenye familia kama hizo. Na wote walioingia wame-experience swala hilo hilo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…