DAVID PALMER
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 318
- 1,597
Mi bado nipo wadau Ila nasoma chuo Nina 20 years mnanishauri nn asee namalizia nikiwa na 22 years
Nikiwa 3rd yr nkapanga geto. Kwa kutumia hela ya boom tuu. Nkanunua godoro, kitanga used, jiko la mafuta la mchina, sufuria mbili na sahan mbili.
Lengo lilikua nikimaliza chuo sitaki kurud mkoani home. Nngepoteza dira.
UE nmemaliza j5, alhamis nkaanza kutembea mashule kutafuta kufundisha angalau niweze survive mjini. Day 1 nkazunguka shule 3 mitaa ya kimara. Nikijitangaza me nafundisha chemistry. Ijumaa nkapata shule moja. Wakanambia wanataka mwl wa physic’s. Nkasema poa. Piga interview nkapass. J3 nkaanza kazi mshahara 400k. Nmefundisha for 2yrs ndo nkaja pata kazi rasmi ya nilichosomea..
Kwa hiyo miaka yote 2 nilipokua ticha sijawahu rudi home.