Ni kumbukumbu ipi unaikumbuka siku ulivyoondoka kwenu na kilichokufanya uondoke kwenda kuanza maisha ya kujitegemea?

Ni kumbukumbu ipi unaikumbuka siku ulivyoondoka kwenu na kilichokufanya uondoke kwenda kuanza maisha ya kujitegemea?

Mi bado nipo wadau Ila nasoma chuo Nina 20 years mnanishauri nn asee namalizia nikiwa na 22 years

Nikiwa 3rd yr nkapanga geto. Kwa kutumia hela ya boom tuu. Nkanunua godoro, kitanga used, jiko la mafuta la mchina, sufuria mbili na sahan mbili.

Lengo lilikua nikimaliza chuo sitaki kurud mkoani home. Nngepoteza dira.

UE nmemaliza j5, alhamis nkaanza kutembea mashule kutafuta kufundisha angalau niweze survive mjini. Day 1 nkazunguka shule 3 mitaa ya kimara. Nikijitangaza me nafundisha chemistry. Ijumaa nkapata shule moja. Wakanambia wanataka mwl wa physic’s. Nkasema poa. Piga interview nkapass. J3 nkaanza kazi mshahara 400k. Nmefundisha for 2yrs ndo nkaja pata kazi rasmi ya nilichosomea..

Kwa hiyo miaka yote 2 nilipokua ticha sijawahu rudi home.
 
Nikiwa 3rd yr nkapanga geto. Kwa kutumia hela ya boom tuu. Nkanunua godoro, kitanga used, jiko la mafuta la mchina, sufuria mbili na sahan mbili.

Lengo lilikua nikimaliza chuo sitaki kurud mkoani home. Nngepoteza dira.

UE nmemaliza j5, alhamis nkaanza kutembea mashule kutafuta kufundisha angalau niweze survive mjini. Day 1 nkazunguka shule 3 mitaa ya kimara. Nikijitangaza me nafundisha chemistry. Ijumaa nkapata shule moja. Wakanambia wanataka mwl wa physic’s. Nkasema poa. Piga interview nkapass. J3 nkaanza kazi mshahara 400k. Nmefundisha for 2yrs ndo nkaja pata kazi rasmi ya nilichosomea..

Kwa hiyo miaka yote 2 nilipokua ticha sijawahu rudi home.
Gud risk bro acha nifwate nyayo
 
Pole sana Nyalumana,

Ungemuhamisha Mama huko aliko nimehisi huruma juu yake alivyobaki kwenye kumbukumbu mbaya ya kumpoteza mpendwa wake na bado anamuona adui yake.

Usifanye kisasi cha kuja kukutia hatiani historia ikajirudia.
Asante ila mama aliamua kubaki hapo kwenye asili ya mumewe pia kwa sasa ndio mkuu na msimamizi wa familia yetu na toka mzee alivyoondoka hatukuwahi kusumbuana na masuala ya mipaka ambayo mama ameyachukulia kimapuuza kwa upande mwingine,so yupo safe japo zipo chochoko za uchokozi but anazipuuza.
Pia eneo lote kwa sasa limepimwa na serikali na kuweka mipaka halisi ambayo pia imesaidia kuweka amani.
Mama,ameamua kubaki hapo kwn ndio sehemu pekee ya asili yake na yetu ambapo tunategemea ipo siku tutarudi hapo na kulala hapo
So wototo kama watoto tumeamua kumhudumia kwa 100%aishi maisha bora akiwa hapo.
Kuhusu kisasi,hii hali uwa naikataa kabisa but uwa inajirudia moyoni hasa nikikumbuka mateso aliyapitia mzee akiwa magereza na baadae kuonekana hana hatia.
Huwezi amini bro,yaani hata likizo zangu naendaga home kwa machale tena kwa kujifichaficha na uwa nakaa home ikibidi sana siku 4 uwa hazizidi,kwani uwa nahisi wale mbwa wanaweza kuzusha kitu ukijikuta unapoteza ajira na maisha kuharibikia hapo kwani siku zote huwezi shindana na mpumbavu ambae hana cha kupoteza
 
Achana na Visasi Mkuu,Nina jirani nimekuwa namshika Sana mkono inasemekana alikuwa na vyeti fyeke vya bwana jiwe..Basi Mimi ninafuga kuku kwangu na yeye anafuga kuku kwake,,Sasa kuku wake mmoja ikawa hajui anatagia kusikofahamika jamaa akawa ananishutumu Sana kupitia wanangu yaan akiwaona wanangu anawaambia mnakula mayai Yangu,,Mara mnakula kuku wangu aisee..


Nimekaa muda mrefu sijaenda kumtembelea juzi nikaenda kumsabahi nafikiri amejifunza kitu,,na hakuamini Kama ningekwenda kwake maana mgogoro ulifukuta Sana mpk nikajenga bonge la uzio....


Achana na kisasi ,,unaweza kukosa furaha ya maisha milele
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23]inauma tena wanaambiwa watoto!Kumbuka watoto wanavyomwamin baba yao kama King halafu waambiwe maneno km hayo.Huyu jirani yako ni makuzi.Anyway nashukuru kwa busara zako even if inauma kusahau,kumbuka hayo yanatokea nipo 18yrs sasa nina 43yrs but nashindwa kusahau means isingekuwa jitihada na mama kunitorosha kipindi hicho ina maana nami ningelikuwa mtu wa ajabu kijijini au vyovyote vile
 
Ukienda chuo wenzio ndio huwa hawarudi yaani hiyo ndio moja kwa moja, wee ukimaliza chuo jiongeze hukohuko mbele kwa mbele.
huu uzi umenifanya niandike storia yang kwa ufupi ya maisha yangu ya kuanza kukaa getoo...nakumbuka natoka zanzibar naingia morogoro kusoma kwenye moja ya chuo pendwa mkoa uwo ,,nakumbuka mwaka wa pili niliamua kutafuta frem na kuilipia miez 4 kwa kupitia boom yangu, kwabahat nlikua sjui ata biashara ya kuanza wakat huku nmeshalipia frame,nliwaza sana nakuwazua ,,itabidi nile risk nyengne ya kumtumia nauli mchizi wangu alieko pemba alikua hodar kwa mapish ya bites kama kachor,chips na bites nyengne ,mchizi baada ya kuja nkaanza kufanya nae kazi aisee sikuamini nlianza kama masihara tu ila ilikua ni kama njia ambayo sir god kaniwekea ili iwe wepesi wang kujikwamnua na life kwakweli kazi iliweza kunilipa pesa zote nlizozitoa mpaka kusimama biashara kipind chote sikuwaza kabisa kurud zanzibar ,,, ijapo kua wazee ndugu wanataman nkawatembelee ila staman tena kurudi na najutia kwann nlichelewa kuishi maisha ya kujitegemea kwakweli ni raha sana maana nliweza kupata kiwanja na mpaka kupata mschana wa uhakika aliekubali kuanza maisha na mm soon sitoita kiosk bali naita mgahawa kabisa maana nmeshatoa fursa za ajira kwa wafagiaji asubuh kwenye ofisi,,wakamataj wa biashara endapo nkipata safar za hapa na pale kwakweli nna mengi ya kuwashauri vijana wenzangu ila nakupa moja tu nalo ni (kua risk taker ) kwakweli woga wako ndo umaskini wako maana laiti ningehofia boom lang kwakweli nsingefika nlipofika
 
Back
Top Bottom