Ni kwa gharama za nani chama cha siasa cha Tanzania kufanyia shughuli zake Nairobi?

Na,
nini hasa lengo la kuwarubuni kifikra na kuwatumia baadhi ya vijana wa chama hicho cha siasa hasa wale wasiojitambua mpaka wakukubali kua mercenaries na kujifunza masuala ya kigaidi na uchochezi dhidi ya nchi yao wenyewe?

Je,
chama hicho bado kinastahili kutambulika kama chama cha siasa?,
Na je, Lengo la kuichafua Tanzania kwa porojo na kuvuruga amani na utulivu wa waTanznia kigaidi, ni kwa faida ya nani?

Ni nani hasa anaewalipia hoteli, anaewalipa posho, anaewalisha chakula na kuwavisha nguo na vitu vya thamani vijana wa chama hicho waliokosa uzalendo kwa nchi yao pale Nairobi nchini Kenya?

Na huyo mfadhilia wao,
ametoa wapi fedha ya kuwatunza vijana hao hotelini?
Baada ya kushindwa uovu waliokusuduia dhidi ya Tanzania, unadhani vijana hao watapelekwa nchi gani kama wakimbizi, eti wa kisiasa?

Vijana wetu wa kiume hawawezi kuolewa kweli huko watakakopelekwa bila kupenda, maana hawatakua na uwezo wala namna ya kujinasua kwenye mtego huo wa fedheha?

Mungu Ibariki Tanzania
CCm ndio chama cha KIGAIDI nchini Tanzania. Abdul mtoto wa mwenyekiti wa ccm ndio mwenye jeshi la GOONS wanaoteka na kuwaua raia wasiokuwa na hatia huku Tanaganyika! Halafu hakuna chombo cha ulinzi kinamgusa!
 
Gentleman,
hebu relax kidogo na uwaeleze wadau wa JF kwa ufupi tu kuhusu hili,

hivi wale vijana wa kiTanzania wa kile chama cha siasa cha waropokaji, wanaolelewa pale Nairobi na kufanywa mamluki na wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza porojo wanalelewa na kugharamiwa na nani? :pulpTRAVOLTA:
 
ANC wakati ule wa Apartheid na wakawa wana kamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ajabu kama wafanyavyo CCM ilibidi wafanyie kazi nje ikiwapo hapa Tanzania. Pengine ulikuwa hulijui hilo maana ulikuwa hujazaliwa au elimu yako ni ndogo kuelewa na kusoma historia.
Mwenye aibu ni wale wabambika kesi, wanaoteka wapinzani, wanao waua na kuwashambulia!
Matako yao! Kama asemavyo Rais wa Mbeya, Jongwe!
Gentleman,
Je hao ANC walifanywa kua mamluki na wafanyakazi wa kuchakata porojo na uzushi kama hao wanahifadhiwa hapo Nairobi na kufanywa kua magaidi ili wakaharibu amani, mali na miundominu ya uuma ya taifa lao? :pulpTRAVOLTA:
 
Propaganda zilizoganda kutoka kwenye ubongo ulioganda
jikite kwenye hoja bila kua na mihemko wala kuweweseka gentleman,

na ikiwa uko poinless relax tu na itapendeza zaidi :NoGodNo:
 
Wanaishi kwa gharama ya mama yako kahaba kuuza uchi wake mchafu uwanja wa fisi
relax gentleman,
kama huna hoja huna haja kusumbua wadau wa JF kwa matusu ambayo ni nonsense :pulpTRAVOLTA:
 
Na,
nini hasa lengo la kuwarubuni kifikra na kuwatumia baadhi ya vijana wa chama hicho cha siasa hasa wale wasiojitambua mpaka wakukubali kua mercenaries na kujifunza masuala ya kigaidi na uchochezi dhidi ya nchi yao wenyewe?

Je,
chama hicho bado kinastahili kutambulika kama chama cha siasa?,
Na je, Lengo la kuichafua Tanzania kwa porojo na kuvuruga amani na utulivu wa waTanznia kigaidi, ni kwa faida ya nani?

Ni nani hasa anaewalipia hoteli, anaewalipa posho, anaewalisha chakula na kuwavisha nguo na vitu vya thamani vijana wa chama hicho waliokosa uzalendo kwa nchi yao pale Nairobi nchini Kenya?

Na huyo mfadhilia wao,
ametoa wapi fedha ya kuwatunza vijana hao hotelini?
Baada ya kushindwa uovu waliokusuduia dhidi ya Tanzania, unadhani vijana hao watapelekwa nchi gani kama wakimbizi, eti wa kisiasa?

Vijana wetu wa kiume hawawezi kuolewa kweli huko watakakopelekwa bila kupenda, maana hawatakua na uwezo wala namna ya kujinasua kwenye mtego huo wa fedheha?

Mungu Ibariki Tanzania
Una akili za kizamani sana,halafu kwanini lazima uandike uwongo kila kitu,maisha ya hovyo sana hayo
 
kila mtu anajua watekaji ni chadema

Nchi yoyote iliyoendelea duniani ni iliyokubali kupokea mawazo mbadala ya wengine, ama kutumia rasilimali zake vizuri au kutumia wataalam na tafiti za watu wake

Nchi yoyote iliyoendelea duniani ni ile ilikubali mambo matatu yote au moja wapo.

1: Kupokea mawazo mbadala ya wengine au upande wa pili wa kisiasa.

2: Iliyokubali kulinda na kutumia rasilimali zake kwa gharama zozote. Kama mafuta, madini, ardhi, maji nk.

3: Iliyokubali kuthamini na kutumia elimu, ujuzi na utafiti wa watu wake na kuwasomesha ndani na nje kiteknolojia.

Bahati mbaya Tanganyika hayo yote matatu, viongozi na watawala wetu hawayataki, badala yake wamechagua bunduki ambayo ni njia rahisi sana kumtisha na kumuondoa yeyote aliye mbele yako. Mbaya na mzuri sana wote unaua tu.
 
Chadema imefungiwa na vingozi wake kufungwa jela Ila bado inaishi midomoni na kwenye akili za maharamia ccm ,na inaishi Mara elfu kwenye mioyo ya watanzania
Gentleman,
kwani wale vijana mamluki na wafanyakazi wa kuchakata porojo na kutengeneza uongo na uzushi ili kuharibu amani ya taifa lao, wanaohifadhiwa pale Nairobi ni wa Chadema?

aise?
ni kwanini chadema inajihusisha na masuala ya kigaidi rafiki yangu?
mbona hatari sana aise:pulpTRAVOLTA:
 
Nchi yoyote iliyoendelea duniani ni iliyokubali kupokea mawazo mbadala ya wengine, ama kutumia rasilimali zake vizuri au kutumia wataalam na tafiti za watu wake

Nchi yoyote iliyoendelea duniani ni ile ilikubali mambo matatu yote au moja wapo.

1: Kupokea mawazo mbadala ya wengine au upande wa pili wa kisiasa.

2: Iliyokubali kulinda na kutumia rasilimali zake kwa gharama zozote. Kama mafuta, madini, ardhi, maji nk.

3: Iliyokubali kuthamini na kutumia elimu, ujuzi na utafiti wa watu wake na kuwasomesha ndani na nje kiteknolojia.

Bahati mbaya Tanganyika hayo yote matatu, viongozi na watawala wetu hawayataki, badala yake wamechagua bunduki ambayo ni njia rahisi sana kumtisha na kumuondoa yeyote aliye mbele yako. Mbaya na mzuri sana wote unaua tu.
yaani nchi ipokea mawazo ya mamluki na magaidi kweli?:pedroP:

ni nchi gani duniani inafanya huo upuuzi gentleman?
 
Una akili za kizamani sana,halafu kwanini lazima uandike uwongo kila kitu,maisha ya hovyo sana hayo
Gentleman,
kwahiyo hakuna vijana wa chama cha siasa cha waropokaji Tanzania, waliofanywa mamluki wa kuchakata porojo na kufundishwa ugaidi pale Nairobi ili kuja kuharibu amani na miundombinu ya taifa lao right?:pedroP:

unaishi wapi gentleman?
huenda hufahamu mambo mengi sana aise:pulpTRAVOLTA:
 
CHAWA hujapata cheo tu huko serikalini? Ubunge ulikushinda tangu kura za maoni sasa unalazimasha na kujipendekeza
kaa kimya tu ikiwa huna hoja gentleman na itapendeza zaidi:NoGodNo:
 
Gentleman,
hebu relax kidogo na uwaeleze wadau wa JF kwa ufupi tu kuhusu hili,

hivi wale vijana wa kiTanzania wa kile chama cha siasa cha waropokaji, wanaolelewa pale Nairobi na kufanywa mamluki na wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza porojo wanalelewa na kugharamiwa na nani? :pulpTRAVOLTA:
Tuambie pia na mamluki wa uvccm wasio na ajira wala biashara wanaoliwa makalio kwa ahadi ya teuzi hatima yao ni nini wakati mmeliwa wengi kuliko nafasi za uteuzi?
 
usihamishe mjadala tafadhali gentleman hata kama umelemewa na hoja :pedroP:
 
Hapana mjadala ni gharama sasa itakuwaje mdogo wa mbogamboga wanaopenda shortcut na maisha ya gharama walioliwa tako na teuzi?bado
 
Na,
nini hasa lengo la kuwarubuni kifikra na kuwatumia baadhi ya vijana wa chama hicho cha siasa hasa wale wasiojitambua mpaka wakukubali kua mercenaries na kujifunza masuala ya kigaidi na uchochezi dhidi ya nchi yao wenyewe?

Je,
chama hicho bado kinastahili kutambulika kama chama cha siasa?,
Na je, Lengo la kuichafua Tanzania kwa porojo na kuvuruga amani na utulivu wa waTanznia kigaidi, ni kwa faida ya nani?

Ni nani hasa anaewalipia hoteli, anaewalipa posho, anaewalisha chakula na kuwavisha nguo na vitu vya thamani vijana wa chama hicho waliokosa uzalendo kwa nchi yao pale Nairobi nchini Kenya?

Na huyo mfadhilia wao,
ametoa wapi fedha ya kuwatunza vijana hao hotelini?
Baada ya kushindwa uovu waliokusuduia dhidi ya Tanzania, unadhani vijana hao watapelekwa nchi gani kama wakimbizi, eti wa kisiasa?

Vijana wetu wa kiume hawawezi kuolewa kweli huko watakakopelekwa bila kupenda, maana hawatakua na uwezo wala namna ya kujinasua kwenye mtego huo wa fedheha?

Mungu Ibariki Tanzania

Hakika mpumbavu hata aishi miaka mingapi, upumbavu wake haubadiliki. Angalia mleta mada ana muda gani JF, lakini kila akiletacho wakati wote huwa ni takataka tupu! Mtu anaandika tu, kitu ambacho huwezi kuiita ni habari au wimbo, maana hajasema ni nani na nani wanaoishi hotelini Kenya, hajasema wanaishi huko kama watalii au kama wakimbizi, hajasema wanaishi hoteli gani!! Amebwabwaja tu akiamini kuna wasio na akili kama yeye ambao watabwabwaja kama yeye.

This is crap, mods get it where it deserves.
 
calm down,
tuliza mihemko kidogo gentleman,

huenda hufahamu mambo mengi mno gentleman,
halafu pia inaonyesha dhahiri ulivyo rahisi kurubuniawa na kubebwa ufala wa kifikra nawe kufanywa mamluki au gaidi kama hao vijana wa kile chama wanaolelewa nairobi ili kuchakata porojo eti za kuharibu amani ya Taifa lao.

Jitahidi kufuatilia mambo haya kwa ukaribu ili hatimae kua sehemu ya wazalendo wanaohakikisha mamluki hawafanikiwi katika ugaidi wao dhidi ya amani ya Tanzania :pulpTRAVOLTA:
 
Hapana mjadala ni gharama sasa itakuwaje mdogo wa mbogamboga wanaopenda shortcut na maisha ya gharama walioliwa tako na teuzi?bado
kwahiyo pale nairobi wale vijana,
wameweza kuepuka hiyo kitu kweli au wameshazoe kuifanya sasa? :pedroP:
 
Na,
nini hasa lengo la kuwarubuni kifikra na kuwatumia baadhi ya vijana wa chama hicho cha siasa hasa wale wasiojitambua mpaka wakukubali kua mercenaries na kujifunza masuala ya kigaidi na uchochezi dhidi ya nchi yao wenyewe?

Je,
chama hicho bado kinastahili kutambulika kama chama cha siasa?,
Na je, Lengo la kuichafua Tanzania kwa porojo na kuvuruga amani na utulivu wa waTanznia kigaidi, ni kwa faida ya nani?

Ni nani hasa anaewalipia hoteli, anaewalipa posho, anaewalisha chakula na kuwavisha nguo na vitu vya thamani vijana wa chama hicho waliokosa uzalendo kwa nchi yao pale Nairobi nchini Kenya?

Na huyo mfadhilia wao,
ametoa wapi fedha ya kuwatunza vijana hao hotelini?
Baada ya kushindwa uovu waliokusuduia dhidi ya Tanzania, unadhani vijana hao watapelekwa nchi gani kama wakimbizi, eti wa kisiasa?

Vijana wetu wa kiume hawawezi kuolewa kweli huko watakakopelekwa bila kupenda, maana hawatakua na uwezo wala namna ya kujinasua kwenye mtego huo wa fedheha?

Mungu Ibariki Tanzania
Sijui
 
Back
Top Bottom