Ni kwa gharama za nani chama cha siasa cha Tanzania kufanyia shughuli zake Nairobi?

Na,
nini hasa lengo la kuwarubuni kifikra na kuwatumia baadhi ya vijana wa chama hicho cha siasa hasa wale wasiojitambua mpaka wakukubali kua mercenaries na kujifunza masuala ya kigaidi na uchochezi dhidi ya nchi yao wenyewe?

Je,
chama hicho bado kinastahili kutambulika kama chama cha siasa?,
Na je, Lengo la kuichafua Tanzania kwa porojo na kuvuruga amani na utulivu wa waTanznia kigaidi, ni kwa faida ya nani?

Ni nani hasa anaewalipia hoteli, anaewalipa posho, anaewalisha chakula na kuwavisha nguo na vitu vya thamani vijana wa chama hicho waliokosa uzalendo kwa nchi yao pale Nairobi nchini Kenya?

Na huyo mfadhilia wao,
ametoa wapi fedha ya kuwatunza vijana hao hotelini?
Baada ya kushindwa uovu waliokusuduia dhidi ya Tanzania, unadhani vijana hao watapelekwa nchi gani kama wakimbizi, eti wa kisiasa?

Vijana wetu wa kiume hawawezi kuolewa kweli huko watakakopelekwa bila kupenda, maana hawatakua na uwezo wala namna ya kujinasua kwenye mtego huo wa fedheha?

Mungu Ibariki Tanzania

Mbona ccm wakitumia STK uwa husemi?

Chadema kimekufa, hakina mwakilishi, Mwenyekiti yuko jela, hawana ruzuku Yan they lost everything

Ila bado wakuu mnapambana sijui mnataka nini kitokee

Haha hubu tulia kwanza kwa sasa tuko busy kuyajenga na mabeberu ambao wanatuonea wivu wa mali zetu

Si unajua wao ndio wanaleta vita ya kiuchumi?

Na wao ndio wafadhili wa maandamano?

Haha tuko busy tunayanga
 
mbona ni kiungo cha ubishi gentleman,

Kumbe wale vijana ni wa Chadema gentleman?
hicho chama mbona kinajulikana ni dhohofulihali kiuchumi, ni nani wanawagharamia wale viajana pale Nairobi wanaofanya kazi ya kutengeneza porojo dhidi ya taifa lao?

kwani chama hicho kimeamua kuwafanya vijana wake kua mamluki na kuwapa fursa ya kwenda kujifunza mambo ya kigaidi?

kwa kazi hiyo, chadema inalipwa kiasi gani sasa? :pulpTRAVOLTA:
 
Nchi yoyote iliyoendelea duniani ni iliyokubali kupokea mawazo mbadala ya wengine, ama kutumia rasilimali zake vizuri au kutumia wataalam na tafiti za watu wake

Nchi yoyote iliyoendelea duniani ni ile ilikubali mambo matatu yote au moja wapo.

1: Kupokea mawazo mbadala ya wengine au upande wa pili wa kisiasa.

2: Iliyokubali kulinda na kutumia rasilimali zake kwa gharama zozote. Kama mafuta, madini, ardhi, maji nk.

3: Iliyokubali kuthamini na kutumia elimu, ujuzi na utafiti wa watu wake na kuwasomesha ndani na nje kiteknolojia.

Bahati mbaya Tanganyika hayo yote matatu, viongozi na watawala wetu hawayataki, badala yake wamechagua bunduki ambayo ni njia rahisi sana kumtisha na kumuondoa yeyote aliye mbele yako. Mbaya na mzuri sana wote unaua tu.
mlileta mawazo mbadala ama mlichoma nchi
 
Na,
nini hasa lengo la kuwarubuni kifikra na kuwatumia baadhi ya vijana wa chama hicho cha siasa hasa wale wasiojitambua mpaka wakukubali kua mercenaries na kujifunza masuala ya kigaidi na uchochezi dhidi ya nchi yao wenyewe?

Je,
chama hicho bado kinastahili kutambulika kama chama cha siasa?,
Na je, Lengo la kuichafua Tanzania kwa porojo na kuvuruga amani na utulivu wa waTanznia kigaidi, ni kwa faida ya nani?

Ni nani hasa anaewalipia hoteli, anaewalipa posho, anaewalisha chakula na kuwavisha nguo na vitu vya thamani vijana wa chama hicho waliokosa uzalendo kwa nchi yao pale Nairobi nchini Kenya?

Na huyo mfadhilia wao,
ametoa wapi fedha ya kuwatunza vijana hao hotelini?
Baada ya kushindwa uovu waliokusuduia dhidi ya Tanzania, unadhani vijana hao watapelekwa nchi gani kama wakimbizi, eti wa kisiasa?

Vijana wetu wa kiume hawawezi kuolewa kweli huko watakakopelekwa bila kupenda, maana hawatakua na uwezo wala namna ya kujinasua kwenye mtego huo wa fedheha?

Mungu Ibariki Tanzania
Hapa kuna shida kubwa sana Gentleman,

Lazima kuna wafadhili nyuma yake wana ajenda yao ya siri,wazungu au mabeberu hawafanyi jambo bure bure bila kuwa na motive nyuma yake
 
Gentleman,
hebu relax kidogo na uwaeleze wadau wa JF kwa ufupi tu kuhusu hili,

hivi wale vijana wa kiTanzania wa kile chama cha siasa cha waropokaji, wanaolelewa pale Nairobi na kufanywa mamluki na wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza porojo wanalelewa na kugharamiwa na nani? :pulpTRAVOLTA:
Wewe unagharamiwa na nani??
 
mbona ni kiungo cha ubishi gentleman,

Kumbe wale vijana ni wa Chadema gentleman?
hicho chama mbona kinajulikana ni dhohofulihali kiuchumi, ni nani wanawagharamia wale viajana pale Nairobi wanaofanya kazi ya kutengeneza porojo dhidi ya taifa lao?

kwani chama hicho kimeamua kuwafanya vijana wake kua mamluki na kuwapa fursa ya kwenda kujifunza mambo ya kigaidi?

kwa kazi hiyo, chadema inalipwa kiasi gani sasa? :pulpTRAVOLTA:

Kama serikali inapata msaada why chama kisipate?

Kama ccm wanaweza kutumia mpaka magari ya serikali kwenye kampeni zao why chadema wasitumie another oltenative?

Kila mtu ashinde gem zake haha

Acha makelele gentleman
 
kwahiyo vijana mamluki wa chadema wanapatiwa msaada wa mafunzo ya kigaidi nchi jirana right? :pedroP:
 
Na,
nini hasa lengo la kuwarubuni kifikra na kuwatumia baadhi ya vijana wa chama hicho cha siasa hasa wale wasiojitambua mpaka wakukubali kua mercenaries na kujifunza masuala ya kigaidi na uchochezi dhidi ya nchi yao wenyewe?

Je,
chama hicho bado kinastahili kutambulika kama chama cha siasa?,
Na je, Lengo la kuichafua Tanzania kwa porojo na kuvuruga amani na utulivu wa waTanznia kigaidi, ni kwa faida ya nani?

Ni nani hasa anaewalipia hoteli, anaewalipa posho, anaewalisha chakula na kuwavisha nguo na vitu vya thamani vijana wa chama hicho waliokosa uzalendo kwa nchi yao pale Nairobi nchini Kenya?

Na huyo mfadhilia wao,
ametoa wapi fedha ya kuwatunza vijana hao hotelini?
Baada ya kushindwa uovu waliokusuduia dhidi ya Tanzania, unadhani vijana hao watapelekwa nchi gani kama wakimbizi, eti wa kisiasa?

Vijana wetu wa kiume hawawezi kuolewa kweli huko watakakopelekwa bila kupenda, maana hawatakua na uwezo wala namna ya kujinasua kwenye mtego huo wa fedheha?

Mungu Ibariki Tanzania
Hayo ni matokeo ya kuharibu demokrasia hapa nchini. Mfano halisi wa hilo ni makaburu wa afrika kusini walivyokuwa wanawafanyia weusi wa afrika kusini, hasa wanachama wa ANC. Wale wengi walikimbia nchu yao na baadhi walipata uhifadhi hapa nchini, nenda hapo Mazimbu Morogoro ukajifunze historia hiyo. Na sisi watanzania tuliwaona hao weusi ni ndugu zetu, badala ya kuwataka warudi nchini kwao wakawatii makaburu.

Mmefungia chama kufanya shughuli zake hapa nchini, mnategemea watu watakaa kama mazombie wakipelekeshwa.
 
haipo demokrasia duniani ya kuharibu miundombinu wala ya kuchukua vijana wa chama cha siasa na kuwafanya mamluki na kisha kuwapeleka kwenye mafunzo ya ugaidi nchi jirani ili hatimae waje kuharibu nchi yao kwa ugaidi Hiyo ni demokrasia nonsense kabisa gentleman na haitaruhusiwa Tanzania

ANC haikuwahi kuwafunza wanachama wake kua magaidi mamluki, acha porojo :pulpTRAVOLTA:
 
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Weusi wa Afrika kusini walikimbia nchi yao ili iweje? ANC ilifutwa wakati fulani huko Afrika kusini kwanini? Ukweli huwa haukimbiwi.
 
Hata hao pia wanagharamiwa na waTanzania wazalendo ambao walikuwa tayari kufa Oct29.
Gentleman,
Amani ya Tanzania italindwa kwa nguvu na kwa gharama yoyote ile.
hakuna gaidi ataachwa atembe kuvuruga amani au kuharibu miundombinu ya umma au binafsi hata kwa sekunde moja tu.

usithubutu kujihusisha na magaidi :pulpTRAVOLTA:
 
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Weusi wa Afrika kusini walikimbia nchi yao ili iweje? ANC ilifutwa wakati fulani huko Afrika kusini kwanini? Ukweli huwa haukimbiwi.
hakuna kitakachofutwa TZ,
Ila mamluki na magaidi hawataachwa watambe kuvuruga amani au kuharibu miundombinu hata kwa sekunde moja tu.

usithubutu kua sehemu ya magaidi gentleman :pulpTRAVOLTA:
 
kwahiyo vijana mamluki wa chadema wanapatiwa msaada wa mafunzo ya kigaidi nchi jirana right? :pedroP:

Mambo ya kidiplomasia unatakiwa kuongea kwa ushahidi

Turudi hapa kwetu tz ambako with no evidence mtu anafungwa maisha
 
ugaidi ni diplomasia sio gentleman? :pedroP:
 
Umeitaja inchi nyingine, ungesema wanafundishwa ugaidi kigamboni ningekujibu
nadhani ni vizuri ukajikita kwenye hoja ya msingi mezani kuliko kujaribu kuhamisha mjadala,

andika uzi mahususi kuhusu hilo kwa faida ya wadau,
but kwasasa jikite kwenye hoja mezani :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom