Ni kwa gharama za nani chama cha siasa cha Tanzania kufanyia shughuli zake Nairobi?

Gentleman,
Amani ya Tanzania italindwa kwa nguvu na kwa gharama yoyote ile.
hakuna gaidi ataachwa atembe kuvuruga amani au kuharibu miundombinu ya umma au binafsi hata kwa sekunde moja tu.

usithubutu kujihusisha na magaidi :pulpTRAVOLTA:
Sasa mbona mliwafungulia kesi ya uhaini na siyo ugaidi?
 
there is no rooms for criminals and completely there is escape roots for terrorists in Tanzania.
Tanzania has zero tolerance on terrorism allegations :pulpTRAVOLTA:
 
nadhani ni vizuri ukajikita kwenye hoja ya msingi mezani kuliko kujaribu kuhamisha mjadala,

andika uzi mahususi kuhusu hilo kwa faida ya wadau,
but kwasasa jikite kwenye hoja mezani :pulpTRAVOLTA:

Umetaja inchi nyingine na hilo ni jambo la diplomasia na huna any evidence ni maneno tu

Lete fact ABCD

And not hear says
 
Na,
nini hasa lengo la kuwarubuni kifikra na kuwatumia baadhi ya vijana wa chama hicho cha siasa hasa wale wasiojitambua mpaka wakukubali kua mercenaries na kujifunza masuala ya kigaidi na uchochezi dhidi ya nchi yao wenyewe?

Je,
chama hicho bado kinastahili kutambulika kama chama cha siasa?,
Na je, Lengo la kuichafua Tanzania kwa porojo na kuvuruga amani na utulivu wa waTanznia kigaidi, ni kwa faida ya nani?

Ni nani hasa anaewalipia hoteli, anaewalipa posho, anaewalisha chakula na kuwavisha nguo na vitu vya thamani vijana wa chama hicho waliokosa uzalendo kwa nchi yao pale Nairobi nchini Kenya?

Na huyo mfadhilia wao,
ametoa wapi fedha ya kuwatunza vijana hao hotelini?
Baada ya kushindwa uovu waliokusuduia dhidi ya Tanzania, unadhani vijana hao watapelekwa nchi gani kama wakimbizi, eti wa kisiasa?

Vijana wetu wa kiume hawawezi kuolewa kweli huko watakakopelekwa bila kupenda, maana hawatakua na uwezo wala namna ya kujinasua kwenye mtego huo wa fedheha?

Mungu Ibariki Tanzania
Nadhani ni kwa gharama za wadau wa maendeleo wa chama hicho,
Kama wadau wa maendeleo wa chama fulani hapa ndani waliweza kuchanIga bilioni 80,nje ya nchi si ni zaidi?
 
Umetaja inchi nyingine na hilo ni jambo la diplomasia na huna any evidence ni maneno tu

Lete fact ABCD

And not hear says
Gentleman,
yaani vijana waziwazi kabisa wamechukuliwa mamluki wanalipiwa hoteli, wanalishwa, wanavishwa na kupatiwa mafunzo ya ugaidi ili hatimae waje kuvuruga amani ya taifa lao huku wewe uandai ushahidi?
utakusaidia nini sasa kwa mfano huo ushahidi?

Tanzania haitasita kuchukua hatua kali sana katika kudhibiti na kusamabaratisha mipango au vitendo vya kigaidi katika kona yoyote nchini :pulpTRAVOLTA:
 
Kungekuwa na hiyo chance I'm telling you nyie vijana wa ccm msingekuwepo hapa jf now,

Miji yote ingekuwa meupe,

Kwa jinsi maisha yalivyo magumu I'm telling you vijana na wazee wangekuwa huko long time, ili wapate hayo mafunzo na wapate ela za kutunza familia zao
 
Kama watu walikubali kulipwa elf kumi na kukaa Juani siku mzima wanamsubiri mgombea, do you think watakataa laki moja ya bure na kupata mafunzo?

Hata ww ungeenda fasta 😄
 
Kungekuwa na hiyo chance I'm telling you nyie vijana wa ccm msingekuwepo hapa jf now,

Miji yote ingekuwa meupe,

Kwa jinsi maisha yalivyo magumu I'm telling you vijana na wazee wangekuwa huko long time, ili wapate hayo mafunzo na wapate ela za kutunza familia zao
maisha magumu ni kwasababu ya uvivu wako tu gentleman,
porojo za kusadikika ukawasimulie wajukuu :NoGodNo:
 
Yes watoto wa wakubwa sio wavivu ndio maana wana Maplot ya mabilion masaki, wana magari ya mabilion because they working hard

Mimi na ww tuko jf hapa tunapiga uvivu haha

Wao sio wavivu na wamesoma sana ndio maana wanapeana nafasi na vyeo

Mimi na wewe acha tuendelee kusaga vidole kwenye keyboard 😄
 
there is no rookama usemavyo Msimamo wa Tanzania ni kutokuvumilia kabisa vitendo vyovyote vya kiharifu na kigaidi.

there is no rooms for criminals and completely there is escape roots for terrorists in Tanzania.
Tanzania has zero tolerance on terrorism allegations :pulpTRAVOLTA:
Kama usemavyo, kwamba msimamo wa Tanzania ni kutokuvumilia vitendo vyovyote vya kiharifu na kigaidi.
Kwanini mliwaachia huru watuhumiwa wote wa uhaini au ugaidi kama usemavyo??! Nilitegemea kwa msimamo huo mngewakamata na sheria ikachukua mkondo wake na siyo kuwaua au walikkamatwa kuachiwa huru bila mashart,Hamna huo msimamo sababu mnabambikia watu makosa bila ushahidi.Alishapewa mbowe kesi ya ugaidi na sasa Uhaini kwa Lisu na hamuwezi kuwakuta na Hatia yoyote.
 
gentleman,
hakuna gaidi atatamba hata kwa sekunde moja tu kuharibu rasilimali za waTanzania :pulpTRAVOLTA:
 
Yes watoto wa wakubwa sio wavivu ndio maana wana Maplot ya mabilion masaki, wana magari ya mabilion because they working hard

Mimi na ww tuko jf hapa tunapiga uvivu haha

Wao sio wavivu na wamesoma sana ndio maana wanapeana nafasi na vyeo

Mimi na wewe acha tuendelee kusaga vidole kwenye keyboard 😄
okey sawa gentleman,

but kamwe usijiassociate ma magaidi popote pale.:pulpTRAVOLTA:
 
magaidi wote kote duniani zawadi yao ni ubaridi gentleman :pulpTRAVOLTA:
Ok, kama suruhisho ni hilo la kumpa mbwa jina baya ili upate uhalali wa kumuua! Uzuri ubaridi unaouzungumzia,wewe pia ni lazima utaupata ni swala la mda tu.
Tunatofautiana njia na jinsi ya kuupata huo ubaridi.
 
Gentleman,
hebu relax kidogo na uwaeleze wadau wa JF kwa ufupi tu kuhusu hili,

hivi wale vijana wa kiTanzania wa kile chama cha siasa cha waropokaji, wanaolelewa pale Nairobi na kufanywa mamluki na wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza porojo wanalelewa na kugharamiwa na nani? :pulpTRAVOLTA:
CCM kwenye makambi yenu mnawafundisha kutumia silaha vijana wenu wanakwenda kupigana na nani kama sio kwenda kuwaua raia wasio na hatia? CCM is a terrorist organisation!
 
Malawi's Road to Dictatorship / Rars Footage of Hadtings Banda's Clampdown *1965

View: https://m.youtube.com/watch?v=xNrsOBoGqjA
By April 1965, Malawi, recently independent from Britain, was consolidating politically under Dr Hastings Kamuzu Banda. Internal dissent within the Malawi Congress Party (MCP), led by figures such as Henry Chipembere and Kanyama Chiume, was suppressed, with many opponents forced into exile in Tanzania and Kenya.

Over the following years, Banda strengthened control over the party and government, eliminating opposition and centralising power, and by the early 1970s Malawi had effectively become a one-party state with Banda as president-for-life. He remained in power until 1994, when Malawi transitioned to multi-party democracy.
 
Back
Top Bottom