Ni kwa gharama za nani chama cha siasa cha Tanzania kufanyia shughuli zake Nairobi?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Na,
nini hasa lengo la kuwarubuni kifikra na kuwatumia baadhi ya vijana wa chama hicho cha siasa hasa wale wasiojitambua mpaka wakukubali kua mercenaries na kujifunza masuala ya kigaidi na uchochezi dhidi ya nchi yao wenyewe?

Je,
chama hicho bado kinastahili kutambulika kama chama cha siasa?,
Na je, Lengo la kuichafua Tanzania kwa porojo na kuvuruga amani na utulivu wa waTanznia kigaidi, ni kwa faida ya nani?

Ni nani hasa anaewalipia hoteli, anaewalipa posho, anaewalisha chakula na kuwavisha nguo na vitu vya thamani vijana wa chama hicho waliokosa uzalendo kwa nchi yao pale Nairobi nchini Kenya?

Na huyo mfadhilia wao,
ametoa wapi fedha ya kuwatunza vijana hao hotelini?
Baada ya kushindwa uovu waliokusuduia dhidi ya Tanzania, unadhani vijana hao watapelekwa nchi gani kama wakimbizi, eti wa kisiasa?

Vijana wetu wa kiume hawawezi kuolewa kweli huko watakakopelekwa bila kupenda, maana hawatakua na uwezo wala namna ya kujinasua kwenye mtego huo wa fedheha?

Mungu Ibariki Tanzania
 
Yeah ni kweli, wanapata wapi pesa za kununua na kusambaza mitungi ya gas,baskeli na pikipiki zenye rangi yao nchi nzima??!
Mungu ibariki Tanzania.
 
Na,
nini hasa lengo la kuwarubuni kifikra na kuwatumia baadhi ya vijana wa chama hicho cha siasa hasa wale wasiojitambua mpaka wakukubali kua mercenaries na kujifunza masuala ya kigaidi na uchochezi dhidi ya nchi yao wenyewe?

Je,
chama hicho bado kinastahili kutambulika kama chama cha siasa?,
Na je, Lengo la kuichafua Tanzania kwa porojo na kuvuruga amani na utulivu wa waTanznia kigaidi, ni kwa faida ya nani?

Ni nani hasa anaewalipia hoteli, anaewalipa posho, anaewalisha chakula na kuwavisha nguo na vitu vya thamani vijana wa chama hicho waliokosa uzalendo kwa nchi yao pale Nairobi nchini Kenya?

Na huyo mfadhilia wao,
ametoa wapi fedha ya kuwatunza vijana hao hotelini?
Baada ya kushindwa uovu waliokusuduia dhidi ya Tanzania, unadhani vijana hao watapelekwa nchi gani kama wakimbizi, eti wa kisiasa?

Vijana wetu wa kiume hawawezi kuolewa kweli huko watakakopelekwa bila kupenda, maana hawatakua na uwezo wala namna ya kujinasua kwenye mtego huo wa fedheha?

Mungu Ibariki Tanzania

..Tanganyika ilitoa fursa kwa ANC, PAC, Frelimo, SWAPO, na vyama vingine kuweka makao yake nchini kwetu baada ya vyama hivyo kuwa na wakati mgumu nchini kwao.

..Sasa na sisi tumefika mahali hali ya kisiasa imekuwa mbaya na kulazimisha baadhi ya wanasiasa na wanaharakati kulazimika kuishi uhamishoni.
 
Na,
nini hasa lengo la kuwarubuni kifikra na kuwatumia baadhi ya vijana wa chama hicho cha siasa hasa wale wasiojitambua mpaka wakukubali kua mercenaries na kujifunza masuala ya kigaidi na uchochezi dhidi ya nchi yao wenyewe?

Je,
chama hicho bado kinastahili kutambulika kama chama cha siasa?,
Na je, Lengo la kuichafua Tanzania kwa porojo na kuvuruga amani na utulivu wa waTanznia kigaidi, ni kwa faida ya nani?

Ni nani hasa anaewalipia hoteli, anaewalipa posho, anaewalisha chakula na kuwavisha nguo na vitu vya thamani vijana wa chama hicho waliokosa uzalendo kwa nchi yao pale Nairobi nchini Kenya?

Na huyo mfadhilia wao,
ametoa wapi fedha ya kuwatunza vijana hao hotelini?
Baada ya kushindwa uovu waliokusuduia dhidi ya Tanzania, unadhani vijana hao watapelekwa nchi gani kama wakimbizi, eti wa kisiasa?

Vijana wetu wa kiume hawawezi kuolewa kweli huko watakakopelekwa bila kupenda, maana hawatakua na uwezo wala namna ya kujinasua kwenye mtego huo wa fedheha?

Mungu Ibariki Tanzania
Na,
nini hasa lengo la kuwarubuni kifikra na kuwatumia baadhi ya vijana wa chama hicho cha siasa hasa wale wasiojitambua mpaka wakukubali kua mercenaries na kujifunza masuala ya kigaidi na uchochezi dhidi ya nchi yao wenyewe?

Je,
chama hicho bado kinastahili kutambulika kama chama cha siasa?,
Na je, Lengo la kuichafua Tanzania kwa porojo na kuvuruga amani na utulivu wa waTanznia kigaidi, ni kwa faida ya nani?

Ni nani hasa anaewalipia hoteli, anaewalipa posho, anaewalisha chakula na kuwavisha nguo na vitu vya thamani vijana wa chama hicho waliokosa uzalendo kwa nchi yao pale Nairobi nchini Kenya?

Na huyo mfadhilia wao,
ametoa wapi fedha ya kuwatunza vijana hao hotelini?
Baada ya kushindwa uovu waliokusuduia dhidi ya Tanzania, unadhani vijana hao watapelekwa nchi gani kama wakimbizi, eti wa kisiasa?

Vijana wetu wa kiume hawawezi kuolewa kweli huko watakakopelekwa bila kupenda, maana hawatakua na uwezo wala namna ya kujinasua kwenye mtego huo wa fedheha?

Mungu Ibariki Tanzania
Kwani huwa ni kwa gharama ya nani taifa,watu na rasilimali zake zinatafunwa na familia za wachachee?
 
Na,
nini hasa lengo la kuwarubuni kifikra na kuwatumia baadhi ya vijana wa chama hicho cha siasa hasa wale wasiojitambua mpaka wakukubali kua mercenaries na kujifunza masuala ya kigaidi na uchochezi dhidi ya nchi yao wenyewe?

Je,
chama hicho bado kinastahili kutambulika kama chama cha siasa?,
Na je, Lengo la kuichafua Tanzania kwa porojo na kuvuruga amani na utulivu wa waTanznia kigaidi, ni kwa faida ya nani?

Ni nani hasa anaewalipia hoteli, anaewalipa posho, anaewalisha chakula na kuwavisha nguo na vitu vya thamani vijana wa chama hicho waliokosa uzalendo kwa nchi yao pale Nairobi nchini Kenya?

Na huyo mfadhilia wao,
ametoa wapi fedha ya kuwatunza vijana hao hotelini?
Baada ya kushindwa uovu waliokusuduia dhidi ya Tanzania, unadhani vijana hao watapelekwa nchi gani kama wakimbizi, eti wa kisiasa?

Vijana wetu wa kiume hawawezi kuolewa kweli huko watakakopelekwa bila kupenda, maana hawatakua na uwezo wala namna ya kujinasua kwenye mtego huo wa fedheha?

Mungu Ibariki Tanzania
Haya unayoyasema hata makaburu walisema hivyo pale WA kina Jacob Zuma walipopewa hifadhi na Tanzania kule Mazimbo, Morogoro.
Ukombozi ni lazima watu kutawanyika duniani kote, ili wengine wakikamatwa wengine wanaendeleza mapambano.
Hivi tunavyoongea wengine wapo gerezani, wengine wapo safe house, wengine kaburini, wengine wamefirisiwa na wengine nje ya nchi. Ukombozi upon karibu!
 
Uwanja wa Ndege
Julius Nyerere Intl Airport
Dar es Salaam

CHADEMA YAPATA BALOZI

Ni dhahiri hatua ya serikali ya Dr. Samia Hassan kuwatimua waangalizi huru wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imepata coverage kubwa katika lugha ya English duniani kote tofauti na siku za nyuma ambapo dunia ilishindwa kuelewa hali ya kisiasa Tanzania kwa kuwa dola ilikuwa inajificha katika kichaka cha kutumia 'kiLugha' yaana Kiswahili kuficha maovu yake

View: https://m.youtube.com/watch?v=5HU2fES7Es0

Kupitia ki-English habari zimesambaa kona zote za dunia, kuhusu kesi na mazingira ya mashtaka dhidi ya Tundu Lissu pamoja na mfumo wa haki jinai unavyotumia dola kwa njia haramu kuzui mgombea wa urais kupitia chama kikuu kikubwa CHADEMA na kuwa chama cha CHADEMA nacho kimepigwa rungu la kutoruhusiwa kushiriki uchaguzi hadi 2030

Bahati hii imekuja wakati muafaka na mheshimiwa Martha Karua atakuwa msemaji asiye rasmi wa CHADEMA katika diaspora kuendelea kuipatia dunia muendelezo wa kinachijiri kesho Kisutu tarehe 19 May 2025 pamoja na hali ya kisiasa kuelekea Oktoba 2025

Senior counsel msomi Martha Karua kutokea jijini Nairobi atakuwa ni balozi wa CHADEMA kuendeleza struggle ya No Reforms No Election.

KAMA JULIUS NYERERE ALIVYOKUWA BALOZI WA VYAMA VYA UKOMBOZI, MARTHA KARUA NAYE AMEKUWA BALOZI WA CHADEMA:
Tukisoma historia na kumbukumbu za intaneti tunaona Tanzania wakati wa vuguvugu la ukombozi kusini mwa Afrika, Mwl. Nyerere, brigedia Hashim Mbita, balozi Salim Ahmed Salim n.k kwa kutaja kwa uchache walikuwa mabalozi wa vyama vya ANC, ZANU , SWAPO n.k kutetea wapigania uhuru kama Nelson Mandela, Robert Mugabe na wengine waliokuwa jela chini ya tawala za wachache Zimbabwe na zile za ubaguzi South Africa.

TOKA MAKTABA :
UBALOZI WA NYERERE KUTETEA ZIMBABWE CHINI YA UTAWALA WA WACHACHE

2015 23 Julai

View: https://m.youtube.com/watch?v=pBdbxEUF_ag
(21 Nov 1975) President Nyerere of Tanzania, flanked by Benjamin Mkapa and other Tanzanian officials is questioned at a press conference, whether an armed struggle could be avoided, in Rhodesia (Zimbabwe) ...

SALIM AHMED SALIM ALIVYOJITWISHA UBALOZI KUTETEA WAPIGANIA UHURU WA ZIMBABWE

View: https://m.youtube.com/watch?v=jhGng6DG5Nw
2015 24 Julai
(11 February 1980) Tanzanian Minister of Foreign Affairs, Salim Ahmed Salim, holds a press conference on the delevlopments in Zimbabwe Rhodesia.

Pia soma > Pre GE2025 - Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar
 
CHADEMA hawana bunduki kama polisi wa CCM, lakini hii ni tabia yenu kusema uongo kila siku na watanzania walivyo mazwazwa can't see this
kwan ni sisi tuliwaumbua? si wenyewe walitajana
 
Back
Top Bottom