Ni kwa gharama za nani chama cha siasa cha Tanzania kufanyia shughuli zake Nairobi?

Mbona ccm wakitumia STK uwa husemi?

Chadema kimekufa, hakina mwakilishi, Mwenyekiti yuko jela, hawana ruzuku Yan they lost everything

Ila bado wakuu mnapambana sijui mnataka nini kitokee

Haha hubu tulia kwanza kwa sasa tuko busy kuyajenga na mabeberu ambao wanatuonea wivu wa mali zetu

Si unajua wao ndio wanaleta vita ya kiuchumi?

Na wao ndio wafadhili wa maandamano?

Haha tuko busy tunayanga
 
mbona ni kiungo cha ubishi gentleman,

Kumbe wale vijana ni wa Chadema gentleman?
hicho chama mbona kinajulikana ni dhohofulihali kiuchumi, ni nani wanawagharamia wale viajana pale Nairobi wanaofanya kazi ya kutengeneza porojo dhidi ya taifa lao?

kwani chama hicho kimeamua kuwafanya vijana wake kua mamluki na kuwapa fursa ya kwenda kujifunza mambo ya kigaidi?

kwa kazi hiyo, chadema inalipwa kiasi gani sasa?
 
mlileta mawazo mbadala ama mlichoma nchi
 
Hapa kuna shida kubwa sana Gentleman,

Lazima kuna wafadhili nyuma yake wana ajenda yao ya siri,wazungu au mabeberu hawafanyi jambo bure bure bila kuwa na motive nyuma yake
 
Wewe unagharamiwa na nani??
 
Kama serikali inapata msaada why chama kisipate?

Kama ccm wanaweza kutumia mpaka magari ya serikali kwenye kampeni zao why chadema wasitumie another oltenative?

Kila mtu ashinde gem zake haha

Acha makelele gentleman
 
kwahiyo vijana mamluki wa chadema wanapatiwa msaada wa mafunzo ya kigaidi nchi jirana right?
 
Hayo ni matokeo ya kuharibu demokrasia hapa nchini. Mfano halisi wa hilo ni makaburu wa afrika kusini walivyokuwa wanawafanyia weusi wa afrika kusini, hasa wanachama wa ANC. Wale wengi walikimbia nchu yao na baadhi walipata uhifadhi hapa nchini, nenda hapo Mazimbu Morogoro ukajifunze historia hiyo. Na sisi watanzania tuliwaona hao weusi ni ndugu zetu, badala ya kuwataka warudi nchini kwao wakawatii makaburu.

Mmefungia chama kufanya shughuli zake hapa nchini, mnategemea watu watakaa kama mazombie wakipelekeshwa.
 
haipo demokrasia duniani ya kuharibu miundombinu wala ya kuchukua vijana wa chama cha siasa na kuwafanya mamluki na kisha kuwapeleka kwenye mafunzo ya ugaidi nchi jirani ili hatimae waje kuharibu nchi yao kwa ugaidi Hiyo ni demokrasia nonsense kabisa gentleman na haitaruhusiwa Tanzania

ANC haikuwahi kuwafunza wanachama wake kua magaidi mamluki, acha porojo
 
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Weusi wa Afrika kusini walikimbia nchi yao ili iweje? ANC ilifutwa wakati fulani huko Afrika kusini kwanini? Ukweli huwa haukimbiwi.
 
Hata hao pia wanagharamiwa na waTanzania wazalendo ambao walikuwa tayari kufa Oct29.
Gentleman,
Amani ya Tanzania italindwa kwa nguvu na kwa gharama yoyote ile.
hakuna gaidi ataachwa atembe kuvuruga amani au kuharibu miundombinu ya umma au binafsi hata kwa sekunde moja tu.

usithubutu kujihusisha na magaidi
 
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Weusi wa Afrika kusini walikimbia nchi yao ili iweje? ANC ilifutwa wakati fulani huko Afrika kusini kwanini? Ukweli huwa haukimbiwi.
hakuna kitakachofutwa TZ,
Ila mamluki na magaidi hawataachwa watambe kuvuruga amani au kuharibu miundombinu hata kwa sekunde moja tu.

usithubutu kua sehemu ya magaidi gentleman
 
kwahiyo vijana mamluki wa chadema wanapatiwa msaada wa mafunzo ya kigaidi nchi jirana right?

Mambo ya kidiplomasia unatakiwa kuongea kwa ushahidi

Turudi hapa kwetu tz ambako with no evidence mtu anafungwa maisha
 
Mambo ya kidiplomasia unatakiwa kuongea kwa ushahidi

Turudi hapa kwetu tz ambako with no evidence mtu anafungwa maisha
ugaidi ni diplomasia sio gentleman?
 
Umeitaja inchi nyingine, ungesema wanafundishwa ugaidi kigamboni ningekujibu
nadhani ni vizuri ukajikita kwenye hoja ya msingi mezani kuliko kujaribu kuhamisha mjadala,

andika uzi mahususi kuhusu hilo kwa faida ya wadau,
but kwasasa jikite kwenye hoja mezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…