Sasa mbona mliwafungulia kesi ya uhaini na siyo ugaidi?Gentleman,
Amani ya Tanzania italindwa kwa nguvu na kwa gharama yoyote ile.
hakuna gaidi ataachwa atembe kuvuruga amani au kuharibu miundombinu ya umma au binafsi hata kwa sekunde moja tu.
usithubutu kujihusisha na magaidi
nadhani ni vizuri ukajikita kwenye hoja ya msingi mezani kuliko kujaribu kuhamisha mjadala,
andika uzi mahususi kuhusu hilo kwa faida ya wadau,
but kwasasa jikite kwenye hoja mezani
Nadhani ni kwa gharama za wadau wa maendeleo wa chama hicho,Na,
nini hasa lengo la kuwarubuni kifikra na kuwatumia baadhi ya vijana wa chama hicho cha siasa hasa wale wasiojitambua mpaka wakukubali kua mercenaries na kujifunza masuala ya kigaidi na uchochezi dhidi ya nchi yao wenyewe?
Je,
chama hicho bado kinastahili kutambulika kama chama cha siasa?,
Na je, Lengo la kuichafua Tanzania kwa porojo na kuvuruga amani na utulivu wa waTanznia kigaidi, ni kwa faida ya nani?
Ni nani hasa anaewalipia hoteli, anaewalipa posho, anaewalisha chakula na kuwavisha nguo na vitu vya thamani vijana wa chama hicho waliokosa uzalendo kwa nchi yao pale Nairobi nchini Kenya?
Na huyo mfadhilia wao,
ametoa wapi fedha ya kuwatunza vijana hao hotelini?
Baada ya kushindwa uovu waliokusuduia dhidi ya Tanzania, unadhani vijana hao watapelekwa nchi gani kama wakimbizi, eti wa kisiasa?
Vijana wetu wa kiume hawawezi kuolewa kweli huko watakakopelekwa bila kupenda, maana hawatakua na uwezo wala namna ya kujinasua kwenye mtego huo wa fedheha?
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Umetaja inchi nyingine na hilo ni jambo la diplomasia na huna any evidence ni maneno tu
Lete fact ABCD
And not hear says
Gentleman,
yaani vijana waziwazi kabisa wamechukuliwa mamluki wanalipiwa hoteli, wanalishwa, wanavishwa na kupatiwa mafunzo ya ugaidi ili hatimae waje kuvuruga amani ya taifa lao huku wewe uandai ushahidi?
utakusaidia nini sasa kwa mfano huo ushahidi?
Tanzania haitasita kuchukua hatua kali sana katika kudhibiti na kusamabaratisha mipango au vitendo vya kigaidi katika kona yoyote nchini
Gentleman,
yaani vijana waziwazi kabisa wamechukuliwa mamluki wanalipiwa hoteli, wanalishwa, wanavishwa na kupatiwa mafunzo ya ugaidi ili hatimae waje kuvuruga amani ya taifa lao huku wewe uandai ushahidi?
utakusaidia nini sasa kwa mfano huo ushahidi?
Tanzania haitasita kuchukua hatua kali sana katika kudhibiti na kusamabaratisha mipango au vitendo vya kigaidi katika kona yoyote nchini
maisha magumu ni kwasababu ya uvivu wako tu gentleman,Kungekuwa na hiyo chance I'm telling you nyie vijana wa ccm msingekuwepo hapa jf now,
Miji yote ingekuwa meupe,
Kwa jinsi maisha yalivyo magumu I'm telling you vijana na wazee wangekuwa huko long time, ili wapate hayo mafunzo na wapate ela za kutunza familia zao
maisha magumu ni kwasababu ya uvivu wako tu gentleman,
porojo za kusadikika ukawasimulie wajukuu
maisha magumu ni kwasababu ya uvivu wako tu gentleman,
porojo za kusadikika ukawasimulie wajukuu
there is no rookama usemavyo Msimamo wa Tanzania ni kutokuvumilia kabisa vitendo vyovyote vya kiharifu na kigaidi.
Kama usemavyo, kwamba msimamo wa Tanzania ni kutokuvumilia vitendo vyovyote vya kiharifu na kigaidi.there is no rooms for criminals and completely there is escape roots for terrorists in Tanzania.
Tanzania has zero tolerance on terrorism allegations
gentleman,Kama usemavyo, kwamba msimamo wa Tanzania ni kutokuvumilia vitendo vyovyote vya kiharifu na kigaidi.
Kwanini mliwaachia huru watuhumiwa wote wa uhaini au ugaidi kama usemavyo??! Nilitegemea kwa msimamo huo mngewakamata na sheria ikachukua mkondo wake na siyo kuwaua au walikkamatwa kuachiwa huru bila mashart,Hamna huo msimamo sababu mnabambikia watu makosa bila ushahidi.Alishapewa mbowe kesi ya ugaidi na sasa Uhaini kwa Lisu na hamuwezi kuwakuta na Hatia yoyote.
Kuna gaidi hata mmoja mmemtia hatiani??gentleman,
hakuna gaidi atatamba hata kwa sekunde moja tu kuharibu rasilimali za waTanzania
okey sawa gentleman,Yes watoto wa wakubwa sio wavivu ndio maana wana Maplot ya mabilion masaki, wana magari ya mabilion because they working hard
Mimi na ww tuko jf hapa tunapiga uvivu haha
Wao sio wavivu na wamesoma sana ndio maana wanapeana nafasi na vyeo
Mimi na wewe acha tuendelee kusaga vidole kwenye keyboard 😄
Ok, kama suruhisho ni hilo la kumpa mbwa jina baya ili upate uhalali wa kumuua! Uzuri ubaridi unaouzungumzia,wewe pia ni lazima utaupata ni swala la mda tu.magaidi wote kote duniani zawadi yao ni ubaridi gentleman
CCM kwenye makambi yenu mnawafundisha kutumia silaha vijana wenu wanakwenda kupigana na nani kama sio kwenda kuwaua raia wasio na hatia? CCM is a terrorist organisation!Gentleman,
hebu relax kidogo na uwaeleze wadau wa JF kwa ufupi tu kuhusu hili,
hivi wale vijana wa kiTanzania wa kile chama cha siasa cha waropokaji, wanaolelewa pale Nairobi na kufanywa mamluki na wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza porojo wanalelewa na kugharamiwa na nani?