Ni kwa kiasi gani Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kutokomeza umasikini na kuinua hali bora za maisha ya Watanzani?

acha dharau gentleman,

wavivu ni kweli wapo Lakini wachache sana, hata huko kwa wazungu wamejazana pia kwa kiasi chao na wengine wamo humu nchini...

kazi ni kipimo cha utu, uoga wako katika kazi umaskini wako..

ni muhimu kutokukata tamaa, Dr Samia suluhu Hassan amefungua nchi, fursa zimetapakaa kila mahali, ni uamuzi na uthubutu wako tu wa kuchagua cha kufanya iwe ni biashara, kilimo ufugaji, usafirishaji n.k kutoboa maisha ni uhakika, na ndio maana kiwango cha umasikini kinatokomea kila uchwao, maisha ya waTanzania yanaimarika, kipato cha waTanzania kinaongezeka 🐒
Siasa uchwara za uchawa na kusifia hadi upumbavu ndio zimetawala Tanzania.

Wewe pamoja na ndugu yako Mwashambwa ni uthibitisho tosha.
 
waerevu na wenye akili mmezubaa tu kama mazuzu right?🤣

kwa mihemko mnalalalamika, kutukana na kuporomosha matusi tu 🤣

sasa ndio waerevu na wasomi gani nyie? mnachekesha sana aise, ati siasa uchwara! mbona hufanyi siasa uchwere sasa wew 🤣
 
Hujalamba teuzi tu 😄

ova
hivi mrangi ,
ukiniangalia kwa makini, kwa ile bidii niko nayo, maarifa ambayo niko nayo, uadilifu na spirit of working...

kweli mimi ni mtu wa kuvizia teuzi au kubadilishwa wizara, idara, taasisi, mamlaka au kitengo kweli?🤣

mimi ni mtu ambae ana maono ya mbali sana, na mimi ni mtu wa kupanga watu huko wanapofanya kazi, na mimi mwenyewe ni mtu wa kazi mbaya sana,

sasa ivi niko ndani ya serikali makini ya CCM na ile serikali ingine tutaunda 2025 nitakua ndrani ndrani kabisa ya serikali,

kwan kuna kuna makosa hapo ndrugo zangu?🐒
 
Wacha weee

Hongera

Ova
 
Wacha weee

Hongera

Ova
kwahiyo hapana kubabaika na mimi kuhusu teuzi na tenguzi, hiyo ni kwajili tu ya kuimarisha ufanisi wa utendaji wa serikali katika kusukuma maendeleo kwa wanainchi, na ni jambo la kawaida kwa watumishi wa umma kisiasa na kisheria 🐒
 
Wachaa we

Ova
 
Wachaa we

Ova
ndio ukweli wenyewe huo,
sistahili kabisa,

na ile kazi kubwa ya kutokomeza umaskini, ambae Rais Dr.Samia Suluhu Hassan anadhamira ifanyike vizuri ndio hasa inafaa bidii na jitihada za viongozi na wananchi ielekezwe huko,

ndipo sasa nchi yetu itatokomeza umaskini, ujinga na maradhi jumla jumla, na hapo tutakua tumejikomboa sote kama taifa,

na ile mihemko, ghadhabu na matusi ya wangwana wachache itakwisha kabisa na inchi yetu itasonga mbele kwa umoja, salama na amani , hivi vitu havihitaji hasira kabisa aise 🐒
 
Duh hiyo elimu inabidi uwape wale mwanangu 😄
Mimi hapa nna full exposure
Niko mbele ya muda 😄

Ova
 
ndio ukweli wenyewe huo,
sistahili kabisa,

na ile kazi kubwa ya kutokomeza umaskini, ambae Rais Dr.Samia Suluhu Hassan anadhamira ifanyike vizuri ndio hasa inafaa bidii na jitihada za viongozi na wananchi ielekezwe huko,

ndipo sasa nchi yetu itatokomeza umaskini, ujinga na maradhi jumla jumla, na hapo tutakua tumejikomboa sote kama taifa,

na ile mihemko, ghadhabu na matusi ya wangwana wachache itakwisha kabisa na inchi yetu itasonga mbele kwa umoja, salama na amani , hivi vitu havihitaji hasira kabisa aise 🐒
Sema jimbo ukatalo tia nia usosahau kunitonya

Ova
 
Back
Top Bottom