Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Siasa uchwara za uchawa na kusifia hadi upumbavu ndio zimetawala Tanzania.acha dharau gentleman,
wavivu ni kweli wapo Lakini wachache sana, hata huko kwa wazungu wamejazana pia kwa kiasi chao na wengine wamo humu nchini...
kazi ni kipimo cha utu, uoga wako katika kazi umaskini wako..
ni muhimu kutokukata tamaa, Dr Samia suluhu Hassan amefungua nchi, fursa zimetapakaa kila mahali, ni uamuzi na uthubutu wako tu wa kuchagua cha kufanya iwe ni biashara, kilimo ufugaji, usafirishaji n.k kutoboa maisha ni uhakika, na ndio maana kiwango cha umasikini kinatokomea kila uchwao, maisha ya waTanzania yanaimarika, kipato cha waTanzania kinaongezeka 🐒
Wewe pamoja na ndugu yako Mwashambwa ni uthibitisho tosha.