Ni kwa namna gani Julius Nyerere aliwazidi "Ujanja" wazee wa Kariakoo waliompokea kwenye siasa za Dar es Salaam?

Bado una mashaka na uamzi wangu?
Kalamu,
Sina mashaka.
Najua unapata shida kufanya hivyo.

Unadhani una uwezo wa kushindana na mimi na wewe ukapata ushindi.

Wengi hapa JF huwa hawatambui urefu wa kina cha maji wanayojaribu kuvuka hadi baadae sana.
 
Kalamu,
Sina mashaka.
Najua unapata shida kufanya hivyo

Unadhani una uwezo wa kushndana na mimi na wewe ukapata ushindi.

Wengi hapa JF huwa hawatambui urefu wa kina cha maji wanayojaribu kuvuka hadi baadae sana.
Utajua kama nani?
 
Kalamu,
Sina mashaka.
Najua unapata shida kufanya hivyo.

Unadhani una uwezo wa kushndana na mimi na wewe ukapata ushindi.

Wengi hapa JF huwa hawatambui urefu wa kina cha maji wanayojaribu kuvuka hadi baadae sana.
Hunijui.
Wewe umejitangaza kama 'con artist mashuhuri.

Kwa hizi takataka unazoweka humu huwezi ukajilinganisha na mimi, huo ndio ukweli wenyewe.
Huna kina chochote.
 
Utajua kama nani?
Kalamu,
Jibu lako lipo katika picha hiyo.

1679278293156.jpeg

Maxence Melo
JF

Hunijui.
Wewe umejitangaza kama 'con artist mashuhuri.

Kwa hizi takataka unazoweka humu huwezi ukajilinganisha na mimi, huo ndio ukweli wenyewe.
Huna kina chochote.
Kalamu,
Nakujua kwa yale ambayo umeandika hapa mfano wa kusema sikualikwa Northwestern University na chuo bali Wapakistani na ulikuwako Chicago ukaniona na hao Wapakistani.

Huu ni uongo.
Kuweka mizani sawa nikakujibu kwa ushahidi wa wenyeji wangu walionialika.

Nikakueleza kuwa Wapakistani niliwakuta John Hopkins University,Washington DC.

Hukuwa na la kusema tukaendelea kama kawaida yetu jinsi hapa tulivyo.

Kupitia kwako nachukua fursa ya kusomesha historia ya TANU kwa maneno na picha.

Watu wangeionaje picha Bi. Chiku bint Said Kisusa anamsindikiza Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Uwanja wa Ndege Dar es Salaam safari ya kwanza UNO Februari 1955?

Watu wengeona wapi picha ya mkutano wa TANU Mnazi Mmoja 1954?

Ningekujua kama ungefunua sura yako ukaonekana na dunia nzima kama mimi.

Hili linataka ujasiri.

BULAWAYO.jpg

Bulawayo, Zimbabwe
 
Unahangaika sana. Mara unajigamba kunizidi. Of course unanizidi kwa utapeli, hilo halina ubishi juu yake.

Hunijui, hunijui; huo ndio ukweli wenyewe, na utahangaika sana kutaka kunijua.

Elewa tu, sipo karibu na haya ya utapeli tapeli na ubabaishaji kama unayoendesha wewe.
 
Sijajigamba kukuzidi.
Weka ushahidi.

Wala sihangaiki kukujua.
Weka ushahidi.

Nasikitika kuwa unataka kuniingiza katika ugomvi na mabishano na wewe.

1679319392887.jpeg

Hamu yangu udogoni ilikuwa siku moja nitavaa jezi ya Sunderland kisha timu ya taifa. Sikufanikiwa kwa kuwa kipaji kilikuwa kidogo. Nikaishia mchangani kama hivi sikufika hata kucheza Ilala Stadium.
 
Kalamu,
Sijajigamba kukuzidi.
Weka ushahidi.

Wala sihangaiki kukujua.
Weka ushahidi.

Nasikitika kuwa unataka kuniingiza katika ugomvi na mabishano na wewe.
Duh!
Mara hii hapa ushasahau iliyoandika chini ya masaa 12 yaliyopita na unataka ushahidi juu yake?

Uzee tayari umechukua nafasi yake kwenye kumbukumbu zako?
 
Kweli mimi ni mzee wala hili siwezi kulikataa.

Njia nyepesi ya kunikumbusha ni kuweka hayo maneno niliyosema hapa mimi niyasome na wanaotufatilia pia wayasome.

Sikuamini kwa kuwa ushanizulia uongo wa kuniona Chicago na Wapakistani.
Siwezi kamwe kukuamini ila kwa ushahidi.

Umenikumbusha ujana wangu nakuwekea picha unione:

1679319970019.jpeg

London 1991​
 
Kalamu,
Kweli mimi ni mzee wala hili siwezi kulikataa.

Njia nyepesi ya kunikumbusha ni kuweka hayo maneno niliyosema hapa mimi niyasome na wanaotufatilia pia wayasome.

Sikuamini kwa kuwa ushanizulia uongo wa kuniona Chicago na Wapakistani.
Siwezi kamwe kukuamini ila kwa ushahidi.
Takataka ziendelee.
 
Kalamu,
Kweli mimi ni mzee wala hili siwezi kulikataa.

Njia nyepesi ya kunikumbusha ni kuweka hayo maneno niliyosema hapa mimi niyasome na wanaotufatilia pia wayasome.

Sikuamini kwa kuwa ushanizulia uongo wa kuniona Chicago na Wapakistani.
Siwezi kamwe kukuamini ila kwa ushahidi.

Umenikumbusha ujana wangu nakuwekea picha unione:

Taka tupu!
 
Ante...
Hakufanayo.
Prof. Haroub Othman alimkabili Mwalimu na kitabu cha Abdul Sykes.

Bahati nzuri Mwalimu alikuwa kakisoma kitabu.

Prof. Haroub alikwenda kwa Mwalimu kutafuta ukweli wa yale niliyoandika.
Wakawa wanakwenda moja baada ya jingine:
  1. Kweli ipo historia ya Wasilam ambayo haijaelezwa na kwa nini imekuwa hivyo?
  2. Yeye anaingiaje kwa Sykes na yale yaliyomo katika kitabu?
  3. nk. nk.
Prof. Haroub akamweleza Mwalimu kuwa yeye binafsi yale aliyosoma katika kitabu yamemshtua sana kwani Tanzania imejikuta ina historia mpya ya Nyerere na historia mpya ya kupigania uhuru wa Tanganyia kutoka vyanzo ambavyo hakuna anaeweza kuvipinga.

Sasa tunafanyaje?
Prof. Haroub aliuliza.

Haya yanatosha.
Madai yako ni imaginable ndiyo maana Pro. Haroub alishangazwa na madai yako.
Kwa elimu na wakati alioshi P. Haroub asingelishangazwa na madai yako ikiwa Yalikuwa kwenye ukweli.
Unadanganya hadi unapitiliza na kujishitaki mwenye.
 
Back
Top Bottom