Ni kwa namna gani Julius Nyerere aliwazidi "Ujanja" wazee wa Kariakoo waliompokea kwenye siasa za Dar es Salaam?

Ni kwa namna gani Julius Nyerere aliwazidi "Ujanja" wazee wa Kariakoo waliompokea kwenye siasa za Dar es Salaam?

Moh
Mbona picha nyingi upo nje ya nchi. Ningependa kuona picha ulizopiga ukiwa mikoani au hupendezwi na mikoa ya nchi hii ?
 
EeeenHeeee!
Tena sana.
Hizi taka zote unazoweka humu sioni cha kujifunza toka kwako.
Kalamu,
Kila mtu amejaaliwa uwezo wake wa kuelewa mambo.
Kuna vijana wananiuliza imekuwaje umesafiri kwingi duniani?

Jibu langu nawaambia ni sababu ya kuwa katika ''academics.''

Ukiandika utavifikia vyuo na vyuo vitakutafuta hasa kama unakuja na kitu kipya.

Kitabu hicho hapo chini ''The Torch on Kilimanjaro,'' (2007) hakisomwi nchini kwangu Tanzania.

Kimekataliwa kupewa ithibati lakini kinasomwa Kenya, Uganda na kwengineko.

Nje ya mipaka ya nchi yangu kinatambuliwa na kina ithibati ya kusomeshwa.

Ukiongeza elimu mpya katika somo haraka sana jina lako litapanda juu na ikiwa umeandika kitabu kitasomwa dunia nzima.

Wako wengi wamejifunza mengi kutoka kwangu na wako wengi wala hawana habari na mimi na mfano ni hicho kitabu.

Hawana cha kujifunza kutoka kwangu lakini Kenya na Uganda wanacho cha kujifunza kutoka kitabu hicho.

Haya ni mambo ya kawaida.

Wakiwa na mikutano wananialika na napangwa kuzungumza.

Kitabu kinakwenda In Shaa Allah toleo la tatu.

1679347766784.png
 
EeenHeee!

Usikimbie sifa yako. Umekwishajipambanua nayo, kaa nayo hivyo hivyo.
Kalamu,
Hapana siwezi kukimbia.
Tupo sote hapa.

Hata kama nikitaka kujificha Dar es Salaam najulikana sana ndiyo kwetu nitakimbilia wapi?

Usiwe na wasiwasi.
Wewe mtu muhimu sana.

Kwa kuweka picha hapa nimefungua somo na wanafunzi wangu, ''This is My Life.''

Kila mtu nimemuomba aweke picha zake na caption kueleza maisha yake.

Huwezi kuamini jinsi maisha yetu hata na watu wa mbali sana yanavyofanana.

Unanisaidia sana ndugu yangu.

G0oEpj3szQ4m60Fyov1kempdcvaotwe3TBUdufteg1C9JqsSy3FekpC7giFBhi935cRPq18fylTedpuftOqfYu2WNpIqIBeg13orNrV5-mdBfzbo9354cuOve8XYxc8n4B8F2onL5mwH-DreLT3FVGSIVNSApPa8tn_db_HKtjumhlkO907j9DhD5KXsW4eB9XlDwHo7bvMBPuvl-7UNfjMRpYgXDJf9wVB4WdA8u36zWe5OKYU231hOFhUtOzdvkVdLGnoWdzs-LE6bJYA4p3j9vV7SDie2AcKbq6TXmUIX46zBNuH8gff_canNK5BMq3EFqtZq5pbG4reic9TXrdvZmLmMKEXAaC_WMed8brbBJD27AsDlVdjgOphwjnfAuzLdFUEEBcC8BQExB7gH2cEhU8YBdSL9o60ffsGCK_RIijCEGIf6dy5FuGOtHS-au9nd5XsDmkJPyRLtbSsGeN3embpQumo7q3KOxzd7A28PPvyUuwM3HI31eo2Zrc2mxLahVkink3ojyOHSYrxci1QYjfK1BKJ_Pvqc8VLIVUGB7a_k0QW02mthFCZkrsVrXNB0PptDCU1XZ7D_eWBrPaeDAPqmeYm16oNOzu9lQE_XhHQzb5ek6ZzgqOXxYk_yynj0HtulJUfof7ltb6t7mYdKVyl5duxYMNF2iU8_Mu7auvXHhxs4W8hfHBeI3rsWB-D4fIxg6JAtzdX5S5-W5ySkYMocsFf3U_PlRYcy8UWQZW02cqDiqXe7PwzVBVSBG65gog0G9WDzGJXVEXP20ZrdZEu5z4rEjcf7G_uZQXlT84DdHnheJDFlOgbI7Rhi-UacXQUewQlvUOPvtn3Jaxq3CIg0us7tdegyLQSDKwZc2zXalTHFJzaEBoplTMNaG2ZVWKgjyKUDmgi5pJItDx87MDoxW1_t4V0YC911LTKzPSu1vK6IRjQzcaFP5aZ-PqDpaDCWuSZ7rAMB_bs=w884-h650-s-no

Maputo 1990

Kalamu,
Hapana siwezi kukimbia.
Tupo sote hapa.

Hata kama nikitaka kujificha Dar es Salaam najulikana sana ndiyo kwetu
nitakimbilia wapi?

Mzee wa Taka.
 
Mzee wa Taka.
Kalamu,
Miaka 10 Iliyopita...
JAMII FORUMS NA MAKALA ZA MOHAMED SAID: UKIPENDA KUSOMA HISTORIA YA TANGANYIKA/TANZANIA ''HISTORIA YA UHURU ISIMULIWAVYO NA MOHAMMED SAID YAKOSOLEWA'' Mjadala huo hapo juu katika Jamii Forums ulivunja rekodi kwa kuwa ulidumu kwa miezi sita mfulululizo na ulichangiwa na watu zaidi ya 900,000...

Hapana shida tupo sote.

Lakini nina hakika wewe huwezi kuvunja rekodi hiyo hapo juu.
Ndipo wengi wakanifahamu na wengi nikawasomesha historia ya kweli ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Mwishowe ukafungwa.

Lakini mimi nilikuwa bado nina uwezo wa kukabiliana na maswali na kuyajibu bila kutukana ingawa mimi nilitukanwa sana.

Huwa situkani mtu wala sikejeli mtu.

Ninapokusoma leo ukinitukana matusi naelewa ni kiasi gani unaumizwa na kila unachokiona kutoka kwangu.

Hukutegemea haya.

Tuko pamoja tusonge mbele na wewe endelea kutukana na kuzomea kila unapoandika.

Nami sitarejesha matusi.
 
Kile kiti kikubwa sana,Msione mbowe anafurahia majadiliano,hata kikwete aliwahi sema nikitumia nguvu zangu.
 
Kalamu,
Miaka 10 Iliyopita...
JAMII FORUMS NA MAKALA ZA MOHAMED SAID: UKIPENDA KUSOMA HISTORIA YA TANGANYIKA/TANZANIA ''HISTORIA YA UHURU ISIMULIWAVYO NA MOHAMMED SAID YAKOSOLEWA'' Mjadala huo hapo juu katika Jamii Forums ulivunja rekodi kwa kuwa ulidumu kwa miezi sita mfulululizo na ulichangiwa na watu zaidi ya 900,000...

Hapana shida tupo sote.

Lakini nina hakika wewe huwezi kuvunja rekodi hiyo hapo juu.
Ndipo wengi wakanifahamu na wengi nikawasomesha historia ya kweli ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Mwishowe ukafungwa.

Lakini mimi nilikuwa bado nina uwezo wa kukabiliana na maswali na kuyajibu bila kutukana ingawa mimi nilitukanwa sana.

Huwa situkani mtu wala sikejeli mtu.

Ninapokusoma leo ukinitukana matusi naelewa ni kiasi gani unaumizwa na kila unachokiona kutoka kwangu.

Hukutegemea haya.

Tuko pamoja tusonge mbele na wewe endelea kutukana na kuzomea kila unapoandika.

Nami sitarejesha matusi.
Takataka.
Wee huoni takataka zilivyojaa humu. Kwani zako zina tofauti gani na zile nyingine.
 
Usisahau kipaji chako cha u'con'!
Kalumu,
Kipaji changu alichonijaalia Allah ni huu ubongo wangu.

Waalimu walionisomesha historia Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam na kwengineko hawajaalikwa kuzungumza Northwestern University.

Hata wewe akili yako ilikataa kuamini.

Ukasema walionialika ni Wapakistani wasio na uhusiano wowote na chuo hicho.

Nikakuwekea ushahidi kuwq aliyenialika ni Jonathon Glassman Head of Department of African History.
 
Back
Top Bottom