Ni kwa namna gani Julius Nyerere aliwazidi "Ujanja" wazee wa Kariakoo waliompokea kwenye siasa za Dar es Salaam?

Kalamu,
Niko na wewe hapa JF pamoja wa wengine wengi.
Sasa wamefikia 7K and counting...
Nipo hapa kwa sababu yako. Usisahau hilo.
As long as you keep clicking 'reply' against my posts, I will stay with you. That's a promise.
 
Nipo hapa kwa sababu yako. Usisahau hilo.
As long as you keep clicking 'reply' against my posts, I will stay with you. That's a promise.
Kalamu,
Hakuna tatizo mimi nataka ubakie na mimi.

Watu wengi wanatufatilia.
Nia yangu tugonge 10K.
 
Sawa. Nitavumilia hivyo hivyo hizi takataka zako hadi hapo tutakapofikia.
Kalamu,
Nilisimama kwa miezi 6 hapa JF miaka 10 iliyopita na faida kubwa niliyopata ni kuwa nilisomesha historia ya wazee wangu waliopigania uhuru wa Tanganyika lakini wakafutwa.

Kwanza walidhani ni maskhara.

Kila siku zilivyozidi kusogea maswali yakawa yanabadilika wanauliza mbona historia hii hatukufundishwa?

Hapo nimewaeleza card no 1 ya TANU ni ya Territorial President JK Nyerere, No. 2 Ally Sykes, No. 3 Abdul Sykes, No. 4 Dossa Aziz ....

Kisha nasherehesha siku za mwanzo za usajili wa TANU watu watatu walihusika, Nyerere na Sykes Brothers Abdul na Ally na mikasa waliyokutananayo hadi kumtuma Said Chamwenyewe Rufiji kutafuta wanachama.

Butwaa lilikuwa kubwa sana.


Istanbul
Turkey​
 
Hakuna shida kuziona takata nyingine.
 
Hakuna shida kuziona takata nyingine.
Kalamu,
Kuna jamaa hapa sasa wameniomba niweke hapa ''serialisation'' ya kitabu changu chote cha Abdul Sykes kwa Kiswahili hapa.

Kuweka kitabu kizima hapa kidogo kidogo itachukua miaka.
Hivi ndivyo watu wanavyopenda elimu mpya kila siku.

Kuwaonjesha tu hiyo ya kadi wanataka kitabu kizima.
Darsa hii itafurika wanafunzi.
 
Takataka sisomi, najibu tu lolote linalofaa kufuatana na takazilizobandikwa.
 
Takataka sisomi, najibu tu lolote linalofaa kufuatana na takazilizobandikwa.
Kalamu,
Sikukusudii wewe usome.
Hii ni kwa ajili ya watu wanaofatilia mjadala huu ambao umekuwa wa upande mmoja.

Wewe maneno yako yanafamika.

Kisichofahamika na ndicho kitakachowavutia wasomaji kuja hapa ni kile nitakachoweka.

Hawa wasomaji wanasema niwarudishe hadi miaka ya 1950 kwa simulizi na kwa picha za nyakati hizo.

Nashindwa kuwakatalia.

Nimewaambia wapeane taarifa nipate wasomaji 100 katika saa 24 hadi kesho Maghrib In Shaa Allah tutaanza darsa.

Nia ni kufikia 10K In Shaa Allah.
 
leo ushaweka taka ngapi hapa? Najua unahesabu kufikia lengo lako.

Kuna u'con' zaidi ya huu?
 
Huko juu umezitaja, hapa "hujahesabu'!
'Con-artist' wa kushangaza sana!
Kalamu,
Naandika wakati wote si kama natania...
Nafanya rejea makala za nyuma wakati wote nachukua kitu mfano huo hapo chini:

FIKRA YA KUUNDA TANU
Kipi kilichopitika hadi historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika ikaandikwa bila ya kuwataja wazalendo waliokwenda mbio Tanganyika ipate chama cha siasa idai uhuru wake?

Angalia picha hizo hapo chini:

Chief David Kidaha Makwaia, Hamza Kibwana Mwapachu, Abdulwahid Kleist Sykes na Julius Kambarage Nyerere.

Ukijua historia za wazalendo hao utaijua historia ya TANU kwa ukamilifu wake.
Nje ya historia za hawa huna historia ya kweli ya TANU.

Wazalendo hawa baadhi yao machifu wakubwa Aisha "Daisy" Sykes ameeleza amewaona akiwa bint mdogo wakija nyumbani kwa baba yake.
Itaendelea...

 
Takataka sisomi.
 
Takataka sisomi.
Kalamu,
Hapana usisome hapa nina wasomaji 7K.
Nakushukuru kwa kunipatia hii fursa.

Bila wewe hili singewezekana.

Na hili limezua project nyingine, ''The Story of My Life in Pictures'' na sasa hii ya historia ya TANU simulizi na picha za nyakati zile.

Huwezi kuamini kuna publisher tena wa hapa nyumbani ananiombia kuna uwezekano wa wao kufanya kitabu cha historia shule ya msingi.

Ananiuliza kuhusu haki miliki ya picha.
Mimi sikutoi shukurani.

Unanifanyia hisani kubwa.
 
Hii ni akili ya kihalifu, kuwajazia JF takataka zile zile ulizokwishajaza humu na sasa kuzirudia tena mara kadhaa. Lakini hilo wataamua wenyewe kama wanaona kuwa ni sawa.
 
Safi mzee wetu uko vzr ,ila uislamu inakusumbua sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni akili ya kihalifu, kuwajazia JF takataka zile zile ulizokwishajaza humu na sasa kuzirudia tena mara kadhaa. Lakini hilo wataamua wenyewe kama wanaona kuwa ni sawa.
Kalamu,
Haya ndiyo mambo yanayonistaajabisha mimi kila siku.

Laiti kama nisingekustahamilia nisingefika hapa nilipofika leo.

Chini ya saa moja nina group zote za historia na nimeona moja ina watu zaidi ya 1000.

Darasa la wanafunzi 1000 ni darasa kubwa sana na hili ni group moja tu.

Hawa nao watarusha kwenye magroup mengine.

Waamue mara ngapi?

Hawa tayari wananisubiri mimi nianze kufundisha.

Subra ni kitu kikubwa sana.

Nakushukuru sana kwa msaada wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…