Ni kwa namna gani Julius Nyerere aliwazidi "Ujanja" wazee wa Kariakoo waliompokea kwenye siasa za Dar es Salaam?

Ni kwa namna gani Julius Nyerere aliwazidi "Ujanja" wazee wa Kariakoo waliompokea kwenye siasa za Dar es Salaam?

"Usinipuuze"! Ahaaaaa!

Haya unayoyaeleza hapa kuhusu "kujenga umoja wa kitaifa", ndilo wasilotaka kabisa kulisikia kundi hili la huyo mzee wa kidini.

Kulalamika kote kuhusu kutengwa wazee wao, kamwe hawawezi kukupaq sababu za Mwalimu kufanya hivyo, na kamwe asingefanya hivyo.
Hawawezi kukueleza hao wazee walikuwa na mwelekeo gani kidini na wenzao kutoka Mombasa. Haya kamwe hawawezi kuyaeleza.
Kundi hili ndio hawakubaliani na Bakwata, na hili ndilo chimbuko la kumlalamikia Mwalimu kuhusu dini ya kiislam.
Ingekuwa ni kufuata waliyotaka hao wazee, nchi hii wakati huu ingekuwa ni ya vurugu tupu.

Huyo mzee mudi anaumia sana moyo wake kuiona hii nchi inastawi kwa umoja na amani kwa kila raia bila kujari utikadi na imani yake,yeye alitaka nchi zima wavae kobazi,balaghashia na kanzu.

Huyu mzee ni wa kumuonea huruma mana ni fanatic na lunatic. Chuki aliyonayo itamfuata hadi kaburini.
 
Ahaaa, siwezi kukupuza mkuu katika suala la umoja wa kitaifa. Katika watu ambao sina shaka nao walipokuwa wanazungumzia umoja wa kitaifa na maslahi ya taifa hili ni Nyerere. Huyo mwamba aliyaishi maneno yake na hakuna mtu yoyote anaweza kuonyesha au kuthibitisha alitumia mambo hayo kwa maslahi yake binafsi kujinufaisha yeye au kundi fulani la watu wake.
Huyu Mzee Mohamed Said ni kama anajaribu kutuandikia historia mpya( rewrite history), haiwezi kukubalika.

Hiyo historia mpya wala sio mpya bali ni historia ya mlengo na maslahi ya walio mtuma wasio penda kuona ustawi na amani na umoja katika taifa hili.

Kumbuka huyu mzee ndio alikua moja kati ya planners na viongozi wa vurugu za mwembechai na zile vurugu za magomeni za kuvunja mabucha ya kitimoto.

Ana mengi maovu ya chuki yameujaza moyo wake,ndio walio lazimisha wanafunzi wa kiislamu kuvaa baibui nchi nzima.

Dini ya waarabu imempofusha uwezo wake wa kiakili ni mtumwa wa kifikra.
 
Unapoteza muda na kujaza tu kurasa humuJF.
Kalamu,
Nilidhani husomi "takataka" kumbe bado upo na mimi?

Toka asubuhi nilijua hutofika mbali na mimi.
Umemaliza kwa matusi.

Kichwa chenye hoja huwa hakina nafasi ya matusi.
Ukiona mtu kaghadhibika kisha matusi yanamtoka jua umemshinda.
 
Bado huelewi?

Ni kwamba sikuzisoma hizo takataka unazoendelea kujaza humu. Sina muda wa kupoteza namna hiyo.
 
Bado huelewi?

Ni kwamba sikuzisoma hizo takataka unazoendelea kujaza humu. Sina muda wa kupoteza namna hiyo.
Kalamu,
Nakuelewa vizuri.

Hutokea wakati mwingine mtego ukamnasa chui.
Mwindaji mjinga ndiye atausogelea mtego wake.

Ulidhani una uwezo wa kupambana na mimi.

1678989552923.jpeg

Columbia University, New York.​
 
Hiyo historia mpya wala sio mpya bali ni historia ya mlengo na maslahi ya walio mtuma wasio penda kuona ustawi na amani na umoja katika taifa hili.

Kumbuka huyu mzee ndio alikua moja kati ya planners na viongozi wa vurugu za mwembechai na zile vurugu za magomeni za kuvunja mabucha ya kitimoto.

Ana mengi maovu ya chuki yameujaza moyo wake,ndio walio lazimisha wanafunzi wa kiislamu kuvaa baibui nchi nzima.

Dini ya waarabu imempofusha uwezo wake wa kiakili ni mtumwa wa kifikra.
Acha kumzushia uongo mbaya huu Mzee Mohammed Said...
 
Acha kumzushia uongo mbaya huu Mzee Mohammed Said...
Proved,
Anasema kaniona Chicago na Wapakistani wao ndiyo walionileta Northwestern University.

Kuna kitu Kalamu hakuwa anakijua kuhusu mimi.

Kuanzia mwaka wa 2006 hadi 2015 nilikuwa nasafiri na pasi ambayo iliwekea alama ya ''tahadhari'' na Wamarekani.

Nilikuwa naruhusiwa kusafiri lakini ''under survailance.''
Niliomba kuingia Marekani nikiwa katika hali hii.

Mwenzangu mmoja kama mimi kwa fikra na kuandika yeye alipata bahati,
Alibadilishiwa pasi akapewa ''Diplomatic Passport'' ili iwe rahisi kumdhibiti.

Hiki ni kisa iko siku In Shaa Allah nitakieleza kwa kituo.
Nakuonjesha:

MOHAMED%2BMZUNGU%2BWA%2BUNGA%2BFRONT%2BPAGE.jpg
 
Bado unang'ang'ania tu ni hizi takataka!
Kalamu,
Kwa viwango vyovyote vya kipimo mimi siwezi kuwa takataka.

Niandikayo hayawezi kuwa takataka.

Kwani mimi nikiwa taka na vyote na wote waliopata kuhusubiana na mimi pia watakuwa taka.

Aandikae matusi, uongo na mwenye sifa za upungufu hayuko mbali na jalala.

1678995281864.jpeg

Prof. Mohamed Bakari Fath University, Istanbul​
 
View attachment 2554286
Prof. Mohamed Bakari Fath University, Istanbul​
Kama ndizo zinazokupa raha, sitahoji. Endelea kwa wakati wako.
 
Proved,
Anasema kaniona Chicago na Wapakistani wao ndiyo walionileta Northwestern University.

Kuna kitu Kalamu hakuwa anakijua kuhusu mimi.

Kuanzia mwaka wa 2006 hadi 2015 nilikuwa nasafiri na pasi ambayo iliwekea alama ya ''tahadhari'' na Wamarekani.

Nilikuwa naruhusiwa kusafiri lakini ''under survailance.''
Niliomba kuingia Marekani nikiwa katika hali hii.

Mwenzangu mmoja kama mimi kwa fikra na kuandika yeye alipata bahati,
Alibadilishiwa pasi akapewa ''Diplomatic Passport'' ili iwe rahisi kumdhibiti.

Hiki ni kisa iko siku In Shaa Allah nitakieleza kwa kituo.
Nakuonjesha:

MOHAMED%2BMZUNGU%2BWA%2BUNGA%2BFRONT%2BPAGE.jpg
Dah!..kumbe umepitia mengi sana Mzee ?...kuishi na hizo tuhuma kunahitaji uvumilivu kwa kweli.
 
Dah!..kumbe umepitia mengi sana Mzee ?...kuishi na hizo tuhuma kunahitaji uvumilivu kwa kweli.
Proved,
Mimi sikuwa najua.

Lakini kuna mambo nilikuwa nakutananayo nikiona usumbufu lakini nikijifariji kwa kulaumu mifumo yetu ya utendaji kazi.

Ilikuwa nikienda Western Union kuchukua fedha kutoka nje nilikuwa silipwi siku hiyo naambiwa nirejee siku ya pili.

Siku moja nilikuwa navuka mpaka Namanga nakwenda Nairobi.

Immigration Officer ananifahamu.

Baada ya kuiweka pasi yamgu katika computer akamwita mwenzake wakawa wanasoma screen kisha wote wakacheka.

Nikauliza kulikoni wakaniambia hakuna kitu.

Kumbe ni ile "red light."

Nilikuja kujua nina tatizo Schipol Airport, Amsterdam napanda Delta kwenda Detroit.

Nishapita Security Check zote niko katika que kupanda ndege mtu wa usalama akanitoa tukenda pembeni akaanza kunihoji.

Siku nyingine Berlin Airport natokea Cairo.

Bag langu halionekani.

Nikakata tamaa naondoka nasikia naitwa katika addressing system nifike Customs.

Bag limeonekana.

Kumbe wanalo wanalipekua kwanza.

Kisa kirefu.
Iko siku In Shaa Allah nitakieleza.

Ndiyo maana nilicheka peke yangu Kalamu aliposema alikuwa na mimi Northwestern University na kaniona na Wapakistani.

Wapakistani hawa hawana uhusiano wowote na chuo.

Uongo yeye hajui hatari yake.
 
Hiki Kiswahili anachoongea Mohamed Said,inaonekana hata wazee waliomsaidia Nyerere ndio walichoongea-kimejaa ujanja ujanja mwingi-endapo Nyerere angekaa nao bega kwa bega,hii nchi ingemshinda mapema-ilibidi kwa manufaa ya nchi apige upanga mapema
Manufaa yepi yaliyopatikana nchi hii? Ikiwa mpaka leo miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru bado tunashindwa kukidhi hata mahitaji ya bajeti ya nchi sisi wenyewe.
 
Kalamu,
Kwako si mageni haya lakini kuna wengine ndiyo hii leo kwa mara ya kwanza anasoma kuwa Abdul Sykes alikutana na Jomo Kenyata na viongozi wengine wa KAU Nairobi 1950 na anaona kwa macho yake ushahidi wa mkutano ule kutoka taarifa za kikachero za Special Branch.

Abdul hakuwa mzee 1950 alikuwa na miaka 26.
Mzee Mohamed ungekuwa na uwezo ungetaka iandikwe kwamba Sykes ndo alipambania uhuru kuliko hata Nyerere. Siku moja kubali tu kuwa Nyerere alikuwa mbali sana kifikra kuliko Sykes na wazee wengine wa Kariakoo. Hatumdharau Sykes ila ndo uwezo wake ulipokuwa umefikia kina Mwalimu Nyerere wakaanzia pale alipoishia yeye.
 
Nyerere alikuwa nationalist na Pan-Africanist, kutakuwa na namna fulani "wazee wa Kariakoo" walikuwa wanataka kutanguliza maslahi mengine mbele juu ya yale ya kitaifa. Kwa Nyerere loyalty ya kwanza ni taifa, ungekuwa tofauti naye katika hilo ungepotea tu katika historia.
Sidhani pia kama wazee wa Kariakoo walikuwa wanaelewa mambo yoyote kuhusu Pan-Africanism, walikuwa kwenye league tofauti sana na Nyerere.
Ulichoandika ni sahihi. Wazee wa Kariakoo fikra zao ziliishia Kariakoo.
 
Proved,
Mimi sikuwa najua.

Lakini kuna mambo nilikuwa nakutananayo nikiona usumbufu lakini nikijifariji kwa kulaumu mifumo yetu ya utendaji kazi.

Ilikuwa nikienda Western Union kuchukua fedha kutoka nje nilikuwa silipwi siku hiyo naambiwa nirejee siku ya pili.

Siku moja nilikuwa navuka mpaka Namanga nakwenda Nairobi.

Immigration Officer ananifahamu.

Baada ya kuiweka pasi yamgu katika computer akamwita mwenzake wakawa wanasoma screen kisha wote wakacheka.

Nikauliza kulikoni wakaniambia hakuna kitu.

Kumbe ni ile "red light."

Nilikuja kujua nina tatizo Schipol Airport, Amsterdam napanda Delta kwenda Detroit.

Nishapita Security Check zote niko katika que kupanda ndege mtu wa usalama akanitoa tukenda pembeni akaanza kunihoji.

Siku nyingine Berlin Airport natokea Cairo.

Bag langu halionekani.

Nikakata tamaa naondoka nasikia naitwa katika addressing system nifike Customs.

Bag limeonekana.

Kumbe wanalo wanalipekua kwanza.

Kisa kirefu.
Iko siku In Shaa Allah nitakieleza.

Ndiyo maana nilicheka peke yangu Kalamu aliposema alikuwa na mimi Northwestern University na kaniona na Wapakistani.

Wapakistani hawa hawana uhusiano wowote na chuo.

Uongo yeye hajui hatari yake.
Hii comment yako sasa ndo imetupa mwanga kamili kumbe suala lako la udini liko katika ngazi ya juu mno. Pole sana Mzee ila muda bado upo unaweza ukabadilika.
 
Usidhani ninao muda wa kupoteza kupitia takataka zote hizi unazoweka humu.
Hapa umedhihirisha ujinga wako, nilikuwa nakuona mtu wa maana sana na msomi humu jukwaani ila hii imenionesha upande mwengine,

Nimefuatilia mjadala mzima, mzee wa watu anakuomba umuoneshe huo uwongo wake ila huoneshi chochote badala yake unamkashifu, mzee wa watu analeta evidence na Hadi picha kuthibitisha.

Huna Tofauti na wale chawa wa ccm, so sad
 
Ulichoandika ni sahihi. Wazee wa Kariakoo fikra zao ziliishia Kariakoo.
Umepewa historia, mtu amekutana na Kenyata, ameenda Uganda hadi Kuunganisha Uganda na kenya kwenye Screenshot iliyowekwa, Bado unaona mtu ana Akili ya Kariakoo? Mtu alieweza kuanzia Chama nchi nzima na kuweka Branch mikoani na kukusanya Maelfu ya Watu kudai uhuru unahisi fikra zake ziliishia kariakoo?
 
Back
Top Bottom