Ni kwa namna gani ndoa itakuwa chachu ya mafanikio katika maisha hasa kwa vijana.

upo under 22, ndo umetoka nyumbn kuanza maisha ,, ya kuhustle , umekutana na mwanamke ,same age au umemzidi mwaka mmoja, mmeanza mahusiano, anaishi kwao , geto mnaonana day ya kusex au akija kufua,.
unae vision huna hela, anakupenda anakujali ,ila hujasettle , huna chochote unae dyudyu tyuu Na visenti vya kusogeza maishaa yako tuu, bibie anataka ndoa kila siku UTAOA?? MASWALI YAKE NI KIHUSU NDOA KILA SIKU UTAFANYA NINI KAMA NDO WEWE AU UKIKUTANA NA MTU ANATAKA USHAURI UTAMSHAURI NINI JUU YA HATMA YA MAPENZI YAKE
UTAENDELEA KUMDANGANYA??
 

Asante sana.. Hivi ndivyo vichwa vya hesabu inatakiwa kuwa.. Ndoa ni mfumo wa kizamani kwa sasa hasa kwenye huu ulimwengu wa sayansi na teknolojia.. Ndoa haina provision yeyote ile ambayo kwa sasa hauipati.. zamani watu ilibidi waoe kwa sababu kuna mahitaji hawakuweza kuapata kama hawajaoa..
-Ili kijana apewe ardhi na Ng'ombe kadhaa alitakiwa aoe.. na kijana ili apate ivo vitu ilibidi aoe..
-Sex zamani ilikuwa ngumu kupata kirahisi ila sasa mambo ni marahisi zaidi..
-Mkondo wa kimaisha wa zamani ulikuwa mrahisi mno kwa mtu kuoa na kuwa stable katika ndoa tofauti na sasa

Kwa Maana hii hakuna haja yoyote ya Msingi ya kuoa.. vyote utakavyovikuta kwenye ndoa bila kuoa unavipata.. Bahati mbaya sana waliopo kwenye ndoa wanataka kutoka.. wewe uingie ya nini?.. Hata na hivyo si lazima kila mtu aoe..

Nami nawaasa.. Ukitaka Mafanikio makubwa katika Maisha yako Achana na Ndoa.. utajiweka katika Infinite Limit!

Mtazame..

-Nikola Tesla (Magnetism), Hakuwahi kuoa.. anasema be alone, being alone this is where ideas are born!.. oa uone kama sio kutafutana na kero na wife baada ya crazy love kwisha..
-Isaac Newton(Baba wa Fizikia)- hakuwahi kuoa, tazama mambo aliyofanya katika fizikia..Extraordinary..
-Leornado Da Vi'nci (Mtaalamu wa Kuchora, Mhandisi, msanifu), Hakuwahi kuoa.. na amepata mafanikio makubwa mno katika tasnia yake..
-Yesu Kristu hakuwahi Kuoa.. na wengine wengi tu..

Simple Concept kwa kila Mmoja wetu ni hivi.. Jaribu kulinganisha Maisha yako na hatua ulizopiga wakati upo single na wakati upo engaged utagundua kwamba ulivokuwa single ulipiga hatua kubwa na ulifanya Mengi ya Msingi..


Divine Khan
 
Kahawa..
 
1.mnh unadhani kwa nini ukomo wa mwanamke kuzaa ni miaka 45,hii biological clock nani kaiweka na kwa nini?

2.nguvu ya kulea familia mbona inaeleweka ,soma nilichoandika tena,kulea ina depend na umri wenu ,na sio type ya ndoa mliyonayo.
1. Hujanionyesha kifungu ambacho mungu ameweka muda wa kuoa. (bado nakiomba na mimi nikapitie kwenye biblia.)

Alafu kwenye mada yangu ni wapi nimeongelea mwanamke kuzaa?

2. Hujaelewa, karudie kusoma nilichoandika.
 
1. Hujanionyesha kifungu ambacho mungu ameweka ukomo. Alafu kwenye mada yangu ni wapi nimeongelea mwanamke kuzaa?

2. Hujaelewa, karudie kusoma nilichoandika.

wewe uko kileague zaidi,kwa heri nakuachia mjadala,ukisoma nilichoandika sijaona basis ya argument yako,wacha watu waelewe wanavyoelewa,inawezekana unaabudu miti,sio Mungu huyu aliyetuumba wanawake na wanaume. Bye.
 
wewe uko kileague zaidi,kwa heri nakuachia mjadala,ukisoma nilichoandika sijaona basis ya argument yako,wacha watu waelewe wanavyoelewa,inawezekana unaabudu miti,sio Mungu huyu aliyetuumba wanawake na wanaume. Bye.
Kwa hiyo kuuliza kifungu ambacho mungu kamuwekea binadamu muda wa kuoa ni kuabudu miti?

Nilijua tunaelimishana kumbe ilikua ligi?

Am done here.
 
Huyu atakuwa Bonny tu.

Asingekuwa na chochote usingekubali akuoe? unadhani mlikutana wakati sahihi au mnatamani mngekutana zamani zaidi!
ha ha ha mzee kumbe huyu binti kashawahiwa?
 
Noted..
 
Binafsi najilaum kuchelewa kuoa ,ningejua nikiwa first year tu ningeoa..
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…