Ndoa haiwezi kuwa chanzo cha mafanikio, never.
Ukiwa umeoa na una familia ni ngumu kujikita kwenye "high risk missions" za kuukimbiza "upepo wa pesa"!!
Ndoa itakufanya uwe limited, huwezi jichanganya na watu kisa wife atanuna akikuona na mtu flani.
Mwisho wa siku utabaki ulipo...
Kamwe siwezi mshauri mtu aoe mapema kama ana nia ya kusaka maisha unlimitedly!!!
Isaack newton hakua na mke, Mengi kaoa akiwa na 50+, gadiola kaoa akiwa na 40+, dangote hana mke, ndesa pesa hana mke... (the list goes)
Alafu wewe mwenzangu na mm unakimbilia kuoa...
Asante sana.. Hivi ndivyo vichwa vya hesabu inatakiwa kuwa.. Ndoa ni mfumo wa kizamani kwa sasa hasa kwenye huu ulimwengu wa sayansi na teknolojia.. Ndoa haina provision yeyote ile ambayo kwa sasa hauipati.. zamani watu ilibidi waoe kwa sababu kuna mahitaji hawakuweza kuapata kama hawajaoa..
-Ili kijana apewe ardhi na Ng'ombe kadhaa alitakiwa aoe.. na kijana ili apate ivo vitu ilibidi aoe..
-Sex zamani ilikuwa ngumu kupata kirahisi ila sasa mambo ni marahisi zaidi..
-Mkondo wa kimaisha wa zamani ulikuwa mrahisi mno kwa mtu kuoa na kuwa stable katika ndoa tofauti na sasa
Kwa Maana hii hakuna haja yoyote ya Msingi ya kuoa.. vyote utakavyovikuta kwenye ndoa bila kuoa unavipata.. Bahati mbaya sana waliopo kwenye ndoa wanataka kutoka.. wewe uingie ya nini?.. Hata na hivyo si lazima kila mtu aoe..
Nami nawaasa.. Ukitaka Mafanikio makubwa katika Maisha yako Achana na Ndoa.. utajiweka katika Infinite Limit!
Mtazame..
-Nikola Tesla (Magnetism), Hakuwahi kuoa.. anasema be alone, being alone this is where ideas are born!.. oa uone kama sio kutafutana na kero na wife baada ya crazy love kwisha..
-Isaac Newton(Baba wa Fizikia)- hakuwahi kuoa, tazama mambo aliyofanya katika fizikia..Extraordinary..
-Leornado Da Vi'nci (Mtaalamu wa Kuchora, Mhandisi, msanifu), Hakuwahi kuoa.. na amepata mafanikio makubwa mno katika tasnia yake..
-Yesu Kristu hakuwahi Kuoa.. na wengine wengi tu..
Simple Concept kwa kila Mmoja wetu ni hivi.. Jaribu kulinganisha Maisha yako na hatua ulizopiga wakati upo single na wakati upo engaged utagundua kwamba ulivokuwa single ulipiga hatua kubwa na ulifanya Mengi ya Msingi..
Divine
Khan