Ni kwa namna gani ndoa itakuwa chachu ya mafanikio katika maisha hasa kwa vijana.

Ni kwa namna gani ndoa itakuwa chachu ya mafanikio katika maisha hasa kwa vijana.

upo under 22, ndo umetoka nyumbn kuanza maisha ,, ya kuhustle , umekutana na mwanamke ,same age au umemzidi mwaka mmoja, mmeanza mahusiano, anaishi kwao , geto mnaonana day ya kusex au akija kufua,.
unae vision huna hela, anakupenda anakujali ,ila hujasettle , huna chochote unae dyudyu tyuu Na visenti vya kusogeza maishaa yako tuu, bibie anataka ndoa kila siku UTAOA?? MASWALI YAKE NI KIHUSU NDOA KILA SIKU UTAFANYA NINI KAMA NDO WEWE AU UKIKUTANA NA MTU ANATAKA USHAURI UTAMSHAURI NINI JUU YA HATMA YA MAPENZI YAKE
UTAENDELEA KUMDANGANYA??
 
Ndoa haiwezi kuwa chanzo cha mafanikio, never.

Ukiwa umeoa na una familia ni ngumu kujikita kwenye "high risk missions" za kuukimbiza "upepo wa pesa"!!

Ndoa itakufanya uwe limited, huwezi jichanganya na watu kisa wife atanuna akikuona na mtu flani.

Mwisho wa siku utabaki ulipo...

Kamwe siwezi mshauri mtu aoe mapema kama ana nia ya kusaka maisha unlimitedly!!!

Isaack newton hakua na mke, Mengi kaoa akiwa na 50+, gadiola kaoa akiwa na 40+, dangote hana mke, ndesa pesa hana mke... (the list goes)

Alafu wewe mwenzangu na mm unakimbilia kuoa...

Asante sana.. Hivi ndivyo vichwa vya hesabu inatakiwa kuwa.. Ndoa ni mfumo wa kizamani kwa sasa hasa kwenye huu ulimwengu wa sayansi na teknolojia.. Ndoa haina provision yeyote ile ambayo kwa sasa hauipati.. zamani watu ilibidi waoe kwa sababu kuna mahitaji hawakuweza kuapata kama hawajaoa..
-Ili kijana apewe ardhi na Ng'ombe kadhaa alitakiwa aoe.. na kijana ili apate ivo vitu ilibidi aoe..
-Sex zamani ilikuwa ngumu kupata kirahisi ila sasa mambo ni marahisi zaidi..
-Mkondo wa kimaisha wa zamani ulikuwa mrahisi mno kwa mtu kuoa na kuwa stable katika ndoa tofauti na sasa

Kwa Maana hii hakuna haja yoyote ya Msingi ya kuoa.. vyote utakavyovikuta kwenye ndoa bila kuoa unavipata.. Bahati mbaya sana waliopo kwenye ndoa wanataka kutoka.. wewe uingie ya nini?.. Hata na hivyo si lazima kila mtu aoe..

Nami nawaasa.. Ukitaka Mafanikio makubwa katika Maisha yako Achana na Ndoa.. utajiweka katika Infinite Limit!

Mtazame..

-Nikola Tesla (Magnetism), Hakuwahi kuoa.. anasema be alone, being alone this is where ideas are born!.. oa uone kama sio kutafutana na kero na wife baada ya crazy love kwisha..
-Isaac Newton(Baba wa Fizikia)- hakuwahi kuoa, tazama mambo aliyofanya katika fizikia..Extraordinary..
-Leornado Da Vi'nci (Mtaalamu wa Kuchora, Mhandisi, msanifu), Hakuwahi kuoa.. na amepata mafanikio makubwa mno katika tasnia yake..
-Yesu Kristu hakuwahi Kuoa.. na wengine wengi tu..

Simple Concept kwa kila Mmoja wetu ni hivi.. Jaribu kulinganisha Maisha yako na hatua ulizopiga wakati upo single na wakati upo engaged utagundua kwamba ulivokuwa single ulipiga hatua kubwa na ulifanya Mengi ya Msingi..


Divine Khan
 
Ngoja nikupe mifano miwili;
1: alioa miaka miwili baada ya kumaliza chuo na kutafuta sana ajira bila mafanikio. Mchumba wake alikuwa mwalimu hivyo alivyonaliza tu akaajiriwa. Walioana ikiwa mke ndio mwenye ajira na mume hana. Ila kwakuwa walikutana "wanaoendana" now the rest is history, wako mbali sana hata kimaendeleo na watoto wao wawili.

2; Mwanaume alikuwa hana kazi ila mke ana kazi, wakaoana na baada ya ndoa mke akachukua mkopo na kumpa mume afanye biashara, bahati nzuri mume alikuwa timamu, mwisho wa siku hata kuajiriwa hakutaka tena. Sasa hivi ndoa ina 4 years na maisha yanasonga vizuri tu.
Kahawa..
 
1.mnh unadhani kwa nini ukomo wa mwanamke kuzaa ni miaka 45,hii biological clock nani kaiweka na kwa nini?

2.nguvu ya kulea familia mbona inaeleweka ,soma nilichoandika tena,kulea ina depend na umri wenu ,na sio type ya ndoa mliyonayo.
1. Hujanionyesha kifungu ambacho mungu ameweka muda wa kuoa. (bado nakiomba na mimi nikapitie kwenye biblia.)

Alafu kwenye mada yangu ni wapi nimeongelea mwanamke kuzaa?

2. Hujaelewa, karudie kusoma nilichoandika.
 
1. Hujanionyesha kifungu ambacho mungu ameweka ukomo. Alafu kwenye mada yangu ni wapi nimeongelea mwanamke kuzaa?

2. Hujaelewa, karudie kusoma nilichoandika.

wewe uko kileague zaidi,kwa heri nakuachia mjadala,ukisoma nilichoandika sijaona basis ya argument yako,wacha watu waelewe wanavyoelewa,inawezekana unaabudu miti,sio Mungu huyu aliyetuumba wanawake na wanaume. Bye.
 
wewe uko kileague zaidi,kwa heri nakuachia mjadala,ukisoma nilichoandika sijaona basis ya argument yako,wacha watu waelewe wanavyoelewa,inawezekana unaabudu miti,sio Mungu huyu aliyetuumba wanawake na wanaume. Bye.
Kwa hiyo kuuliza kifungu ambacho mungu kamuwekea binadamu muda wa kuoa ni kuabudu miti?

Nilijua tunaelimishana kumbe ilikua ligi?

Am done here.
 
Huyu atakuwa Bonny tu.

Asingekuwa na chochote usingekubali akuoe? unadhani mlikutana wakati sahihi au mnatamani mngekutana zamani zaidi!
ha ha ha mzee kumbe huyu binti kashawahiwa?
 
hongera kama tayari....

tafuta mtu mna right Chemistry,mnasikilizana hata kama huongei jambo kashawaza unawaza nini,kama kakuboa au umemboa ana nguvu ya kusema hapa nimechukia......

Mtu wa hivi itakuwa rahisi kupanga nae lolote la maendeleo.......

Sio mtu ana elimu au ana kazi nzuri,siku mkipitia katika majaribu mkapata ajali au redundancy kazini,ndoa yenu inakufa kibudu...
Noted..
 
Binafsi najilaum kuchelewa kuoa ,ningejua nikiwa first year tu ningeoa..
 
Moja ya taasisi kongwe saana duniani ni "familia". Familia ndiyo kiunganishi cha kwanza cha jamii. Jamii iliyoungana siku zote hufanikiwa kwa kila jambo lifabyikalo.

Hivyohivyo, Familia/wanandoa walioamua kuungana na kuishi pamoja mafanikio watakayo pata ni makubwa tofauti na ambavyo wasingekuwa wameunganisha nguvu zao.

Wote tunajifunza hapa, hasa mimi. Tunajua kuna changamoto nyingi kwenye familia/ndoa. Lakini leo dhumuni la uzi wangu ni----

"Ningejua ningeoa mapema walau nikiwa na miaka 23" Haya ni maneno yaliyoungwa mkono na watu wazima tulipokuwa tunajadili mafanikio ya ndoa kijiweni kwetu. Yalinifikirisha saana.

-Je, nyie wakongwe wa ndoa ni kwa namna gani mnaziona ndoa zenu zimewafanya mkafanikiwa katika maisha tofauti na msingekuwa ndani ya ndoa.

-Ni mara nyingi mnatushauri vijana hata wasio na ajira kuoa kisha mambo yatajiset tukiwa kwenye ndoa, limekaaje hili tunahitaji ufafanuzi.

-Vijana wengi tunaamini tutaoa siku tukifanikiwaasww kwenye maisha. Msitushangae hili linatokana na aina ya wanawake tulionao siku hizi wataki tutafute wote.

hoja kuu "Ni kwa namna gani ndoa itakuwa chachu ya mafanikio kwa vijana wanao anza maisha"

Lengo la uzi limejificha kutokana na aina ya uandishi wangu ila kwa watu wazima watapata hoja yangu.
 
Back
Top Bottom