Lakini sheria hiyo hiyo inampa mandate ya kumtesa mtuhumiwa endapo anaamini kwa 100% mtuhumiwa huyo ana/anamiliki vitu hatarishi kama silaha. Ukimtesa mtuhumiwa na akatoa silaha mateso hayo kisheria ni admissible
Mkuu ipo teknolojia ya kuhariri video- nini kinga ya hilo?Hilo la kuchuliwa video wakati wa kuanza mahojiano ndiyo kila kitu,na inatakiwa liwe sheria. Mwisho ni lazima kuwe na chombo/baraza la kupokea malalamiko ya utendaji usioridhisha wa polisi. Hiki chombo kiwe independent na kiwe na mamlaka ya kuamuru polisi husika achukuliwe hatua kali.
Kama jeshi la polisi kitengo cha upelezi ndio linawategemea hao wakina Kingai na genge lake. Basi nashauri kitengo hicho kivunjwe mara moja, hakifai hata kidogo yahani ni zero kabisaMsingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.
Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu.
Ikithibitika kuwa polisi wametumia vitisho au nguvu kupata maelezo kutoka kwa mtuhumiwa, maelezo hayo yanakataliwa kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Hii inaonyesha polisi wanafanya kazi yao huku wamefungwa mikono.
Je ipi ni namna bora ya wao kutenda kazi yao ya kuhakikisha wakosaji wote anafikishwa mbele ya sheria na kupata hukumu ya haki?
Upo sahihi anaitwa justice of peace Mtuhumiwa akiona kama polisi wanmtishia anaweza kuomba kwenda kwa Mlinzi wa Amani Kutoa maelezo yake..sina uhakika, lakini nadhani kuna mtu anaitwa " MLINZI WA AMANI " ambaye kama mtuhumiwa amekiri anatakiwa asainishwe maelezo baada ya akishuhudiwa na mlinzi wa amani.
..kama kumbukumbu zangu ziko vizuri watuhumiwa wa kesi ya uhaini ya miaka ya 80 wale waliokiri walisainishwa maelezo wakishuhudiwa na mlinzi wa amani.
..Naomba kusahihishwa na Wanasheria kama nimekosea.
Cc Pascal Mayalla, Petro E. Mselewa
Mkuu ipo teknolojia ya kuhariri video- nini kinga ya hilo?
Issue kubwa hapa ni elimu,Polisi wengi wanaochukua maelezo ni form 4 na darasa la 7 failures,unategemea wasipotumia nguvu watapataje maelezo??.wengi wao uwezo wa Ku hoji na Ku judge ni zero.
Polisi wa kuhoji anatakiwa awe MTU aliyefuzu mafunzo ya psychology na Logic-ukitumia njia hii lazima mtuhumiwa atasema ukweli tu,sasa Afrika mambo ni tofauti kabisa
Unahakika mkuu- hivi wenye degree wote wanaweza kutenda kimantiki- (logically?)Issue kubwa hapa ni elimu,Polisi wengi wanaochukua maelezo ni form 4 na darasa la 7 failures,unategemea wasipotumia nguvu watapataje maelezo??.wengi wao uwezo wa Ku hoji na Ku judge ni zero.
Polisi wa kuhoji anatakiwa awe MTU aliyefuzu mafunzo ya psychology na Logic-ukitumia njia hii lazima mtuhumiwa atasema ukweli tu,sasa Afrika mambo ni tofauti kabisa
Unawapa information gani? Au ulitaka kusema unakubali ili yaishe usiendelee kuumizwaKama jeshi la polisi kitengo cha upelezi ndio linawategemea hao wakina Kingai na genge lake. Basi nashauri kitengo hicho kivunjwe mara moja, hakifai hata kidogo yahani ni zero kabisa
Polisi wanaojielewa na walio seriously ktk kazi zao kabla ya kufanya ukamataji wanachunguza kwa kina tuhuma zilizowafikia na mpaka wanapokuja kufanya ukamataji wanakuwa na information zote
Unapokuja katika mahojiano, maswali na maelezo unayopewa, unajiona mwenywewe huwezi kuchomoka unaamua mwenyewe kusema ukweli bila shuluti. Sio hawa wakina kingai wanaoanza na kukamata na kupiga ili wapate information
Ccp Moshi wanafundishwa. Ni ujuha tu kutumia nguvu kupata unachokitaka kisicho halisi.Msingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.
Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu.
Ikithibitika kuwa polisi wametumia vitisho au nguvu kupata maelezo kutoka kwa mtuhumiwa, maelezo hayo yanakataliwa kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Hii inaonyesha polisi wanafanya kazi yao huku wamefungwa mikono.
Je ipi ni namna bora ya wao kutenda kazi yao ya kuhakikisha wakosaji wote anafikishwa mbele ya sheria na kupata hukumu ya haki?
Pale ccp kazi ni kupiga kwata tu hawafundishwi maarifa yoyote.Pale CCP wanafundishwa maarifa yote.
Kutesa siyo maarifa!
So polisi kutokupiga au kutisha kupata ushahidi watakuwa wamefungwa mikono? pole sana lakini unawakilisha akili za watu wengi na tatizo ni mazingira unayoishi maana ndio utaratibu mliozoea, ila kwa waliostaraabika polisi kutishia au kupiga raia ni kosa la jinai na unaenda jelaMsingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.
Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu.
Ikithibitika kuwa polisi wametumia vitisho au nguvu kupata maelezo kutoka kwa mtuhumiwa, maelezo hayo yanakataliwa kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Hii inaonyesha polisi wanafanya kazi yao huku wamefungwa mikono.
Je ipi ni namna bora ya wao kutenda kazi yao ya kuhakikisha wakosaji wote anafikishwa mbele ya sheria na kupata hukumu ya haki?
Waambie warekebishe sheria ili hata kuwekewa chupa haja kubwa na kubinywa na pliers makende iwe inclusive. Hakuna tabu kabisaMsingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.
Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu.
Ikithibitika kuwa polisi wametumia vitisho au nguvu kupata maelezo kutoka kwa mtuhumiwa, maelezo hayo yanakataliwa kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Hii inaonyesha polisi wanafanya kazi yao huku wamefungwa mikono.
Je ipi ni namna bora ya wao kutenda kazi yao ya kuhakikisha wakosaji wote anafikishwa mbele ya sheria na kupata hukumu ya haki?
Kwa Tanzania yetu hiyo ndio njia sahihi, ukileta zingine hasa za huruma, Maafande wataumizwa kila siku.Msingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.