Ni kwa namna ipi polisi wanaweza kupata maelezo ya mtuhumiwa bila kumtisha au kumtesa?

UONGO
Lakini sheria hiyo hiyo inampa mandate ya kumtesa mtuhumiwa endapo anaamini kwa 100% mtuhumiwa huyo ana/anamiliki vitu hatarishi kama silaha. Ukimtesa mtuhumiwa na akatoa silaha mateso hayo kisheria ni admissible
 
Hilo la kuchuliwa video wakati wa kuanza mahojiano ndiyo kila kitu,na inatakiwa liwe sheria. Mwisho ni lazima kuwe na chombo/baraza la kupokea malalamiko ya utendaji usioridhisha wa polisi. Hiki chombo kiwe independent na kiwe na mamlaka ya kuamuru polisi husika achukuliwe hatua kali.
Mkuu ipo teknolojia ya kuhariri video- nini kinga ya hilo?
 
Msingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.

Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu.

Ikithibitika kuwa polisi wametumia vitisho au nguvu kupata maelezo kutoka kwa mtuhumiwa, maelezo hayo yanakataliwa kupokelewa kama ushahidi mahakamani.

Hii inaonyesha polisi wanafanya kazi yao huku wamefungwa mikono.

Je ipi ni namna bora ya wao kutenda kazi yao ya kuhakikisha wakosaji wote anafikishwa mbele ya sheria na kupata hukumu ya haki?
Kama jeshi la polisi kitengo cha upelezi ndio linawategemea hao wakina Kingai na genge lake. Basi nashauri kitengo hicho kivunjwe mara moja, hakifai hata kidogo yahani ni zero kabisa

Polisi wanaojielewa na walio seriously ktk kazi zao kabla ya kufanya ukamataji wanachunguza kwa kina tuhuma zilizowafikia na mpaka wanapokuja kufanya ukamataji wanakuwa na information zote

Unapokuja katika mahojiano, maswali na maelezo unayopewa, unajiona mwenywewe huwezi kuchomoka unaamua mwenyewe kusema ukweli bila shuluti. Sio hawa wakina kingai wanaoanza na kukamata na kupiga ili wapate information
 
Issue kubwa hapa ni elimu,Polisi wengi wanaochukua maelezo ni form 4 na darasa la 7 failures,unategemea wasipotumia nguvu watapataje maelezo??.wengi wao uwezo wa Ku hoji na Ku judge ni zero.

Polisi wa kuhoji anatakiwa awe MTU aliyefuzu mafunzo ya psychology na Logic-ukitumia njia hii lazima mtuhumiwa atasema ukweli tu,sasa Afrika mambo ni tofauti kabisa
 
..sina uhakika, lakini nadhani kuna mtu anaitwa " MLINZI WA AMANI " ambaye kama mtuhumiwa amekiri anatakiwa asainishwe maelezo baada ya akishuhudiwa na mlinzi wa amani.

..kama kumbukumbu zangu ziko vizuri watuhumiwa wa kesi ya uhaini ya miaka ya 80 wale waliokiri walisainishwa maelezo wakishuhudiwa na mlinzi wa amani.

..Naomba kusahihishwa na Wanasheria kama nimekosea.

Cc Pascal Mayalla, Petro E. Mselewa
Upo sahihi anaitwa justice of peace Mtuhumiwa akiona kama polisi wanmtishia anaweza kuomba kwenda kwa Mlinzi wa Amani Kutoa maelezo yake
 
Ila mbongo bila kumdundisha kiukweli ni issue kuongea..
 
Issue kubwa hapa ni elimu,Polisi wengi wanaochukua maelezo ni form 4 na darasa la 7 failures,unategemea wasipotumia nguvu watapataje maelezo??.wengi wao uwezo wa Ku hoji na Ku judge ni zero.

Polisi wa kuhoji anatakiwa awe MTU aliyefuzu mafunzo ya psychology na Logic-ukitumia njia hii lazima mtuhumiwa atasema ukweli tu,sasa Afrika mambo ni tofauti kabisa

..siku hizi Maofisa wa Polisi wanatakiwa kuwa na shahada ya kwanza. Nimemsikia Waziri Simbachawene akisema hivyo.
 
Issue kubwa hapa ni elimu,Polisi wengi wanaochukua maelezo ni form 4 na darasa la 7 failures,unategemea wasipotumia nguvu watapataje maelezo??.wengi wao uwezo wa Ku hoji na Ku judge ni zero.

Polisi wa kuhoji anatakiwa awe MTU aliyefuzu mafunzo ya psychology na Logic-ukitumia njia hii lazima mtuhumiwa atasema ukweli tu,sasa Afrika mambo ni tofauti kabisa
Unahakika mkuu- hivi wenye degree wote wanaweza kutenda kimantiki- (logically?)
 
Kama jeshi la polisi kitengo cha upelezi ndio linawategemea hao wakina Kingai na genge lake. Basi nashauri kitengo hicho kivunjwe mara moja, hakifai hata kidogo yahani ni zero kabisa

Polisi wanaojielewa na walio seriously ktk kazi zao kabla ya kufanya ukamataji wanachunguza kwa kina tuhuma zilizowafikia na mpaka wanapokuja kufanya ukamataji wanakuwa na information zote

Unapokuja katika mahojiano, maswali na maelezo unayopewa, unajiona mwenywewe huwezi kuchomoka unaamua mwenyewe kusema ukweli bila shuluti. Sio hawa wakina kingai wanaoanza na kukamata na kupiga ili wapate information
Unawapa information gani? Au ulitaka kusema unakubali ili yaishe usiendelee kuumizwa
 
Msingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.

Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu.

Ikithibitika kuwa polisi wametumia vitisho au nguvu kupata maelezo kutoka kwa mtuhumiwa, maelezo hayo yanakataliwa kupokelewa kama ushahidi mahakamani.

Hii inaonyesha polisi wanafanya kazi yao huku wamefungwa mikono.

Je ipi ni namna bora ya wao kutenda kazi yao ya kuhakikisha wakosaji wote anafikishwa mbele ya sheria na kupata hukumu ya haki?
Ccp Moshi wanafundishwa. Ni ujuha tu kutumia nguvu kupata unachokitaka kisicho halisi.

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Msingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.

Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu.

Ikithibitika kuwa polisi wametumia vitisho au nguvu kupata maelezo kutoka kwa mtuhumiwa, maelezo hayo yanakataliwa kupokelewa kama ushahidi mahakamani.

Hii inaonyesha polisi wanafanya kazi yao huku wamefungwa mikono.

Je ipi ni namna bora ya wao kutenda kazi yao ya kuhakikisha wakosaji wote anafikishwa mbele ya sheria na kupata hukumu ya haki?
So polisi kutokupiga au kutisha kupata ushahidi watakuwa wamefungwa mikono? pole sana lakini unawakilisha akili za watu wengi na tatizo ni mazingira unayoishi maana ndio utaratibu mliozoea, ila kwa waliostaraabika polisi kutishia au kupiga raia ni kosa la jinai na unaenda jela
 
Msingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.

Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu.

Ikithibitika kuwa polisi wametumia vitisho au nguvu kupata maelezo kutoka kwa mtuhumiwa, maelezo hayo yanakataliwa kupokelewa kama ushahidi mahakamani.

Hii inaonyesha polisi wanafanya kazi yao huku wamefungwa mikono.

Je ipi ni namna bora ya wao kutenda kazi yao ya kuhakikisha wakosaji wote anafikishwa mbele ya sheria na kupata hukumu ya haki?
Waambie warekebishe sheria ili hata kuwekewa chupa haja kubwa na kubinywa na pliers makende iwe inclusive. Hakuna tabu kabisa

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Matumizi ya nguvu kubwa inayotumiwa na Polisi, inatokana na uwezo mdogo wa kutenda kazi zao. Wengi wao hawapewi mafunzo stahiki ya upolisi. Haishangazi kuwasikia wakubwa wao wakisema wanawaajiri ili kulinda kwenye mabenki na maeneo mengine.

Sasa mtu unaemwajiri kulinda Taasisi fulani, ukimpa jukumu la kufanya upelelezi wa mambo mazito yanayohitaji hekima, maarifa, nidhamu na maadili usitarajie afanye vizuri. Lazima atazidiwa, suruhisho linabakia kuwa ni matumizi ya nguvu.

Haishangazi polisi wetu kila siku wanazuia mikutano ya vyama vya siasa ya ndani na nje kwa kisingizio cha usalama, huku wao wenyewe wakienda kwenye mikusanyiko mikubwa ya kimichezo na hakuna hata mende anaekanyagwa.

Polisi wetu wanapokutana na changamoto zinazohitaji maarifa zaidi kuliko nguvu, utawaonea huruma.
Ukisoma historia ya jeshi la polisi Duniani, malengo na dhamira yao, halafu njoo utazame yanayofanyika kwetu, ama Afrika kwa ujumla, utabaki ukiumia moyoni.

Dhana ya usalama wa Raia na Mali zao iliondoka na Mwalimu Nyerere.
Kibaya zaidi ni pale polisi ilipokubali kutumikia siasa badala ya Wananchi. Kwa Polisi ndio Taasisi ambayo kila mtumishi wake huingia kazini kufanya kilicho tofauti na miongozo yao. Na anaefanya vizuri sana kwenye kupindisha haki, huyo ndo huonekana ana sifa za kula mema ya Nchi.
 
Msingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.

Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu.

Ikithibitika kuwa polisi wametumia vitisho au nguvu kupata maelezo kutoka kwa mtuhumiwa, maelezo hayo yanakataliwa kupokelewa kama ushahidi mahakamani.

Hii inaonyesha polisi wanafanya kazi yao huku wamefungwa mikono.

Je ipi ni namna bora ya wao kutenda kazi yao ya kuhakikisha wakosaji wote anafikishwa mbele ya sheria na kupata hukumu ya haki?
Kwa Tanzania yetu hiyo ndio njia sahihi, ukileta zingine hasa za huruma, Maafande wataumizwa kila siku.
 
Back
Top Bottom