Ni kwamba huko usabatoni kucheza,kusuka,Hereni kula kamongo ni dhambi? Je na kukemea watekaji ni dhambi pia?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Mtuambie basi mnasimama na watawala (mafisadi) au mnasimama na wananchi?

Mbona unafiki wenu unataka kuvuka grade zote za hapa duniani?

Kwahiyo mpo ladhi kufuta ushirika mshiriko wenu kisa tu Kala kamongo lakini kukemea watawala (utawala dhalimu) siyo shida zenu.

Kwanini mpo tiyari kuchangisha mahela washiriki wenu mfanye mikutano ya wiki3 tatu kwa lengo moja tu la kuwapopoa wakatoliki na kumuita papa ni MNYAMA!?

Huu ni unafiki wa kiwango kisichopimika.

Tunaomba mtoke hadharani tuwajue upande wenu lakini yote tisa kumi hadi sasa Mpo kwenye upande wa wauaji na si wananchi.

Zaidi ya hayo mnakemea kusuka,kula kamongo,kuvaa heleni kucheza lkn hapo hapo kwaya zenu zinakata mauno tena na wanaume au ndo wanaume kama mabinti walio imbwa na msanii wa Paris?
 
Wasabato adui yao mkubwa ni upapa na ukatoliki wao hata waone waumini wao wanauliwa na serikali huwa wanasemi jambo labda wakatazwe kusali siku ya sabato.

Hili dhehebu full unafiki,wasimame wahesabiwe.
Hili kanisa ni la wanafiki sana hasa viongozi wao

Heri mashekhe ubwabwa wao wamejipambanua kwamba wapo upande wa wadharimu na kila mtu anajua hilo
 
Mtuambie basi mnasimama na watawala (mafisadi) au mnasimama na wananchi?

Mbona unafiki wenu unataka kuvuka grade zote za hapa duniani?

Kwahiyo mpo ladhi kufuta ushirika mshiriko wenu kisa tu Kala kamongo lakini kukemea watawala (utawala dhalimu) siyo shida zenu.

Kwanini mpo tiyari kuchangisha mahela washiriki wenu mfanye mikutano ya wiki3 tatu kwa lengo moja tu la kuwapopoa wakatoliki na kumuita papa ni MNYAMA!?

Huu ni unafiki wa kiwango kisichopimika.

Tunaomba mtoke hadharani tuwajue upande wenu lakini yote tisa kumi hadi sasa Mpo kwenye upande wa wauaji na si wananchi.

Zaidi ya hayo mnakemea kusuka,kula kamongo,kuvaa heleni kucheza lkn hapo hapo kwaya zenu zinakata mauno tena na wanaume au ndo wanaume kama mabinti walio imbwa na msanii wa Paris?
View attachment 3512524
666 NI MWILI WAKE MTU MWENYEWE ......MADHEHEBU YA DINI NI MAHEKALU YA SHETANI ..MTU AWEZI KUWA MTAKATIFU KWA KUPITIA MADHEHEBU.
 
Naona mmeanza kuchokoza na huko...

Kwa hii saga ndo dhehebu pekeee liLilofuata misingi yake ya kukaa nJe ya siasa na to me WAMEFANYA VIZURI SANA
 
Tunakemea sana tu, sisi hata jana tumeliombea taifa lisiangamie kwa haya yanayotokea. Tunakemea dhambi na wadhambi ila hatuitishi press conference ili kuongea live.

Kila.mtu ana approach yake kwenye kukemea dhambi.
 
quote-if-you-are-neutral-in-situations-of-injustice-you-have-chosen-the-side-of-the-oppressor-...jpg
 
Tunakemea sana tu, sisi hata jana tumeliombea taifa lisiangamie kwa haya yanayotokea. Tunakemea dhambi na wadhambi ila hatuitishi press conference ili kuongea live.

Kila.mtu ana approach yake kwenye kukemea dhambi.
HIi hainatofauti na machozi ya samaki baharini.
 
Back
Top Bottom